Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,285
- 8,363
Amefariki muda si mrefu kwa ajali ya gari akitokea Dodoma kuelekea Dar es Salaam eneo la Pandambili (kama sijakosea).
PICHA:
Marehemu Chacha Wangwe...
Mzee Mwiguni George aliyefika katika eneo na kumsaidia Chacha na wenzake!
Deus Francis Mallya aliyetoa maelezo yenye utata na sasa watu wanamgeuzia kuwa kuna jambo analificha! (Huyu pia aliwahi kujitambulisha kuwa yeye ndiye (mimi) Invisible wa JF.
Gari lililohitimisha maisha ya Chacha likiwa limeharibika vibaya
Zaidi nitawafahamisha

Last edited by a moderator: