Naoina ugumu wa uchaguzi mkuu 2020!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Kuna uwezekano sana wa haya kutokea pasipokuwepo TAHADHARI ya mapema.

Watu hawatapenda kuishi katika hali waliyonayo.
Wa hawatapenda kuona mikono yao ikifanya maamuzi yatakayowatesa.
√ Watu wengi hawatakubali kukubali tena kuahidiwa ambavyo hayakutimizwa.
√ Watu hawatokua tayari kuishi bila furaha ndani ya nyoyo zao.
√ Watu hawatapenda kusikia kauli za kuudhi zenye kukatisha tamaa.
√ Watu hawatapenda kuishi kwa vitisho
√ Watu hawa hawatapenda kunyanyasika tena.
√ Wapinzani hawatakubali kurudi katika kamata kamata ya polisi tena.
√ Watalawala nao watataka kurudi kukamilisha miradi yao.
√ Vyombo vyetu vya dola vitapokea maagizo kufanya kazi zao ipasavyo.
√ Ni kipindi ambacho Yale masaa 48 chini mamlaka ya RCs na MaDC watayatumia kisawasawa.
√Ni kipindi ambacho kumtangaza mshindi kutakua na mvutano kuliko ilivyiwahi kutokea.
√ Kampeni za uchaguzi zinaweza kua na mashart magumu kuliko isemavyo katiba na sheria ya nchi.
√Ni kipindi ambacho tume ya uchaguzi inaweza kua katika wakati mgumu kuwahi kutokea.


KUEPUKA NA HAYA MAPEMA,

Tafadhali sana, katiba Mpya ipatikane mapema ipasavyo.Tume huru ya uchaguzi ni muhimu kuliko kitu chochote kile.
 
Mnahangaika tu kuzifikirisha akili zenu,
Mbona 2015 ilikua zaidi ya uyasemayo na hakuna kilichobadilika.
 
Umezaliwa lini au umeanza kupiga kura lini tangu 1995 watu ni wale wale tu ahadi hewa zile zile hiyo 2020 CCM watapasua njia kurudi ikulu kiulaini na isitoshe Magufuli umeshamuelewa tabia yake haamini katika kushinda ili hali kila kitu anakirimoti yeye
 
Mungu aliyeuzungushia ulinzi wa ki malaika dhidi ya risasi 38 za smg atafanya mabadiliko kwa mapenzi yake tu. Wewe amini tu itakuwa
 
Back
Top Bottom