Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,908
- 12,108
Nimekaa na kuchunguza utawala Wa Rais Magufuli na nilichokiona kimenifanya nishindwe kumtofautisha sana na Rais wa TFF Jamal Malinzi.
Tofauti yao pekee nimeiona katika suala la kubana matumizi ambapo Magufuli abana matumizi ilhali Malinzi amekuwa akitapanya.
Katika suala la utumbuaji majipu hata Malinzi naye alilifanya kwa staili tofauti kidogo na ya Magufuli.
Wote wawili wameshindwa kujua kwamba mbwa wa msasi mkali nao wakali vilevile.
Utumbuaji Wa majipu ulipaswa kufanywa kwa tahadhari sana na si kama ulivyofanywa maana ubovu wa hao aliowaondoa ulichangiwa sana na JK mwenyewe hivyo viongozi wengi wasingeendelea kufanya kazi kwa mtindo uleule bali wangebadilika wenyewe au kwa maelezo kutoka Ikulu.
Kama alivyofail Malinzi kuna kila dalili kuwa Magufuli naye atafail tu.