Karne ya 21 wanasiasa wanasema tuombee mvua inyeshe, kweli Tz ya Viwanda ipo karibu

Lakasa chika7

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
454
1,264
Mungu alimuumba MTU akampa akili, ufahamu, ujuzi, taalamu na maarifa. Ndo maama leo mtu akiumwa hatakiwi kwenda kanisani na msikitini kuombewa anatakiwa aende hospital akatibiwe. Mungu aliumba utaalamu na ujuzi wawa kutibu na kutambua magonjwa na kuyaponya kwa binadamu ambao tunawaita madaktari. ukiona unaumwa nenda hospital ukapate tiba. Ukiombewe bila kwenda hospital utakuwa unakufuru na utakufa tu kwakuwa mungu alimuumba binadamu kwa kufanana naye. Mungu kampa mwanadamu akili na maarifa ya kufanya vitu vingi indirectly ili ujuzi huo usaidie wanadamu.

Leo mwanasiasa anatuambia tuombe..au mwanasiasa anahimiza viongozi wa dini wafunge/ waombe.
Eti tuombe kwa Mungu maombi mazito Mungu alete mvua. Kufanya hivyo ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Mungu ametupa akili ya kutambua mabadiliko yq hali ya hewa na adaptation measure za ku overcome hizo demerits za climate change.
Mabadiliko yq hali ya hewa yanasababisha kutokuwepo kwa mvua. Na suala la mvua kupungua litaongezeka sana tena sana tu.

Zipo njia nyingi ( adaptation measures) za kupambana na climate change ambazo ni kama kuweka irrigation system kwa kutumia water bodies (lakes, rivers, maporomoko ya Maji). Hatuweki km Nchi mipango sawa. Leo tunamsingizia Mungu eti tuombe atupe mvua. Insanity kabsa.! Mwenyezi Mungu ameshatupa akili na maarifa ya kujua how kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya hewa.

Leo mwanasiasa km Chiza anatumbia tufunge na tukeshe tuombe mvua ije. Kweli Viwanda vipo karibu. Kilimo kitakufa kwa kusubili mvua. Wazungu wanakimbia kwa maendeleo siye tunarudi nyuma. Najua hatuwezi kutumia ndege/ drones kumwagiliaji Maji but tunaweza tenga maeneo strategic areas kwa kilimo cha umwagiliaji Nchi nzima.

Kufunga na kuomba tutalata vidonda vya tumbo tu..solution tunazo..Mungu ameshatupa maarifa siku nyingi. Kutokutumia maarifa na ujuzi ni kumuudhi Mungu. Mifugo inakufa tunachojua ni kupatanisha tu wakulima na wafugaji kuhusu sehemu ya malisho.
 
Mara ya mwisho kusikia kiongozi anaombea mvua nilisoma kwenyw bible
Nabii Eliya alimuombea mfalme Ahab, yaan ni mambo ya kizamani kweli
No wonder nchi mpaka leo watu wanaumwa ukoma ambao kwa wenzetu wanausoma kwenye biblia tu na wanaskiaga ugonjwa huo uko Afrika.
Pia dhana ya kumuombea eti kiongozi, cjui tuombee amani wakati kuna majeshi ya ulinzi, polisi, mgambo na vikosi vya upelelezi ndio unagundua viongozi wa Afirka hasa Tanzania ni wahuni tu, na wana maneno mengi kuliko vitendo
 
Mungu alimuumba MTU akampa akili, ufahamu, ujuzi, taalamu na maarifa. Ndo maama leo mtu akiumwa hatakiwi kwenda kanisani na msikitini kuombewa anatakiwa aende hospital akatibiwe. Mungu aliumba utaalamu na ujuzi wawa kutibu na kutambua magonjwa na kuyaponya kwa binadamu ambao tunawaita madaktari. ukiona unaumwa nenda hospital ukapate tiba. Ukiombewe bila kwenda hospital utakuwa unakufuru na utakufa tu kwakuwa mungu alimuumba binadamu kwa kufanana naye. Mungu kampa mwanadamu akili na maarifa ya kufanya vitu vingi indirectly ili ujuzi huo usaidie wanadamu.

Leo mwanasiasa anatuambia tuombe..au mwanasiasa anahimiza viongozi wa dini wafunge/ waombe.
Eti tuombe kwa Mungu maombi mazito Mungu alete mvua. Kufanya hivyo ni kumkosea sana Mwenyezi Mungu. Mungu ametupa akili ya kutambua mabadiliko yq hali ya hewa na adaptation measure za ku overcome hizo demerits za climate change.
Mabadiliko yq hali ya hewa yanasababisha kutokuwepo kwa mvua. Na suala la mvua kupungua litaongezeka sana tena sana tu.

Zipo njia nyingi ( adaptation measures) za kupambana na climate change ambazo ni kama kuweka irrigation system kwa kutumia water bodies (lakes, rivers, maporomoko ya Maji). Hatuweki km Nchi mipango sawa. Leo tunamsingizia Mungu eti tuombe atupe mvua. Insanity kabsa.! Mwenyezi Mungu ameshatupa akili na maarifa ya kujua how kukabiliana na Mabadiliko ya hali ya hewa.

Leo mwanasiasa km Chiza anatumbia tufunge na tukeshe tuombe mvua ije. Kweli Viwanda vipo karibu. Kilimo kitakufa kwa kusubili mvua. Wazungu wanakimbia kwa maendeleo siye tunarudi nyuma. Najua hatuwezi kutumia ndege/ drones kumwagiliaji Maji but tunaweza tenga maeneo strategic areas kwa kilimo cha umwagiliaji Nchi nzima.

Kufunga na kuomba tutalata vidonda vya tumbo tu..solution tunazo..Mungu ameshatupa maarifa siku nyingi. Kutokutumia maarifa na ujuzi ni kumuudhi Mungu. Mifugo inakufa tunachojua ni kupatanisha tu wakulima na wafugaji kuhusu sehemu ya malisho.
Tuelekeze ilipo irrigation system yako tuje tujifunze.
 
Kuombea mvua ni kawaida sana haijaanza Leo..hata Kenya kuna ukame sana lazma tuombe mvua
 
Mkuu bandiko lako lina mantiki sana lakini usishangae kuona watu wanalichukulia poa, hili ni jambo hata mimi huwa linanishangaza siku zote, akili tunazo lakini hatuzitumii, unaweza ukakuta mtu anakaa karibu na mto lakini pembeni mahindi yanakauka eti mtu anasubiri mvua, nakumbuka kijijini kwetu kuna mzee mmoja wakati wa kiangazi aliamua kumwagilia migomba yake, watu wengi walimuona kichaa !!! kisa anamwagilia migomba!

Yaani sisi ni kama tunaishi zama za mawe, wakati wa uchaguzi utasikia eti wanaombea amani, huu ni upuuzi mwingine, amani inakuja kwa kila mtu kutendewa haki, hakuna mtu kichaa anayeweza kuamua kufanya fujo wakati kila kitu kiko wazi, if you conduct free, fair and transparent election it is implicitly that peace will prevail. Wakati wanaombea amani huku wameagiza magari 700 ya washawasha huku wanapita mitaani kutisha watu at the end of the day wanalaumu kwamba wapiga kura ni wachache.
 
Watanzania wanapenda sana matukio ya kufuata upepo, kitu kidogo kikitokea wanakikomalia na kusahau vitu vingine vyenye effect za muda mrefu, ukitaka kuwa distract ni rahisi sana, mfano ni ishu ya makonda kutaja watu alioambiwa wanahusika na madawa, basi kwenye jukwaa la siasa kila uzi ni hoja kuhusu madawa ya kulevya basi...Kuombea mvua ni kichekesho kikubwa sana
 
Tuelekeze ilipo irrigation system yako tuje tujifunze.
Na wewe tuelekeze huko ambako mvua inanyesha kwa sababu ya maombi ili tuige uombaji wako.
Tukiunganisha strategy ya maombi yako na hiyo irrigation scheme ya Lakasa chika7 tutasonga mbele kwa spidi ya viwanda.
 
Mkuu tupo ktk jamii ya kupiga 'ramli' mipango yetu kama jamii ina akisi ukomo wetu wa kufikiri na kuona mambo

Mfano mpaka leo tu bado tunaamini mafanikio yetu ya biashara , utajiri, siasa na vyeo utatokana na kuenda kwa waganga wa kienyeji na kukutana na mambo ya kupeleka sijui viungo vya albino jua tu 'how backward we are '

Mambo uliyozungumzia ni makubwa mno kwa kariba ya viongozi wetu japokuwa natambua wapo wachache wenye 'vision' lkn kwa uchache wao kama hakuna tu

Sisi ni jamii ya taratibu zile zile za mababu kula,kulala,kuoa,kuolewa, kusoma kwa kukariri (kalili),kupata nafasi kazini ya kuiba hivi, kustaafu na kusubiri kufa yaani hakuna vision na hasa kwa viongozi wetu ya miaka hata ishirini na kuendelea
 
Back
Top Bottom