Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali. Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru...
2 Reactions
10 Replies
740 Views
Ndugu zangu Watanzania, Leo Rais Samia, mama wa shoka, jasiri muongoza njia, shujaa wa Afrika, chuma cha reli, nuru ya wanyonge, na sauti ya Afrika na wa Afrika, ameongea kwa uchungu na hisia...
10 Reactions
215 Replies
10K Views
Mwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku Rais Nyerere anatangaza azma ya Serikali kuhamia Dodoma Jambo ambalo Rais Hayati Magufuli alilitimiza.
2 Reactions
31 Replies
3K Views
  • Closed
Haingii akilini kumwona Mzee Mkapa akuhudhuria midahalo/majukwaa ya siasa despite of machafu yote aliyotenda wakati akiwa ikulu. Kashfa ya Mgodi wa kiwira, ilitosha kumpeleka huyu mzee SEGEREA...
0 Reactions
0 Replies
769 Views
Kwa ufahamisho, Dodoma ulitangazwa rasmi kuwa mji mkuu wa Tanzania na rais mwanzilishi Julius Nyerere mwaka 1973. Uamuzi wa kuhamisha makuu makuu Dodoma ulichukuliwa na Halmashauri ya TANU chini...
4 Reactions
4 Replies
750 Views
Jamani mniwie radhi kama hati ya muafaka kati ya ccm na cuf zanzibar ilishawahi kubandikwa hapa janvini. Just out of curiosity, natamani kusoma hiyo hati ili nitafute ukweli/uongo wa hizi tuhuma...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Wadau, naomba mnisaidie kujua jinsi fixed charge ambayo Tanesco walikuwa wakilipa kwa Richmond/Dowans. Kuna uwezekano mkubwa Dowans/Richmond hawakutaja thamani sahihi ya uwekezaji wao ili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya cdm kutembelea kgr, pm naye alikwenda huko, kukawa na wasiwasi kama angeweza kuvutia umati kama cdm, am curious kujua yaliyojiri huko mbona hakuna taarifa yoyote au taarifa ndio hiyo?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Nataka kufahamu kuhusu likizo ya bila malipo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wafuatao nina mashaka na elimu zao,hivyo naomba mwenye cv aweke hapa jamvini nithibitishe kwa kuangalia cv zao. 1.Lukuvi 2.Pinda 3.Komba 4.Ngonyani(maji marefu) 5.Said Bundala(maarufu kama...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau wa JF, Naomba kupata CV kamili ya wanasiasa wafuatao: 1. Esther Bulaya 2. John Heche Ahsanteni
1 Reactions
20 Replies
10K Views
1.Waziri wa Ulinzi na JKT. 2.Waziri wa habari,utamaduni na michezo. 3.Waziri wa Ardhi,Nyumba na makazi. Kama nitathibitishiwa kwamba kuna aliyefikia kidato cha sita Nazi ya mawaziri hao, leo...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
kama kuna mtu anajua CV ya Vuai Ali Vuai naoma aitume.. tuelewe kiongozi huyu amesoma wapi an chuo gani? nama kuna wengi wanaamini kuwa huyu muheshimiwa hakusoma tafadhali naomba habari za uhakika
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari zenu familia ya JF. Niende kwenye mada hapo juu. Naomba mwenye CV ya Mheshimiwa huyu. Kifupi ni Mbunge, jimbo sijui na ni mmoja wa wanakanati ya Bunge ya uchunguzi wa Almasi na Tanzanite...
1 Reactions
138 Replies
51K Views
Naombeni CV (Wasifu) ya Mbunge wa Sumbawanga mjini, Aish Hillary.
0 Reactions
42 Replies
9K Views
  • Redirect
Waziri wa Mipango anapaswa kuwa mtaalam na siyo mwanasiasa tu. Nikiangalia mpango wa Taifa wa maendeleo upo vizuri ila mwasilishaji wa mpango huo anapwaya. Kunaonekana kama zile planing strategies...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Wakuu naomba mwenye cv ya jenister muhagama aiweke hapa. Huyu mama amekuwa akipata Uwaziri kirahisi sana karibu katika kila Serikali lakini ukimtizama hana maarifa yoyote na hata jimbo anakotoka...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mwenye CV na DC wa Morogoro, Rebecca Sanga aliyemwita Mpina ni MWALI. Nimeona huyu DC anazidi kupata umaarufu mkubwa kwa kumuita mpina mwali anatamba mitandao karibu yote. Naomba mwenye cv yake...
1 Reactions
Replies
Views
Nimekuwa nikimsikia kupitia vyombo vya habari kwa wiki nzima sasa akitoa misaada mbalimbali mkoani Singida. Misaada hii inagusa maeneo mbalimbali ya kijamii. Nadhani cheo kikubwa serikalini...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Back
Top Bottom