Naomba Hati ya Muafaka kati ya CUF na CCM

Gurudumu

JF-Expert Member
Feb 5, 2008
2,349
261
Jamani mniwie radhi kama hati ya muafaka kati ya ccm na cuf zanzibar ilishawahi kubandikwa hapa janvini. Just out of curiosity, natamani kusoma hiyo hati ili nitafute ukweli/uongo wa hizi tuhuma kwamba CUF siyo chama cha upinzani. Lakini pia tujue kama vyama vingine vina nafasi ya kujiunganisha kwenye huo muafaka au la.

Mwenye nayo please?
 
Mpigie self atakusimulia kama hadith upo kichwani mwake!
 
Mimi nimeutafuta huo muafaka mpaka viatu vimelika upande upande. Sina hamu na huo muafaka. Labda wewe jaribu utatusaidia wengi hapa JF.
 
Huo muafaka sijaona bado lakini la kusema kuwa cuf siyo chama cha hizo ni propaganda chafu maana mwanasiasa mzuri niyule anayekubaliaison na mawazo ya wenzake
 
Huo muafaka sijaona bado lakini la kusema kuwa cuf siyo chama cha hizo ni propaganda chafu maana mwanasiasa mzuri niyule anayekubaliaison na mawazo ya wenzake
Huo nilio uambatanicha hapo juu siyo wenyewe?
 
Viambatanisho vya mwafaka.....
 
Attachments

  • KIAMBATISHO_I.doc
    38 KB · Views: 98
  • KIAMBATISHO_II.doc
    110 KB · Views: 101
  • KIAMBATISHO_III.doc
    33.5 KB · Views: 63
  • KIAMBATISHO_IV.doc
    47 KB · Views: 65
  • KIAMBATISHO_V.doc
    88.5 KB · Views: 120
mwafaka01.jpg
mwafaka02.jpg
mwafaka04.jpg
mwafaka_pic.jpg
 
Viambatanisho vya mwafaka.....

asante sana mkuu, lakini za zamani kweli kweli, 1999? Endelea kutafuta mkuu labda utapata huu wa 2010

Yaani hapa umetukumbusha kwamba Maalim Seif amekuwa katibu wa CUF kwa zaidi ya muongo mzima!!
 
Back
Top Bottom