Naomba CV ya Vuai Ali Vuai naibu katibu mkuu CCM Zanzibar

John Lali

New Member
Jul 11, 2015
1
0
kama kuna mtu anajua CV ya Vuai Ali Vuai naoma aitume.. tuelewe kiongozi huyu amesoma wapi an chuo gani?

nama kuna wengi wanaamini kuwa huyu muheshimiwa hakusoma

tafadhali naomba habari za uhakika
 
Alipo ulizwa huyu anaeitwa Vuai Ali Vuai CV yake akasema kama ifuatavyo

Vijalizo vya Jina
Mhe.
92459c93d6269c8b31bfda1ff7968dca.jpg
Jina la Ukoo:
Vuai
Jina la Kwanza:
Ali
Jina la Kati:
Vuai
Tarehe ya Kuzaliwa:
0000-00-00
Mahali Alipozaliwa:
Pongwe, Kusini-Unguja
Hali ya Ndoa:
Nimeoa
Kundi:
Vyama Vyenye Usajili wa Kudumu
Jinsia:
M
Simu ya Ofisi:
Simu ya mkononi:
0
Barua pepe:
thebitvuaiali@yahoo.com
Anuani:
S.L.P 875, Zanzibar

Elimu
TokaHadiJina la Shule/ChuoCheti
19661971Bwejuu school Zanzibarprimary certificate
19721974Paje school Zanzibarsecondary certificate

Mafunzo Mengineyo
TokaHadiJina la Shule/ChuoCheti
19961996Zanzibaroffice management
19841985Moscow-USSRDiploma ya sanyasi ya jamii
20042004USAconflict resolution

Uzoefu
TokaHadiJina la MwajiriNgazi/Wazifa
20012011KASK 'B' (U)district commissioner
19992001UVCCM-TanzaniaK.M UVCCM
19971998UVCCM-Zanzibarkaimu mkuu UVCCM
19941996Mkoa MM(U)katibu msadizi mkuu-CCM
19931994UVCCM-ZanzibarMkuu wa utawala
19911992MIWA MM(U)katibu wa UVCCM
19851991KASK 'B' (U)tatibu wa UVCCM
19781985UVCCMkarani wa fedha
Burudani
michezo na kusoma




Note:
Huyu jamaa hajui amesoma Vyuo gani ila anakumbuka sehemu aliposoma
 
Duuh aisee..kweli Msomi Vuai Ally Vuai..kwa nini asiwe mgombea mwenza...
 
Hii clip inayozunguka mitandaoni kuhusu kumkabidhi nchi Maalim Seif ni ya lini?
 
Back
Top Bottom