naomba feedback ziara ya Mizengo kagera

Lukansola

JF-Expert Member
Sep 5, 2010
5,435
1,597
Baada ya cdm kutembelea kgr, pm naye alikwenda huko, kukawa na wasiwasi kama angeweza kuvutia umati kama cdm, am curious kujua yaliyojiri huko mbona hakuna taarifa yoyote au taarifa ndio hiyo?
 
Anakoromea watendaji wa Halmashauri tu, zaidi akihisi pesa za miradi kuliwa (inaonekana kweli). Labda anajifunza namna ya kuwadhibiti MAFISADI?
 
NILIMUONA ANAMBUSU BABA ASKOFU KILAINI,SIJUI AMEANZA KALE KATABIA AU NDIO MAMBO YA u p a k o UPAKO
 
Anakoromea watendaji wa Halmashauri tu, zaidi akihisi pesa za miradi kuliwa (inaonekana kweli). Labda anajifunza namna ya kuwadhibiti MAFISADI?
yaaani anapokoloma tuu mimi namkumbuka FISADI LOWASA KAZI ALIKUWA ANAPIGA!
 
Back
Top Bottom