Naomba formula ya fixed charge ya Richmond/Dowans | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba formula ya fixed charge ya Richmond/Dowans

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, Jan 3, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Wadau, naomba mnisaidie kujua jinsi fixed charge ambayo Tanesco walikuwa wakilipa kwa Richmond/Dowans.

  Kuna uwezekano mkubwa Dowans/Richmond hawakutaja thamani sahihi ya uwekezaji wao ili walipwe zaidi.

  Nimeona kwenye kesi ya Dowans/RDVECO kuwa ile mitambo ilinunuliwa kwa $7.5m
   
Loading...