Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
5 Reactions
28 Replies
610 Views
Nimesikiliza kwa makini sana interview Yako na Jambo Digital Tv Online, mwishoni Mwandishi akakuuliza yake yaliyotokea Tarehe 29 Oktoba 2025 ukamjibu iundwe Tume ya Mahakama ya Truth and...
0 Reactions
9 Replies
305 Views
Hamjambo! 1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga. 2...
8 Reactions
93 Replies
3K Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema Kanisa halitayumbishwa wala kujadiliana katika masuala yanayohusu imani yake, akisisitiza kuwa yuko tayari kuisimamia imani hiyo...
5 Reactions
3 Replies
365 Views
Napenda kueleza hisia zangu kuhusu haya yanayoendelea nchini Tanzania, kiasi cha kuundwa rasmi team mbili kuu. Yalianza rasmi enzi za Magufuli, kutekwa risasi, kufungwa kufilisiwa nk. Huenda ni...
3 Reactions
6 Replies
246 Views
Sina mengi ya kueleza kila mtu aliona, what he did that strong and patriotic man. Kwa mtizamo wangu ,the man anastahili kupewa Tunzo ya kupigania Taifa na rasimali zetu, akiwa the best soldier...
3 Reactions
7 Replies
279 Views
Siku tume huru ya uchaguzi ikipatikana ccm hawana chao tena nchi hii. Chadema ilikuwa inapendwa hata kabla ya haya mauaji ya halaiki ya watanganyika. Baada ya haya mauaji ya kikatiri nadhani ccm...
6 Reactions
10 Replies
247 Views
Kila baada ya nusu saa gari za polisi zinapita .GEN Z leo hatuna mengi tumewapa muda wa kutosha . Karibuni
3 Reactions
2 Replies
194 Views
Na watanzania tulivyo wa ajabu, na licha ya kuwa tulitukanwa kuwa hatufanyi kazi bado tumejazana kwenye kuview nyimbo zao. Inashangaza sana kuona wasanii tena wakubwa waitanzania ambao wanahamasa...
6 Reactions
26 Replies
749 Views
Makamu mwenyekiti CHADEMA bara John Heche anandika kupitia ukurasa wake wa Instagram kuhusu TRC Kusimamisha safari za SGR kutoka Morogoro -Dodoma kutokana na athari za mvua. "Mradi wa reli ya...
4 Reactions
6 Replies
333 Views
Huwezi kuua watu, miili ya watu umetupa porini, mingine umefukia makaburi ya halaiki, unaendelea kuteka na kuwabambikia watu kesi, halafu ukasema unataka maridhiano!! Ni upuuzi wa hali ya juu...
3 Reactions
0 Replies
150 Views
Maelfu ya waganda wanaomuunga mkono mgombea wa chama Uganda National Uñity platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu almaarufu kama Bobi Wine, wameanza kuhamasishana kugomea Uchaguzi wa nchi hiyo...
8 Reactions
11 Replies
396 Views
Hakuna mmbunge mwenye maslahi kuzidi hawa ma DG wa taasisi za Umma. Massanja aliamua ku risk UDG wake over ubunge, hii ni kwa sababu Massanja anajua alichokifanya pale TRC na ufisadi mkubwa...
9 Reactions
20 Replies
728 Views
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, ameonekana akiwa katika hali ya furaha kubwa kanisani kwake, akicheza na kuimba pamoja na waumini, ikiwa ni mara ya kwanza kuonekana...
5 Reactions
24 Replies
865 Views
Anaandika Baba Askofu Dk Bagonza kutokea Dayosisi ya KKKT Karagwe Kagera. Dr. BASHIRU NA MATUMIZI YA DOLA. Duh!! Najua hili limegusa sana. Kila gazeti litaandika na sisi "mashabiki waandamizi"...
63 Reactions
105 Replies
11K Views
Kuna live ya tiktok inaendeshwa watu wote mule anaeongea kazi kulaumu wenzie kisa hawajaikanzisha huku yeye mda huo hajafanya kitu kakaa ndani sijui anasubiri nani akinukishe wazee Kwa staili hiyo...
1 Reactions
1 Replies
136 Views
KUIFUTA CCM SIO KUONDOA MATATIZO YA TAIFA HILI. HIYO NI PROPAGANDA YENYE UONGO MKUBWA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kuna watu wanadanganya Watanzania matatizo ya Nchi hii ni uwepo wa...
10 Reactions
123 Replies
2K Views
Ukishazaliwa Kigoma au ukiwa na asili ya Kigoma jambo la kwanza unalotakiwa kuwa nalo (kichwani) kabla ya yote unatakiwa kuwa na uelewa mzuri wa maswala ya elimu ya uraia na utaifa. Kwasababu hiyo...
16 Reactions
99 Replies
7K Views
Nafuatilia kwa umakini utapeli ambao unaendeshwa na chama cha Demokrasia na Maendeleo kupitia kwa kiongozi wao ambaye Yuko Gerezani Tundu Antipas Lissu Kwa kuwafungua masikio na macho watanzania...
2 Reactions
19 Replies
546 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…