Badala ya Tume kujenga ukaribu na wananchi ili wapate wanachokitaka wamejipa mamlaka ya upolisi na kuanza kuwafokea.
Namshauri huyu Mkiti wa Tume, kuliko kuanza kujibizana na vijana wadogo bora...
List ni ndefu na vichwa ni vingi.. Nina heshima kwa wengine pia nimeona juhudi zao, uwezo wao, maono yao na michango yao.. Kwa hakika ya moyo nimewapa salute yangu kubwa
LAKINI naomba niwatambue...
Baraza la Wasafirishaji Tanzania (Tanzania Shippers Council – TSC) limewaalika wadau wa sekta ya umma na binafsi kushiriki katika mdahalo maalum unaolenga kujadili njia bora za kuendesha bandari...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa...
Wakazi wa Kijiji cha Nindi, Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe, wamekubaliana kuchangishana fedha kiasi cha Shilingi Milioni 25 kwa lengo la kukabiliana na changamoto ya upatikanaji wa...
Nimefurahi kukuona ukiwa karibu sana na Wazee wa kutoka Mkoa wangu Tukuka wa Mara (Musoma) kwani huko ndiko kuna Vipanga (Geniuses) wengi halafu ni Watu Wakweli, wasio yumbishwa, wasio Wanafiki...
Nyie wote ni mashahidi namna ambavyo humu jukwaani kumejaa hoja za kutetea utekaji, mateso, ufiraji na hata mauaji yanayotekelezwa dhidi ya raia wa Tsnanzania.
Mmeshuhudia namna wanavyojenga hoja...
Kura zilipogwa kwa uwazi na Diwani Kapembe kushinda kwa aslimia 70.
Manunga alishawachosha watu wa Chato. Anatuhuma nyingi sana ikiwemo ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi.
Kapembe ameahinda kwa...
Wakili Jebra Kambole anasema:
Mahakama imepanga kusikiliza kesi ya Kupinga Uteuzi wa tume tarehe 10/02/2026 baada ya muda wa Tume kuisha. Bila kujali maslahi mapana ya kesi na kuzingatia hati ya...
Luka 13:32
Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: ‘Leo na kesho ninafukuza pepo na kuponya wagonjwa, na siku ya tatu nitakamilisha kazi yangu.’
Kabla ya uchaguzi, Wati walishasema...
Serikali imetangaza mpango wa kuanzisha Youth Special Economic Zones (YSEZ) utakaotekelezwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo, kwa lengo la kuwawezesha vijana kuingia kwenye uchumi wa...
Uongozi wa Samia hautakuwa kama miaka iliyopita na tusahau mambo kurudi kama zamani.
Samia amepoteza heshima kwa chama chake, nchi yake na wananchi wake. Nani atamweshimu mtu fake! Yaani ni sawa...
Merry Christmas to all good people. Kama unaona hii salamu haikuhusu, basi sio mbaya. Mimi sina hiyana.
Salaam Alaikum. Hii salamu ukiondoa lugha, kimuktadha haina mipaka. Ni kwa vile tu...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Kingunge Ngombale Mwiru amesema bila ya kuwa na tume huru ya uchaguzi na Katiba Mpya, vyama vya upinzani visahau kushinda urais katika Uchaguzi Mkuu ujao.
Kauli ya...
Nilikaa kimya kwa muda baada ya Waraka wa Kanisa Katoliki, nilifanya hivyo ili kuruhusu mitazamo ya wengine katika tafakuri za waraka huu. Kabla sijachambua Waraka huo, Kwanza nithibitishe kuwa...
Bila kuongeza maneno, isome ripoti nzima hii:
TAARIFA YA UCHUGUZI JUU YA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBANDA IMEWASILISHWA NYUMBANI HOTEL - TANGA MEI 30, 2013
​
UTANGULIZI:
Usiku...
Wadau, mimi nilishajua kuna siku nitakufa.
Lakini kabla sijafa nasema bila Polisi na Usalama wa Taifa kumkamata mtu anaitwa Joseph Ludovick, hawatakaa kamwe wajue kilichojificha kwenye sakata la...
Kwa kimombo tungesema! Did we mess up with wrong generation?
Jibu linaweza kuwa ndio ama hapana kulingana na mitazamo, fikra na maono! Ila kiuhalisia watoto wa mjini wanasema tumeingia cha city...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.