Uchaguzi 2020 CCM ikianguka, kitachofuata ni Magufuli na timu yake kutakiwa kujiuzulu nafasi zao ndani ya CCM

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,371
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea leo wala kesho na zaidi wataishia kukushangaa tu na hii ni kwasababu wamekariri.

Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo, hakuna jipya zaidi ya teknolojia.

CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo imetokea kwa vyama vingine duniani, na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani, ila mwisho wa siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuombwa kwa ulimwengu huu.

Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia(imani) hii inazingatiwa zaidi, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(Maandiko Matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.

Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.

Kwahiyo, ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi, na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa-utabiri.

Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi, si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.

Time will tell.
 
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea na hata kukushangaa.

Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo hakuna jipya zaidi ya teknolojia.

CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo ikitokea kwa vyama vingine duniani na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani ila mwisho wa Siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuomba kwa ulimwengu huu.

Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.

Ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaja Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa.

Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi,si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti).

Time will tell.
Madini matupu
 
Tuliwaambia ccm katiba yao ndio kitanzi kwao haya mambo ya mwenyekiti kuwa na nguvu kuliko chama ndio yamewagharimu tuliwaambia watenganishe kofia mbili ili waweze wajibishana yaani ukikosea ukiwa raisi unafutwa uanachama Kama ili ANC ili kulinda maadili ya chama, awakusikia, huwa wanaelewa wakiwa nje ya madaraka.
Badala ya ccm kujiwekeza kwa wananchi eti wanajipendekeza kwenye dola then dola yenyewe wamewanyima mishahara 5 yrs nao hapo patamu aisee.
 
Kuna watu ukiwaambia habari au uwezekano wa CCM kutoka madarakani, wanakuona unaongea jambo ambalo haliwezi kutokea na hata kukushangaa.

Tunachosau wanadamu wengi ni kuwa,katika huu ulimwengu ambao umekuwepo kwa mamilioni ya miaka, hakuna kinachotokea leo hii ambacho ni kipya, bali yote ni marudio tu na ndio maana mtu ukiwa muumini mzuri wa historia, watu wanaweza kukuona wewe kamaa Nabii au mtu mwenye maono wanasahau kuwa katika dunia ya leo hakuna jipya zaidi ya teknolojia.

CCM hakitakuwa chama cha kwanza kaanguka baada ya kuwepo madarakani kwa muda mrefu kama ambavyo ikitokea kwa vyama vingine duniani na pia Magufuli hatokuwa mtawala wa kwanza asietarajiwa kuanguka kutoka madarakani ila mwisho wa Siku akaanguka kama ilivyotokea kwa watawala wengine tangu kuomba kwa ulimwengu huu.

Eleweni tu hata dini ni historia katika imani na kwasababu historia hii inazingatiwa zaidi kiimani, ndio maana leo hii mnaona watu wanatumia mistari ya Bibilia(maandiko matakatifu) kutabiri anguko la Magufuli na ushindi wa Lissu.

Kwa msingi huu,Magufuli na CCM yake wanaweza kuanguka mara baada ya uchaguzi au kutokana na yatayojiri baada ya matokeo kutangazwa.

Ikitokea Magufuli anashindwa uchaguzi na Lissu akasimamia kauli yake na Magufuli akaondoka madarakani kwa amani au vinginevyo, kitachofuata ni wana-CCM kutaka Magufuli na timu yake kujiuzulu uongozi wa chama kama sehemu ya wao kuwajibika kisiasa.

Hivyo,Magufuli,iwapo atashindwa uchaguzi,si tu atapoteza nafasi ya kuwa Raisi,bali ana hatari ya kupoteza na nafasi ya kuwa kiongozi mkuu wa chama(uenyekiti) na kuwa raia wa kawaida mwenye hadhi ya Raisi aleshindwa kutetea nafasi yake kwa mara ya pili.

Time will tell.
Tuongeze nguvu ccm inashuka.
 
Hivi kweli unaona Chadema inaweza kushinda uchaguzi 2020!!?? Utakuwa una matatizo kwenye akili yako si bure!
 
CCM haitaanguka

Jiwe Jana na leo walikuwa na kikao na Wakurugenzi nchi Nzima..lengo Ni kuiba Kura na kuhujumu uchaguzi.

Ndio maana hakufuata ratiba ya Kampeni Iringa
Hakuna haja ya kuiba kura! Watz wanampenda Rais Magufuli kuliko unavyofikiria.
 
mimi hapo zamani nilikua namkubali lisu.ila kwa sasa haelewel elewek.Anasema anatoa kodi.hivi kwa akilonya kawaida nchi gani hailipi tax payer.marekan lwenyewe ni tax mpaka lwekena lwake.
vyama tawala vemeji reform na kuweka sera na mikakati usifikiri wewe peke yako ndio una uwezo wa kufikiria
 
Back
Top Bottom