Dkt. Slaa nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo. Naami uko mzima na unaendelea vizuri na uwakilishi wa nchi yetu huko uliko,
Bila shaka unajua na unafatilia jinsi kampeni zinavyoendelea...
Tume ya Taifa ya uchaguzi imesisitiza kuwa Uchaguzi utakaofanyika Tarehe 28 Oktoba, 2020 utakuwa huru, wa haki na wenye kuzingatia uwazi kwa mujibu wa sheria.
Hayo yamesemwa na Makamu Mwenyekiti...
Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe)
Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi...
Ndugu zangu, hakika chama chetu kikongwe kimejaa propaganda za maji taka, makada walijitokeza na propaganda kuwa Lissu hawezi kurudi Tanzania,Lissu aliwathibitishia watanzania kuwa angerudi tu...
Uchaguzi huru na wa haki unaanzia kipindi cha kampeni, lakini tunaona uoendeleo wa wazi kwa CCM.
Mgombea wake Magufuli kila anapopita anaomba kura kwa vitisho lakini hakuna anayehoji iwe ni NEC...
Kwa muujibu wa tume ya uchaguzi wapiga kura walioko kwenye daftari la mpiga kura ni zaidi ya 29m.
Katika wapiga kura hao 29m wana mitazamo tofauti juu ya wagombea urais wa Tanzania.
Kuna wale...
Nimejaribu kudadavua mantiki ya kumkea Lissu kwamba ma tamshi yake yana viashiria vya uvunjifu wa Amani na mpasuko wa nchi,
Akiongea Lissu tutasinda kwa kimbunga, Mimi ndo mshindi, inatatizo gani...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa nchini Sisty Nyahoza, ameviasa vyama vya siasa vinavyotaka kuungana siku ya Oktoba 3 mwaka huu, kuacha mara moja mpango huo kwani wanakiuka utaratibu wa sheria...
•LISU AMESEMA WATUMISHI WALIONGOMBEA NA KUSITISHIWA MISHAHARA YAO,WATAREJESHEWA KAMA MAPUNJO YA MSHAHARA WA KAWAIDA,AMESEMA WATUMISHI WALILADHIMISHWA KUANDIKA BARUA ZA RIKIZO ZISIZO KUA NA MALIPO...
WATANZANIA TUPO KATIKA KIPINDI CHA KAMPENI TUZINGATIE YAFUATAYO:-
Unapodai kutendewa haki kumbuka na wewe una wajibu wa kutimiza. Wajibu wa kila mmoja wetu ni pamoja na kutii Sheria, kuepuka...
TANZANIA’s incumbent President John Magufuli’s undisputable landslide win in the October 2020 elections will implicitly emanate from the incredible majority support of the people he served...
Akiwa mkoani Ruvuma, Manispaa ya Songea mjini akiwahutubia maelfu ya watani zangu wale ambao ukimwachia mke wako dakika mbili ujue imekula kwako Zitto zuberi Kabwe amesisitiza lengo ni kuiondoa...
Na: McWenceslaus
01/10/2020.
www.ccmmpya.org
Habarini za muda ndugu wanabodi wenzangu! Poleni kwa kazi na majukumu mengi ya siku. Baada ya kukaa kwa muda hivi, tukiwa tunatathiminu hali ya...
Mwaka huu wa uchaguzi tunashuhudia kampeni za uchaguzi zikiendelea kushika kasi huku upande wa upinzani ukiwa na hoja imara zenye kukosoa sera za kimazoea za chama tawala. Nasema ni sera za...
Tukiwa tunaadhimisha Siku ya Wazee Duniani ni vyema tukakumbushana juu ya Sera ya Taifa kwa Wazee.
Katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, Chama Cha Mapinduzi kiliendelea kuisimamia Serikali...
Penye ukweli usemwe.
Mtu wa kwanza kumsikia akipiga marufuku michango-michango ni TUNDU LISSU.
Wapo wana-CCM walimshutumu sana Tundu Lissu ama kwa kushindwa kumuelewa, au kwa kuongozwa na...
Wacha CCM wazungumzie sera mpaka washikwe na presha, huku upinzani ni kampeni za kuisaga CCM na kuonyesha uovu wake wote na hawastahili kuongezwa hata dakika moja.
Waende mitaani na sera zao za...
Lissu akiwa Sumbawanga kadai kuwa wakina mama wajawazito wanatozwa tozo mahospitalini pindi wanapojifungua.
Kuwa mama akijifungua mtoto wakiume anatozwa tozo kubwa kuliko aliejifungua mtoto wa...
Ujenzi holela majengo katikati ya Jiji Mwanza vibali vyatolewa kwa Tsh. Milioni 50
Jiji la Mwanza chini ya Mkurugenzi wake, Kiomoni Kibamba limezidi kuchafuka na kukithiri kwa majengo...
Dkt. John Magufuli, mgombea urais kupitia CCM amesema akichaguliwa atatuma Tsh milion 5 ili kujenga madarasa ya shule ya msingi Ulanga ambayo mwanafunzi aliyekuwa kwenye mkutano wa kampeni alitaja...