Uchaguzi 2020 Lissu ameahidi kurejesha mishahara ya Watumishi waliogombea

makwagejo

JF-Expert Member
Nov 25, 2019
361
267
•LISU AMESEMA WATUMISHI WALIONGOMBEA NA KUSITISHIWA MISHAHARA YAO,WATAREJESHEWA KAMA MAPUNJO YA MSHAHARA WA KAWAIDA,AMESEMA WATUMISHI WALILADHIMISHWA KUANDIKA BARUA ZA RIKIZO ZISIZO KUA NA MALIPO YA MIEZI MIWILI,

•LISU AMESEMA HUU NI WIZI KAMA WIZI MWINGINE,AMEHOJI MAMBO YAFUATAYO,:

JPM WAKATI ANAGOMBEA BIHALAMURO AKIWA MWALIMU ALIKATWA MSHAHARA?LISU AMEULIZA JE WATUMISHA WANAODAIWA NA MABENK WANAREJESHAJE MAREJESHO YAO ?MABENKI YAMELAZIMU KUKATA MISHAHARA YAO YA KAWAIDA,

•LISU AMESEMA MTUMISHI AMEKAA MIEZI MIWILI BILA KULIPWA MSHAHARA LEO MSHAHARA UNAINGIA ANAKATWA REJESHO LA JULY,BADO HAJALIPA MADENI YA MTAANI NA FAMILIA INABAKI NA HAKUNA MSHAHARA,

•LISU AMESEMA HAYA YATAISHA OCTOBER 28,SERIKALI ITARUDISHA MAREJESHO YA BENKI NA MISHAHARA YAO,

•TUWAANGALIE SANA HAWA WATUMISHI WALIOGOMBEA KUPITIA CCM,NA WALIKUWA WATUMISHI NA WANAELEMENT ZA KISIASA WAMEJIPANGA KUIHARIBU KABISA CCM,KWA KUWADOKEZA WAPINZANI HABARI KAMA HIZI,WENGINE WANASEMA WAMEKICHANGIA CHAMA KWA KIASI KIKUBWA SANA KUPITIA FORM ZAO

•POLEPOLE UNATAKIWA KUJIBU HOJA ZA LISU ,
 
1601117873102.png

Spana za Tundu Lissu anatembea nazo nyuma ya gari. Zinakaza mpaka chumvi inaongezeka kwenye damu.
 
Makonda nafikiri kasikia, ampigie kura Lissu apate mshahara alionyimwa na baba
lisu amehoji watumishi mwezi wa saba walisaini daftari la mahuzurio,mwezi mzima inamaana waliomba likizo isiyokua na malipo ya mwezi wa saba huku wakiendelea kusaini?huu ni utata kisheria,lisu amesema mtumishi hawezi kuipa serikali ofa au service free,huu ninitata kisheria kwa katibu mkuu
 
Back
Top Bottom