Michango alianza kuifuta Tundu Lissu, Dr. Magufuli ameiga tu

Tatizo lako hukubali kama CHADEMA/UKAWA kwa sasa wako kwenye state of disorganization!

Tundu Lissu hana mamlaka ya kupiga marufuku michango. Mamlaka ya kushauri na mamlaka ya kufuta ni vitu viwili tofauti.

Tundu Lissu kama Mbunge ni mmoja tu kati ya wajumbe wa baraza la madiwani na hana hata mamlaka kisheria ya kuitisha mkutano wa viongozi wa jimbo achilia mbali kuamlisha watu kisheria ili wasifanye jambo ambalo liko kisheria. Hana hata kura ya veto kwenye baraza la madiwani.

Tundu Lissu hakupiga marufuku bali aliwashauri wananchi wasichangie kwenye shughuri za maendeleo kwa sababu kazi hiyo niya serikali.

Kama kweli Tundu Lissu ana madaraka unayotaka kutuaminisha, mwambie awaambie wananchi wasilipe kodi!

Hoja zako hazina tofauti sana na hizi tunazopigiwa kelele kwa sasa hapa jamiiforums eti Magufuli ni UKAWA.
 
tua mambo yasonge mbele kampeni zimekwisha hatuwezi kuwa Taifa la kuangalia nyuma kila siku ni kampeni kana kwamba uchaguzi bado,kilichopo mbele ni kufanya kazi ili Taifa hili liolndoke hapa lilipo
 
tuache mambo yasonge mbele kampeni zimekwisha hatuwezi kuwa Taifa la kuangalia nyuma kila siku ni kampeni kana kwamba uchaguzi bado,kilichopo mbele ni kufanya kazi ili Taifa hili liolndoke hapa lilipo
 

Mkuu JokaKuu, nilifikiri ile iga iga na kuibilizia ni kwa ajili ya kampeni tuu, ila kuiga mazuri ndio mpango mzima!, wasiwasi wangu ni kama ndio anatekeleza sera za Ukawa, then Ukawa utakuwa na nini cha kusema 2020?!.

Pasco

La msingi ni Nchi iende tu na ndo hata wapinzani tulikuwa tunayataka haya la kuongea au la kufanya hatuwezi kukosa bro nkwambie tu lakini wapinzani nahis ndo tunaofurahishwa zaid na kasi Ya Magufuli kuliko CCM ambao wamezoea ujanja ujanja tu.
 
Hehehe eti "hongera Tindu Lissu kwa msimamo wako thabiti"

Sasa wkt "anapiga marufuku" wananchi na wenyewe waliacha kuchangia au?
Na yy ni nani hata apige "Marufuku"
 
ck zote kuna nyeupe na nyeusi.na hata kama una die kisop ndani ya mioyo yetu tunajuaganda la capsoz c dawa ila ungawake.
 
MsemajiUkweli

Iko hivi mnyampaa.Tundu Lissu hakushauri bali aliamuru mwananchi ndani ya jimho lake(langu) asilazikishwe mchango wowote kwa kuwa mchango ni hiari.
Kabla ya hapo serikali ilikuwa inalazimisha michango na mtu akishindwa kulipa,mgambo wangekuja kumnyang'anya ngombe,mbuzi au kuku.
Baada ya TL kuwaelimisha watu,migambo walipata kichapo na hakuna tena michango.
TUNDU LISSU NDIO MWASISI WAKUZUIA MICHANGO YA LAZIMA NA RAIS DR.MAGUFULI anafanya vema kuchukua mambo mazuri bila kujali mwanzilishi
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA kitovu cha sera,CCM tegemezi wa sera za CHADEMA-huu ndio ukweli.
Sera zipi maana toka kampeni zinaanza mpaka zinaisha mgombea urais wa Chadema neno fisadi alishindwa kulisema.

Unakumbuka mahojiano kati ya Lowassa na BBC aliulizwa vipi kuhusu vita ya ufisadi unakumbuka alichojibu.

Naona sasa hivi pro-Chadema JF wamehamua kujifariji na kujiliwaza na utendaji wa Dr.Magufuli.

Kilichobaki tu mfanye maandamano ya kumuunga mkono.
 
Back
Top Bottom