Uchaguzi 2020 Mzee Dkt. Slaa popote ulipo

MNFUMAKOLE

JF-Expert Member
Nov 14, 2014
1,400
1,703
Dkt. Slaa nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo. Naami uko mzima na unaendelea vizuri na uwakilishi wa nchi yetu huko uliko,

Bila shaka unajua na unafatilia jinsi kampeni zinavyoendelea huku!!

Natamani Sana kusikia au kusoma maoni yako kuhusu kampeni zinavyoenda huku! Ujengaji wako wa hoja ndio ulionishawishi hadi nikawa mpenzi wa siasa!

Natamani Sana kusikia maoni yako, kuhusu kijana wako Tundu Lisu!

Unasemaje kuhusu familia ya Mwl kumkaribisha Tundu Lisu nyumbani kwao?? unalisemeaje hili?

Tafadhali mzee wangu, sema japo kidogo! tusahau ya mwaka 2015! Hata mimi sikufurahi jinsi ilivyotokea!

Kwani wewe tayari ulishakuwa funguo za kufungulia kufuli.
 
Dr. Slaa hajawaacha salama pamoja na yeye kukaa kimya bado kuna watu wanamuwaza, isingekuwa upeo mfupi wa chadema sasa hivi hata wabunge wa kupita bila kupingwa isingetokea.
 
Dkt. Slaa nakusalimu kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo. naami uko mzima na unaendelea vizuri na uwakilishi wa nchi yetu huko uliko,

Bila shaka unajua na unafatilia jinsi kampeni zinavyoendelea huku!!

Natamani Sana kusikia au kusoma maoni yako kuhusu kampeni zinavyoenda huku! Ujengaji wako wa hoja ndio ulionishawishi hadi nikawa mpenzi wa siasa!

Natamani Sana kusikia maoni yako , kuhusu kijana wako Tundu Lisu!

Unasemaje kuhusu familia ya Mwl kumkaribisha Tundu Lisu nyumbani kwao?? unalisemeaje hili?

Tafadhali mzee wangu, sema japo kidogo! tusahau ya mwaka 2015! hata mimi sikufurahi jinsi ilivyotokea!

Kwani wewe tayari ulishakuwa funguo za kufungulia kufuli.

Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
 
Magufuli hajajiandaa kisaikolojia matokeo yakiwa mabaya kwake. Huu urais anajiona kama alizaliwa nao na maamuzi yake tu ndiyo ya sikilizwe.
Alishasemaga kz ya urais ngumu mno na alijaribu tu wakamsukumizia Mzee baba Tumia nafasi hii Mwamchie jamaa we kapunzike na ukaleee familia
 
Dr. Slaa inaonekana anamkubali sana Lissu. na kama kweli yeye husimamia ukweli na kwa kuwa Lowasa hayupo tena CDM.. basi mzee atangaze kumuunga mkono Lissu
Ukisha kuwa upande huo aliopo, ni lazima ujitoe ufahamu. Nakumbuka, hakuonyesha masikitiko kwa tukio la kupigwa risasi Lissu. Alidai ni tukio la kawaida, na yeye Lissu sio wa kwanza.
 
Magufuli hajajiandaa kisaikolojia matokeo yakiwa mabaya kwake. Huu urais anajiona kama alizaliwa nao na maamuzi yake tu ndiyo ya sikilizwe.

Kumbe nawe dada yetu sky umechoshwa na jiwe,
Kiukweli jiwe litabaki🤫
KATIBA mpya ya jamuhuri ndo itakuwa na uwezo kumpa
na kumnyima Rais mamlaka juu ya wananchi wake . Ila katiba yetu tunayoitumia inamamlaka mengi juu ya Rais,ambayo yanakuwa chini ya ofisi , pia na utekelezaji wake .
Mamlaka mengi juu ya Rais ,kunakuwa hakuna usawa wa kidemkrasia ,Uhuru wa habari,na mfumo vyama vingi utakuwa ni uongo.
 
Tundu Lissu 'amekaribishwa' na Mmoja wa Watoto wa Hayati Mwalimu Nyerere aitwae Madaraka na hakukaribishwa na Familia yake. Msipotoshe!!!
Kwa taarifa yako tu...
Madaraka ndio msimamiz wa familia ile. So makongoro wala yule dada.
Mkuu wa kaya n Madaraka.
Kwa kukuongezea, Madaraka ndiye aliyemuomba mama yake, Maria aende kweny mkutano ambao awali alikataa katukatu.
Acha Dawa Iwaingie
 
Mzee alikuwa anajua hadi sio poa.
Nakumbuka press yake ya mwisho na waandishi wa Habari.

Alimchana sana Lowasa kama ni Asset ama Liability.......
Heshima kwako Dr slaa.
 
Kwa taarifa yako tu...
Madaraka ndio msimamiz wa familia ile. So makongoro wala yule dada.
Mkuu wa kaya n Madaraka.
Kwa kukuongezea, Madaraka ndiye aliyemuomba mama yake, Maria aende kweny mkutano ambao awali alikataa katukatu.
Acha Dawa Iwaingie

Huna unachokijua 'Mpuuzi' Wewe na Siku zingine uwe 'Unanyamza' ili wenye 'Vinasaba' na hiyo Familia na Ukoo tukuambie ili nawe ufaidike sawa?
 
Huna unachokijua 'Mpuuzi' Wewe na Siku zingine uwe 'Unanyamza' ili wenye 'Vinasaba' na hiyo Familia na Ukoo tukuambie ili nawe ufaidike sawa?
Ngoma ya wajinga huchezwa na wapumbavu
Unajukutaga unajua kila kitu HAYAWANI wewe!! Mengine unahis unajua ila hujui. Na wasiokujua wanajua wew ndio kila kitu kumbe ZWAZWA wa kiwango Cha PhD. MBWA KOKO TU
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom