Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 18,174
- 27,202
Habari wanajf, leo nipo hapa kuzungumzia baadhi ya wapiga kura wetu. Ni kweli ili tushinde uchaguzi tunahitaji wapiga kura wengi sana sana ila kuna baadhi inatubidi kuwakataa.
Kwa nini tuwakubali watu ambao hawaeleweki? Chama kitaundwa na kuwa supported na watu wanaojielewa, sio kila mtu anakurupuka anajifanya ni mwanachadema au upinzani.
Wapiga kura hawa wanaoonekana kwenye video wanaweza kutumika kutunyima kura zaidi kutoka kwa watu wengine huko, hivyo watu wa aina hii HAPANA.
Chini nimeweka picha na video ya watu ambao wanasema nao watapigia kura chadema, ila tusiwakubali na ikibidi tuwapige marufuku kuleta mazoea kwenye chama.