Uchaguzi 2020 Polepole: Tunataka kuona NEC ikitenda haki, ole wake Tundu Lissu asipoitikia wito wa Tume!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,924
141,891
Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama chake kinataka kuona Tume ya Uchaguzi ikitenda haki na Ole wake Tundu Lissu kama hataitikia ama kukaidi wito wa tume.

Chanzo: TBC

My take: Huu ndio wakati wa kuona makali ya Tume, naunga mkono.

Maendeleo hayana vyama!
 
This guy has some kind of syndrome !!!!!! Polepole hayuko sawa. Hawa ni wa kunyonga kutumia sheria zao walizotunga na jela walizoboresha. Kuwapeleka The HAGUE ni kuwapa gandhi wasiyokuwa nayo

When their time comes, they should all be arrested, and tried here. Majangili yote wakina slow slow, Judge mstaafu na wahuni wa Tume ya uchaguzi
 
Back
Top Bottom