Uchaguzi 2020 Mungu humwinua mtu asiye na nguvu kuangusha ufalme

Ne Mbwitu

JF-Expert Member
Aug 23, 2020
275
802
Yusufu aliinuliwa kuwakomboa familia ya Yakobo na janga la njaa.

Musa aliinuliwa kuwakomboa wana wa Israel kutoka ufalme wa Farao

Daudi aliinuliwa kumwangusha Mfalme Sauli

Daniel aliinuliwa kumwangusha Mfalme Nebukadreza

Mandela aliinuliwa kuuangusha utawala wa kikaburu na kibaguzi wa Afrika kusini

Nyerere aliinuliwa kuuangusha utawala wa kikoloni Tanzania

Lissu ameinuliwa kuuangusha utawala wa CCM ya Magufuli Tanzania

Mungu huinua na kuangusha tawala na falme kwa nyakati zake na majira yafaayo.

Lissu kama ilivyokuwa kwa wapakwa mafuta wengi mfano Nabii Musa, Nabii Yusufu, Mtume Muhammad, Nabii Daniel, Mfalme Daudi, Bwana Yesu, Mandela nk, ametokea uhamishoni,mafichoni, kizuizini au gerezani kuja kukamilisha unabii.
 
Majamaa Kwa ngonjera hayajambo...hakuna namna kubalini tuu kuwa CCM bado ipo sana kwenye siasa za nchi hii.

JPM ANATOSHA
CCM USHINDI NI JADI
 
Mtatoa mifano yote lakini hamtoboi ng'ooo "every one for him/her self but God for everybody.
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu.

Walikuwepo akina Hitler, IDD Amin, Bashir wa Sudan, Hosni wa Misri, nk leo wapo wapi na ufalme wao upo wapi.

Hakuna linaloshindikana kwa Mungu kumwangusha mtawala dhalimu, katili, mtesi na asiyethamini UHAI wa watu wake
 
Lissu anataka kuwaangusha watanzania kisha kuzamisha na kuipoteza Tanzania. Lissu amenukuliwa akitamka hayo hadharani. Jana katamka anataka watanzania tuishi katika zama za kikoloni, na siku zilizopita alitamka wazi kuwa Tanzania siyo lazima kuendelea kuwepo.

Kwa hiyo kumfananisha Lissu na Daudi na wengine uliowataja ni kujichumia dhambi na kujiletea uhasama dhidi ya watanzania wanaoipenda nchi yao kwa moyo wa dhati iwe jua iwe mvua!
 
Huwezi kushindana na Mungu ukashinda. Damu za wa Tanzania waliouwawa kwa mateso, risasi, kutekwa, kutiwa kwenye voroba na kutoswa baharini zinalia Mbele ya Kiti cha Enzi cha Mungu...
Hayo yote unayaongea ukiwa barabarani unadunda masaa yote kwa amani ata ukitaka adi saa nane za usiku kisa tuu ni mahaba yakutaka kuona mabadiliko ya uongozi,

lakini vyote ulivyovitaja havipo kwa JPM ata leo hii dunia inawashangaa kusikia watu wanakufa kwenye viroba kuwa ndo hoja ya kuonesha kuwa rais ndo muhusika kama vile hakuna raia wauwaji na wenye visasi na wenzao ,wakati watu huko duniani wao wanapigwa risasi mchana kweupe na mauji kama hayo yapo karibia kila nchi.ndo naana hakuna mzungu anayeongelea ujinga wenu. kuna baadhi ya mambo mnatakiwa kujitathimi kwanza.
 
Amini nakuambia, misheni yote ya jaribio la udhalimu na kujaribu kumuua Tundu Lissu litakuwa wazi muda sio mrefu. Mbegu ya ukweli hata uifiche na kuitupa mbali ipo siku itaota na itamea na watu watajua
Ni vizuri kama mmesha mpata muuaji maana dereva alikuwa amefichwa sasa labda kaja nao wauwaji wa lissu.
 
Wanaishabikia ccm ni watu wajinga ama wenye roho mbaya na ulafi wa madaraka.
Huo ndo ujinga wako wakufananisha ushabiki wa mpira na wa kisiasa ambao una maslahi makubwa kwenye maisha yako.ata kama chama kinakupotosha unajiona mwenye akili kumbe huku tunakuchora nakukuona fala tuu na mental disturbed.
 
Huo ndo ujinga wako wakufananisha ushabiki wa mpira na wa kisiasa ambao una maslahi makubwa kwenye maisha yako.ata kama chama kinakupotosha unajiona mwenye akili kumbe huku tunakuchora nakukuona fala tuu na mental disturbed.
Haiingii akilini kumchagua Gwajima mtu wa hovyo mwenye matusi, dharau, mhuni, na mwenye kuhamasisha ukabila nchini. Ni mpumbavu tu ndio atamchagua huyu askofu wa wajinga.
 
Back
Top Bottom