Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia MAKINI, Ameir Hassan Ameir amemtaka mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe kuwaomba radhi baada ya kauli yake aliyoitoa mbele ya...
8 Reactions
69 Replies
8K Views
Mabibi na mabwana heshima kwenu. Nimesikiza kipindi hiki "Meza Huru" ITV leo. Katika kipindi hiki watu mbali mbali walikuwa wakihojiwa kulingana na mwenendo wa kampeni. Sikia mambo hapa kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."...
0 Reactions
0 Replies
839 Views
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi? Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
20 Reactions
104 Replies
9K Views
Kichwa cha habari chajitosheleza, Magufuli hivi hupata wasaa hata wa kusikiliza kile ambacho huongea kwa umma usiku kabla hajalala? Maana wanadamu kiasili huwa tuna nguvu kubwa sana ya ziada pale...
10 Reactions
51 Replies
5K Views
Kwa wapenda haki, uhuru na maendeleo ya jamii. Hivi sheria kuhusiana na mwenendo wa mgombea iko je? Ni lazima kuwa mgombea tu kulalamika? Au je ni lazima iwe ni chama tu? Miye binafsi kama mpiga...
3 Reactions
4 Replies
769 Views
Mgombea urais wa Chadema kwa ngazi ya urais JMT alienda Zanzibar akafanya mkutano,na katika mkutano alioufanya aliongea mambo mengi,ikiwemo kutaka kuwe na muungano wa Serikali tatu. Lakini alienda...
3 Reactions
77 Replies
6K Views
Muulize na jirani yako ni kitu gani binafsi kimembadilikia katika maisha yake tokea aichague CCM 2015 hadi leo,kiasi ya kwamba anafuraha ya kuipa tena CCM kura yakemfaida gani ya kujivunia yeye...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Hawa wagombea wachanga kama huyu wa Kigamboni waliingia kwenye kinyang'anyiro cha ubunge huku wakiamini fika kuwa ujio wa Membe ndani ya ACT Wazalendo ungekuwa mkombozi kwao na walitarajia...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Tumemsikia Raisi wetu akisema Lugola katumbuliwa kwa ku-saini mkataba wa mabilioni ya fedha bila ruhusa ya Bunge wala yeye raisi. Sasa iko hivi. Ili waziri wa serikali atoke nje ya nchi, inabidi...
18 Reactions
96 Replies
10K Views
Moja kati ya faida kubwa ambayo CCM inajivunia basi ni kuwa na Taifa lenye ujinga mwingi, watu ambao sio wasomi na umaskini TAIFA LA WAJINGA Hapa nasema kwa kuangalia idadi kubwa ya raia hasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Apartments za JWTZ, Police na Magereza tumefanikiwa sana. Apartments za walimu wapya kwa majiji makuu kwanza inawezekana. Serikali na CWT waangalie hili 2020. Shikamoo wakubwa zangu wote. Mimi...
6 Reactions
65 Replies
11K Views
Uwongo wao unaonekana wazi wazi mbali ya vitendo vyao hata kauli zao, hawa si wa kuwaamini. Huyu Polepole aliapa na kuwaambia wananchi wasiipe kura CCM au wasiichague CCM na hawa waliofikia hadi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Katibu wa kamati ya maadili ya tume ya uchaguzi Dr Kavishe amesema wawakilishi wa Chadema waliomwakilisha Tundu Lissu waliomba adhabu ipunguzwe na hii maana yake ni kuwa wamekiri kosa. Kavishe...
7 Reactions
206 Replies
22K Views
Wadau jana mwenyekiti wa TLP Augustine Mrema na mwenyekiti wa UDP John Cheyo waliishambulia CHADEMA kwa maneno unayoweza kufananisha na matusi. Eti Mrema ameshauri CHADEMA ifutwe kwa sababu...
4 Reactions
103 Replies
12K Views
Ni swala la kujiuliza kwa akili ya kawaida tu. Ukifuatiliwa tangu kuumbwa kwake CHADEMA kimekuwa chama cha kupinga kila kitu. Na hii ndio kazi kinachoweza kufanya. Kuhusu swala la haki ni dhahili...
0 Reactions
0 Replies
9 Views
Nimemsikia Jaji Mstaafu Mihayo akiwaomba viongozi wa dini wasimame kuilinda na kuitetea amani ya Tanzania. Naamini Jaji anajua tatizo lipo kwa watawala na si viongozi wa dini. Yeye akiwakemea na...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani wanaJF ninaomba kuuliza kuhusu Ubunge wa Afrika Mashariki Wanaangalia vigezo gani kuchagua wabunge hawa? Wabunge hawa wana kazi gani haswa katika bunge la EALA? Mishahara na marupu rupu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgombea wa Urais kupitia Chama cha Alliance Demokratic Party (ADC), Queen Sendiga amesema anaamini kuwa Watanzania watampigia kura za kutosha kumpa ushindi. Amesema hiyo inatokana na uzuri wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza nawalaumu CHADEMA kwa kutoweka wagombea Pemba na Unguja,hili ni kosa linalowagharimu upinzani,mnaposhirikiana mnatakiwa muwe pamoja ndivyo alivyoondolewa Hitler wa Ujerumani...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom