Kwa wapenda haki, uhuru na maendeleo ya jamii.
Hivi sheria kuhusiana na mwenendo wa mgombea iko je? Ni lazima kuwa mgombea tu kulalamika? Au je ni lazima iwe ni chama tu? Miye binafsi kama mpiga kura siruhusiwi kupeleka malalamiko rasmi dhidi ya mgombea huyu:
1. Anayeita washindani wengine majina?
2. Anayedai wengine ni vibaraka?
3. Anayedai wengine wametumwa na mabeberu?
4. Anayetumia lugha zisizokuwa rasmi majukwaani?
5. Anayetumia rushwa majukwaani?
6. Mwenye maneno ya kinyanyasaji majukwaani?
Hasa hasa kama tunaye mgombea kama huyo?
Kwa hakika yapo mashitaka mengi mtuhumiwa huyu anastahili kutupa majibu.
Maendeleo, haki na uhuru havina hati miliki ya vyama!