Kwenu maharusi watarajiwa watia nia na hasa wale wa urais. Kuna maeneo nyeti ya nchi hii kwa hakika yatawabeba sana watia nia. Katika picha hii ni hali ya leo katika barabara hii kuu pande za...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Endelea kufuatilia...
Wana jamvi, nawasalimu mchana huu na hongera kwa majukumu ya kulijenga Taifa letu pendwa.
Nimefanikiwa kusoma kitabu cha Halima Mdee mbunge aliyemaliza muda wake wa Jimbo la Kawe kupitia Chama...
Nimetafakari.
Maneno mengi ya kusisimua yenye kuja Chumvi yalikuwa tayari yameshasemwa katika account ya kigogo Twitter.
Ni katika likizo hii account hiyo imefutwa na mabeberu. Kesho Yale...
Chama cha ACT-Wazalendo leo kimezindua Ilani ya Uchaguzi ya visiwani Zanzibar ambapo Maalim Seif Sharif Hamad ambaye anagombea Urais ni Mgeni Rasmi
Akitoa muhtasari wa Ilani, Mwanasheria Mkuu wa...
Wakuu habarini za muda huu.
Kwenye kipindi hiki cha kampeni kumezuka na kundi flani la wa hafidhina ambao wamekuwa wakidai kuwa mgombea moja amenunuliwa na mabeberu, na atatumika na mabeberu...
Baada ya kampeni nzito zenye mafanikio makubwa na ambazo zimemuweka kwenye nafasi kubwa ya kutwaa Urais wa nchi ifikapo oktoba 28, Mh Lissu na timu yake wamewasili salama Jijini DSM kwa mapumziko...
Wafuasi wa CHADEMA na Lissu wamekuwa wakipagawa na kuota kwamba, uchaguzi wa October utawapatia ushindi na kwa mara ya kwanza toka tujipatie Uhuru nchi itaongozwa na upinzani.
Hii ni kutokana na...
Kwa mujibu wa Ibara ya 74 (6) ya Katiba, majukumu ya Tume ni:-
(i) Kusimamia na kuratibu uandikishaji wa wapiga kura
katika uchaguzi wa Rais na Wabunge katika Jamhuri ya
Muungano;
(ii) Kusimamia...
Nauliza tu maana inafahamika kwamba Bunge ni taasisi huru inayojitegemea.
Je, bunge letu la Dodoma lina vitega uchumi?
Je, bunge letu lina miradi yoyote ya huduma za kijamii hata kama ni kakituo...
Nyoote hamjambo. Nina ugua goli 7 za Liverpool.
Narejea mada husika. Kila mara nimekuwa nikisema kweli na kuweka wazi ya kuwa mimi ni shabiki wa CCM, ila sio CCM mpya hapana. Wenye CCM yao...
Lissu alisema wananchi wanaoishi katika mikoa ya mipakani wanaweza kufanya biashara ndani ya nchi na pia wanaweza kufanya biashara katika nchi jirani. Mfano Mkulima wa Korosho anaweza kuuza...
Kwenye kampeni ya 2015 rais Magufuli tulimpa kura kwa ahadi ya kuboresha maisha ya Mtanzania, aliahidi kuifanya Tanzania ya viwanda na kuwa moja ya nchi ya kujivunia Afrika na dunia nzima na ahadi...
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma.
MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki...
Pamoja na kwamba Magufuli amepiga kampeni kwa miaka mitano na miezi hii miwili ya NEC lakini ukifuatilia vizuri kampeni zake, utagundua kuwa ana hofu zaidi ya kushindwa kupata kura za kumuwezesha...
WanaJF,
Kwa hakika wengi wenu mnaoshiriki mijadala sehemu mbalimbali na humu JF mtakubaliana na mimi kuwa wafuasi wa Chadema wamekuwa na jazba na hasira muda wote na hali hii imesababisha wao...
Baada ya adhabu kutolewa ya Mgombea urais wa CHADEMA kutokuendelea na kampeni, tumeona kinachoonekana kama juhudi za tume ya uchaguzi kujiweka pembeni na maamuzi haya, na badala yake kuonyesha...
Habari za wasaa huu watanzania wenzangu ndugu na marafiki kwaajumla.
Natumai mu wazima wa afya njema kabisa na mnaendelea vizuri na kujituma katika kazi zenu za kila siku.
Sasa leo nitaenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.