Uchaguzi 2020 CCM wanapata wapi pesa za kugharamia wasanii wote wanaowatumia?

Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Swali La kijinga kuwahi kutokea,
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
Wasanii wote ni makada wa CCM kama ilivyo Sugu na Prof J ni makamanda hapo Ufipa!
 
Ka unachunga kumbukumbu kuna hela zilipotelea kusikojulikana matrilioni yaliyeyuka katka maesabu ya matumizi ya serikali yaccm.
 
Nahisi pesa ni nyingi sana kundi lote kuli- maintain kwa kila kitu. Fedha hizo wanachota wapi?
Ni wazi Kuna ufisadi mkubwa wa fedha za Umma zinatumika visivyo! Time will tell, if not today, tomorrow!
...inaeleweka hiyo mkuu unagombea uraisi huku bado ni raising
 
Back
Top Bottom