Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwenu Umoja wa walimu Tanzania, Mnafiki hajifiki, wenye akili tunajua mpaka Naibu katibu aliweka wazi maana yake Katibu, naibu waziri, waziri, waziri mkuu, Rais, na Chama cha Mapinduzi (CCM) wote...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amewaahidi wavuvi wa eneo la Kayenzendogo wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, kuwa atahakikisha hakuna mvuvi anayechomewa nyavu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mgombea ubunge wa Morogoro mjini kupitia Chadema Mhe. Devotha Minja katika mikutano yake amekuwa akikatisha hotuba zake kwa kuweka clip ya sauti ya Magufuli. Katika clip hiyo anasikika Mhe. Rais...
12 Reactions
32 Replies
5K Views
Serikali inajisifu kununua ndege wakati wananchi wa Bunda hapa hawapati huduma bora ya afya "Prof. Lipumba" Akisalimia bunda, musoma Wanawake nchi hii hawapati huduma bora wakati wa kujifungua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgombea Urais wa CHADEMA mwaka huu amekuwa akipinga jitihada za serikali kusambaza umeme, maji vijijini na mijini, kuboresha huduma za afya, elimu na ofisi za umma, kuimarisha miundombinu na...
13 Reactions
73 Replies
7K Views
NICHAGUENI OKTOBA 28, NIWE RAIS NISIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" KWIMBA, MWANZA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mnamo mwaka 2015 JPM alijipigia chapuo sana kuwa ni Rais wa wanyonge. Sikuelewa sana, nikasema ngoja nijipe muda nione. Baada ya mwaka mmoja tu nikaona dalili za wanyonge...
97 Reactions
116 Replies
12K Views
Kama inavyofahamika kuwa uchaguzi ni mchakato wenye hatua mbalimbali na huitimishwa na upigaji wa kura na utangazaji wa matokeo. Inafahamika pia aina ya tume ya uchaguzi tuliyonayo haiko on favor...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakati vyama vya siasa nchini vikiendelea na zoezi la kuomba kuchaguliwa na wananchi kushika nafasi mbalimbali za uongozi, Tume ya uchaguzi NEC ivitahadharisha vyama hivyo kutofunja dheria za nchi...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema Waziri wa Ulinzi anauwezo mkubwa hata wa kupindua nchi kwa kuwa vifaa vyote viko chini yake Aidha amemsifu...
1 Reactions
67 Replies
9K Views
Fuatilia Kupitia Television na Redio mbalimbali pamoja na Mitandao ya Kijamii. Nazungumzia yanafanyika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi Kisiwandui. Tafadhali mjulishe Mwenzako Tafadhali fuatilia...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni 1. Bw. David William Concar, Uingereza 2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan 3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland). Maneno ya...
8 Reactions
110 Replies
9K Views
Tatizo sio wagombea, kubwa ni system nzima katika kuiongoza Tanzania, kuiondoa mfumo huu wa kimwinyi na kibepari ni lazima CCM iondoke ikae benchi, kama itakavyokuwa baada ya ushindi wa kimbunga...
6 Reactions
19 Replies
1K Views
WANAKAWE KATAENI MATESO MENGINE YA MIAKA 5. Leo ningependa kuongea kwa kifupi sana na wananchi wenzangu wa Tanzania wa pale jimbo la Kawe mkoani Dar es Salaam. Nimeona nitoe dukuduku na mtazamo...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Natafakari jinsi ambavyo Rais anaendesha nchi kwa matamko na mihemko mingi. Mfano ukanijia akilini. Nimekopa hela benki kwa ajili ya biashara. Hela nfefu tu. Mkopo natakiwa kuulipa ndani ya miaka...
4 Reactions
60 Replies
6K Views
Wanabodi, Salaam. Moja ya vipindi vipindi bora kabisa vya TV vya mazungumzo (TV Talk Show) hapa nchini kwetu Tanzania ni kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa live na Star TV...
26 Reactions
142 Replies
18K Views
Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa wana jf, niliyejibainisha kuwa mkweli daima kwa kuusema ukweli with objectivity tena with impartiality, bila kuegemea upande wowote, yaani I have decided to side...
32 Reactions
227 Replies
22K Views
Baada ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA kukaa kimya kwa siku kadhaa, jumamosi hii ataendelea na kampeni Kama kawaida, siku hii itafuatiliwa na mamilioni ya watu duniani kote kwani Kila mtu anaitaji...
29 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu zangu watanzania salaam. Naomba nianze kwanza na ushauri. Sote tunajua nchi yetu ipo kwenye mchakato wa uchaguzi mkuu ambao utahitimishwa terehe 28 mwezi huu. Uchaguzi huu ni uchaguzi wa...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Naam, ni wakati muafaka kwa wana Kawe wote kusemezana kuhusu tarehe hii muhimu sana kwetu.. πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
6 Reactions
130 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…