Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi? Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana. Ilijengwa...
20 Reactions
102 Replies
11K Views
Leo Mgombea wa kiti cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ADC, Bi Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na Mikutano yake katika wilaya ya Liwale. Habari picha akiongea na wananchi wa...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imezitaka Kamati za Ulinzi na Usalama zilizo kwenye mipaka ya nchi ziwadhibiti raia wakigeni kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 28 mwaka huu. NEC imesema...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu zangu wapinzani najua sana ukikosoa tu, cha kwanza unapata jina la ubatizo mtakatifu kuwa ni mamluki, umetumwa na mengine mengi. Ndugu zangu hata Mungu kama wewe ni msomaji wa Biblia utaona...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Kama Watanzania walivyotegemea viongozi wa CHADEMA wasingeweza kukaa kimya kuhusu matokeo ya Uchaguzi Mkuu, uliopangwa kufanyika Jumatano, tarehe 28/10/2020. Hii inatokana na ukweli kwamba Mgombea...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu, Huu ni Waraka namba moja wa chama. Bado ntaweka hapa namba mbili. Na nitakuwa na-update kila kinachojiri. Sisi tunahukumiwa kwa lipi? - Ndugu James Mbatia “Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu...
3 Reactions
49 Replies
9K Views
Kiongozi wa chama ndugu Zitto Kabwe amepata ajali mida hii huko Kigoma kusini akiwa na watu wengine wanne jumla watu 5 wote wazima japo kiongozi ana majeraha anapelekwa hospitali habari zaidi...
18 Reactions
82 Replies
17K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amefafanua sababu za viongozi wa Upinzani kuikejeli na kuitukana CCM. Akizungumza na wazee Afisi Kuu Zanzibar, tarehe 05 Oktoba, 2020...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA" MUSOMA- MARA Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama mwanadamu anayo mapungufu na hivyo ni haki kwa mtu ye yote kutofautiana na misimamo au mitazamo yake. Lakini si...
4 Reactions
18 Replies
4K Views
Mkurugenzi Mtendaji Mstaafu wa CRDB Dkt Charles Stephen Kimei ambaye alijitosa kutafuta tiketi ya kuteuliwa kuwa mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM na kupata kura 178 huku mshindi Ndugu...
15 Reactions
46 Replies
7K Views
Na Mwandishi wetu Mihambwe Wananchi wameendelea kuwa na imani kubwa na mfumo wa stakabadhi ghalani kwa kuendelea kupeleka mazao yao. Wananchi mbalimbali wameonekana wakipeleka Korosho zao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
IMF wametoa pesa kwa nchi 38 masiki kabisa, yaani inasikotisha sana na kumba wanatawala hao CCM miaka yote hio. ==== IMF approves aid for world's 28 poorest countries The announcement, which...
6 Reactions
57 Replies
5K Views
Siasa ni gharama kwa hiyo ili chama cha siasa kiweze kufanikisha malengo yake lazima wanachama na wafuasi wake wajitolee kwa hali na mali. Kwenye uchaguzi mkuu kama huu ambao chama kinahitaji...
6 Reactions
180 Replies
12K Views
Habari za wakati huu; Nimeandika uzi huu ili kumpa jibu la herufi kubwa kaka yangu mheshimiwa wakili msomi Paskali ambaye pia alikuwa Mtia nia Ubunge Jimbo la Kawe. Kwanza kabisa nimesikitishwa...
21 Reactions
42 Replies
5K Views
Hii hoja haijawalenga Sana wale wenzangu na mimi ambao Wao wamechanjwa chale za vyama vyao Sasa karibu katika mjadara! Najua kuna wale ambao liwe jua ama mvua Wao ni CCM Tu, lakini kuna wengine...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Naomba wabobezi wa siasa za uchaguzi mnipe tafsiri ya kura za huruma. Kuna watu walidai Tundu Lisu anatafuta kura za huruma na sasa baada ya Trump kuugua Corona baadhi ya Wamarekani wanadai Rais...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Vyama vya upinzani ambavyo vinataka vipewe dola vina safari ndefu sana ya kujenga Taasisi zao kuwa zenye uimara wa kiuongozi na hata uendeshaji wake. Kwakweli vyama hivi haviishi vituko kila...
1 Reactions
4 Replies
818 Views
Maalim aahidi ndani ya mwaka mmoja WaZanzibar wote wasio na kazi au kuajiriwa wataanza kulipwa kila mwezi, na hilo sio la kichama bali ni lazima serikali iliyopo madarakani iwaangalie wananchi...
8 Reactions
38 Replies
4K Views
MATAGA msidhani haya mambo yako gizani. Dunia nzima inayaona - tumieni walau hata asilimia 25% tu ya ubongo ili mpone na kiama ya dunia inayowajia Haya endeleeni tu lakini msijelalamika...
53 Reactions
330 Replies
26K Views
Back
Top Bottom