Tusilalamike tuu, kulaumu na kulaani kila kitu, kwenye mazuri tupongeze! Rais Magufuli is changing for the better!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,467
113,571
Wanabodi,

Mimi ni miongoni mwa wana jf, niliyejibainisha kuwa mkweli daima kwa kuusema ukweli with objectivity tena with impartiality, bila kuegemea upande wowote, yaani I have decided to side with the truth objectively no matter what, hivyo katika kuusema ukweli huo, kwenye makosa, tunakosoa, tena sio ukosoaji ili mradi ni kukosoa, bali tunatoa a constructive criticism yenye ushauri wa the right thing to do, kwenye maovu tunalaani, lakini pia kwenye mazuri tunapongeza as an encouragement serikali yetu izidi kutenda mema.

Angalizo: Kuna watu humu kazi yao ni kulaumu tuu na kulaani kila kinachofanywa na rais Magufuli, mawaziri wake na serikali yake ya awamu ya tano kiwe ni kizuri au kibaya, wao ni kulalamika tuu, kupinga tuu, kubeza tuu na kulaumu tuu!, sasa akitokea member neutral na objective kwa kuweka mbele maslahi ya taifa kama mimi nifanyavyo, nikisifia jambo zuri lolote linalofanywa na rais Magufuli na serikali yake, wao wanakereka, wataninyooshea kidole kuwa ni kujikomba, ni pongezi za njaa tuu inayonisumbua kwa lengo la kutafuta uteuzi wa u DC!, watu wa aina hii, tufahamiane kwa karibu zaidi ili kujuana vyema, mtu wa aina yangu autafute u DC for what?!.

Bandiko hili ni la wito kuwa tusikalie kulalamika tuu na kulaumu kwa karibu na kila kitu kinachofanywa na rais Magufuli na serikali yake ya awamu ya tano ambacho hatukipendi, kuonyesha objectivity, kwenye maovu, mabaya na mapungufu ndio tulaumu na kukosoa, lakini kwenye mema, mazuri, na ya maendeleo, tupongeze, tena ukosoaji ufanyike constructively ili kukosoa kuwe ni kukosoa kwa nia njema ya kujenga na sio kukosoa kwa kubeza.

Sasa nikifanya a quick assessment ya performance ya rais Magufuli as the executive president of URT na kwa kuzingatia kiukweli kabisa alipoingia hakuwa an exact presidential material, lakini sasa kwenye eneo moja tuu la rapid response ya rais Magufuli kwenye baadhi ya maeneo, kiukweli kabisa, this man is changing for the better, he is becoming a real presidential material, anabadilika kwa kasi ya ajabu na kuelekea kwenye good direction ya mabadiliko chanya, hivyo kuna vitu rais Magufuli anastahili kupongezwa na sio kulaumiwa.

Miongoni mwa maeneo ya mabadiliko chanya, ni eneo la compassion feelings kuhusu majanga yanayowakuta Watanzania. Sasa rais Magufuli anaonyeshwa kuguswa na kuact very positively na rapid response, na mfano mzuri ni hili janga la kuungua nyumba za polisi Arusha, rais Magufuli ametoa milioni 260, immediately, ili kusaidia. Huku ni kuonyesha kuguswa, compassion kwa janga lililowakuta askari polisi wetu. Huu ni mwanzo mzuri, hivyo huko mbele kukitokea majanga mengine ata respond rapid na positively kama kwenye hili la polisi, hivyo hapa anastahili encouragement, ili kila likitokea janga, rais wetu ata respond positively.

Mabadiliko chanya haya kwa rais wetu ni with reference ya response yake kwenye lile janga la tetemeko la Ardhi Bukoba. Japo ilitolewa statement ya ikulu kutoa pole na kuahirisha safari za Zambia, sisi tulidhani, pia angezungumza kutoa pole za sauti, kutembelea eneo la tukio kujionea, na kuhudhuria mazishi ya wahanga, kitu kichopelekea kuonekana ni rais katili asiyejali, hana compassion, wala hakuonyesha kuguswa wala kujali. Kama aliahirisha safari ya Zambia kwa ajili ya tetemeko hilo, then ni nini kilimfanya ashindwe kwenda Bokoba?. Hivyo hii response kwenye janga la polisi ni changes for the better, rais wetu anastahili pongezi.
Response ya Rais Magufuli kwenye Tetemeko Bukoba
Somo Kutoka Tetemeko la Bukoba: Japo Halitabiriki na Halizuiliki ...
Kipi Muhimu Zaidi Kwa Waathirika wa Tetemeko? Kutembelewa na ...
Mhe. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, "Sema Neno Moja Tuu, na ...

Kimya Hiki, Is Not Right!, There Must Be Something Wrong Somewhere ...
Kutoonyesha Hisia/Huruma wala pole za sauti si Udikteta bali ni ...

Hayo yalikuwa wakati wa tetemeko la Bokoba, hata vile vifo vya ajali mbaya ya wale watoto wa Arusha, watu walitegemea pole ya mdomo, au hata kuhudhuria mazishi, lakini sasa ameanza kubadilika, juzi kati Tundu Lissu alipomiminiwa risasi zaidi ya 30 pale Dodoma, rais alionyesha kuguswa na kutoa pole kwa tweet, na endapo Lissu angelazwa hospitali zetu nchini, angetembelewa, maana tulimshuhudia rais wetu akimtembelea yule mwanajeshi majuruhi wa tukio la ujambazi, pale Lugalo Hospital. Hata misibani siku hizi anahudhuria, msiba wa Masaburi ni ushahidi tosha!. Hivyo haya ni mabadiliko chanya, yanastahili pongezi.

Rais Magufuli naye ni binadamu, hivyo anaweza kukosea kama binadamu mwingine yoyote, hivyo kukosolewa, kulaumiwa, kushutumiwa ni halali yake, lakini katika mazuri, pia anahitaji encouragement, kupongezwa, kusifiwa na kutiwa moyo ili azidi ku change for the better.

Kwa hili la janga la polisi, hongera sana rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Rejea Kuhusu Pongezi Mbalimbali kwa Magufuli
Kwa Uamuzi Huu, Pongezi Sana Rais Wetu Magufuli, Utabarikiwa na Mungu, na Taifa Pia Litabarikiwa!
Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!
Heko Rais Magufuli kwa msimamo thabiti. Shikilia hapo hapo. Kelele za Mlango Zisikukoseshe Usingizi!
Rais Magufuli ni Simple, Genuine & Down To Earth-He is Simply A Man of The People!
Pongezi Rais Wetu Magufuli Kwa Kuwa Mkweli Daima, Tuanzishwa The Church of Africa, Tuoe Wake Wengi!.
Magufuli Kama Nyerere: Ni Mtu wa Watu, Hapapasi, Hamung'unyi, Ni Kazi Tuu, Ila Pia sio Kama Nyerere!
Rejea Kuhusu Ukosoaji Mbalimbali kwa Magufuli ili kuthibitisha lengo la pongezi hizi sio kujipendekeza.
Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi?
Rais Magufuli, somo la managing diversity kwa Serikali yako linahitajika
Utumbuaji Majipu wa Rais Magufuli: Is It A Right Thing, At The Right Time, And Doing It Right, Or ?!
Je, wajua suala vyeti vya Bashite, linaweza kabisa kumng'oa Rais Magufuli pale Ikulu?.
Kama sio udikteta, Mhe. Rais futilia mbali utawala wa sheria, ongoza kwa 'presidential decrees'!
Mkuu Mzee Mwanakijiji, Rais Magufuli Sio Alfa na Omega. Rais Sio Mungu! Na Kwenye Utawala ni Katiba!

Kwa quick response ya Rais Magufuli, kwenye hili la janga la nyumba za polisi Arusha, hongera sana rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli. wasaidizi wa rais, ili ku avoid double stardanrds za response za rais wetu kwenye majanga mbalimbali, then, tengenezeni a uniform standards ya presidential rapid response kwenye majanga mbalimbali, ili rais a respond equally and the same. kwa sababu sisi sote ni Watanzania, unless polisi ni Watanzania zaidi, na wana Bukoba were less Tanzanians!.

Changes za hivi kwenye eneo la compassion ni changes za muhimu sana, compassion ni kuguswa na shida, taabu na mateso ya wengine na ku intervene kusaidia. This is a very good thing.

Miongoni mwa matatizo makubwa ya nchi yetu ni vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu za kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kisiasa amezuia mikutano ya siasa ni ya kitaifa ambayo ni haki iliyotolewa kikatiba. Hii compassion ikiendelea hivi hivi amini usiamini kuna siku ataruhusu.

Kwenye uchumi kuna watu makumi kwa mamia wameshikiliwa mahabusu kwenye magereza mbalimbali kwa tuhuma za uhujumu uchumi ambao kesi hizo hazina dhamana, mfano mzuri ni yule wakili Medium Mwale, huu ni mwaka wa 7 sasa yuko mahabusu kwa kesi ya uhujumu uchunguzi haujakamilika!. Uchunguzi gani huu wa miaka 7, halafu unakuta akikutwa na hatia adhabu yake ni kifungo cha miaka 2 au kulipa faini. Watu wa aina hii wako wengi. Hii compassion ya rais rais Magufuli kuna siku itawafikia.

Tukimalizia kijamii, tangu rais Magufuli ameingia madarakani katika kubana matumizi ya hovyo, kumeibuka kilio cha vyuma kubana, serikali inapeleka fedha kwenye miradi mikubwa ya foreign curency na foreign companies ambayo haina immediate direct impact na walio wengi, hivyo fedha zinaondoka na hakuna local circulation, hii compassion ya rais Magufuli itakuwa kuwafikia watu hawa wa hali ya chini wanaopigika, hivyo itakuja miradi yenye immediate multiplied effects kwa walio wengi na sio hii miradi mikubwa ya faida baada ya miaka 50 ijayo.

Hivyo mabadiliko yoyote chanya kwa rais wetu Magufuli yanamstahili pongezi, Hongera sana rais wetu Magufuli kwa kubadilika kwenye compassion.

Nawatakia Good FurahiDay Njema.
Paskali.
 
Miongoni mwa maeneo ya mabadiliko chanya, ni eneo la compassion feelings kuhusu majanga yanayowakuta Watanzania. sasa rais Magufuli anaonyeshwa kuguswa na kuact very positively na rapid response, na mfano mzuri ni hili janga la kuungua nyumba za polisi Arusha, rais Magufuli ametoa milioni 260, immediately, ili kusaidia. Huku ni kuonyesha kuguzwa, compassion kwa janga lililowakuta askari polisi wetu. Huu ni mwanzo mzuri, hivyo huko mbele kukutokea majanga mengine ata respond rapid na positively.
Magufuli lazima aweke majeshi karibu yake.Alikula Rambirambi za wananchi wa kawaida Bukoba..
Anaweka majeshi karibu kwa sababu anazozijua yeye
Kama ilivyo kawaida.Kila mtu ana uhuru wa mawazo.Umewasilisha mawazo yako.Pongezi kwako.
 
Chadema mliahidi michango bukoba halafu mkateleza

aiseee

upload_2017-9-29_8-32-43.png

upload_2017-9-29_8-33-36.png
 
Uhuru wa mawazo yako hakuna anayeupinga,nikupe mfano mmoja mdogo tu ulishawahi ona wapi mwanaume anamhudumia demu asiyempenda,na kumuacha anayempenda?
Za kuambiwa changanya na za kwako,BK waliambiwa watetemeke mpaka leo wanatetemeka
 
Wanabodi,

Mimi ni miongoni mwa wana jf, niliyejibainisha kuwa mkweli daima bila kuegemea upande wowote, hivyo katika kuusema ukweli huo, kwenye makosa, tunakosoa, lakini pia kwenye mazuri ninapongeza.

Angalizo: Kuna watu humu kazi yao ni kulaumu tuu na kulaani kila kinachofanywa na Magufuli, kiwe ni kizuri au kibaya, wao watalaumu tuu!, sasa akitokea member neutral kama mimi, nikasifia jambo zuri lolote linalofanywa na Magufuli, wao wataninyooshea kidole kuwa mimi ni pongezi hizi ni njaa tuu inayonisumbua kwa lengo la kutafuta u DC!, watu wa aina hii, tufahamiane kwa karibu ili kujui mtu wa aina hii, autafute u DC for what?!.

Bandiko hili ni la wito kuwa tusikalie kulalamika tuu na kulaumu karibu na kila kitu kinachofanywa na Magufuli ambacho hatukipendi, kuonyesha objectivity, kwenye mabaya ndio tulaumu na kukosoa, lakini kwenye mazuri, tupongeze.

Sasa nikifanya a quick assessment ya performance na rapid response ya rais Magufuli kwenye baadhi ya maeneo, kiukweli kabisa, this man is changing for the better, anabadilika na kuelekea kwenye direction ya mabadiliko chanya, hivyo anastahili kupongezwa na sio kulaumiwa.

Miongoni mwa maeneo ya mabadiliko chanya, ni eneo la compassion feelings kuhusu majanga yanayowakuta Watanzania. sasa rais Magufuli anaonyeshwa kuguswa na kuact very positively na rapid response, na mfano mzuri ni hili janga la kuungua nyumba za polisi Arusha, rais Magufuli ametoa milioni 260, immediately, ili kusaidia. Huku ni kuonyesha kuguzwa, compassion kwa janga lililowakuta askari polisi wetu. Huu ni mwanzo mzuri, hivyo huko mbele kukutokea majanga mengine ata respond rapid na positively.

Mabadiliko chanya haya kwa rais wetu ni with reference ya response yake kwenye lile janga la tetemeko la Aridhi Bukoba. Japo ilitolewa statement ya ikulu kutoa pole na kuahirisha safari za Zambia, sisi tulidhani, pia angezungumza kutoa pole za saiti, kutembelea eneo la tukio kujionea, na kuhudhuria mazishi ya wahanga, kitu kichopelekea kuonekana ni rais katili asiyejali, hana compassion, wala hakuonyesha kujali, Kama aliahirisha safari ya Zambia kwa ajili ya tetemeko hilo, then kwa nini hakwenda Bokoba?. Hivyo hii response kwenye janga la polisi ni changes for the better, rais wetu anastahili pongezi.

Rais Magufuli naye ni binadamu, hivyo anaweza kukosea kama binadamu mwingine yoyote, hivyo kukosolewa, kulaumiwa, kushutumiwa ni halali yake, lakini katika mazuri, pia anahitaji encouragement, kupongezwa, kusifiwa na kutiwa moyo ili azidi ku change for the better.

Kwa hili la janga la polisi, hongera sana rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Rejea Kuhusu Pongezi Mbalimbali kwa Magufuli

Rejea Kuhusu Ukosoaji Mbalimbali kwa Magufuli ili kuthibitisha lengo la pongezi sio kujipendekeza.

Kwa quick response ya Rais Magufuli, kwenye hili la janga la nyumba za polisi Arusha, hongera sana rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli. wasaidizi wa rais, ili ku avoid double stardanrds za response za rais wetu kwenye majanga mbalimbali, then, tengenezeni a uniform standards ya presidential rapid response kwenye majanga mbalimbali, ili rais a respond equally and the same. kwa sababu sisi sote ni Watanzania, unless polisi ni Watanzania zaidi, na wana Bukoba were less Tanzanians!.

Nawatakia Good FurahiDay Njema.
Paskali.
 
Magufuli lazima aweke majeshi karibu yake.Alikula Rambirambi za wananchi wa kawaida Bukoba..
Anaweka majeshi karibu kwa sababu anazozijua yeye
Kama ilivyo kawaida.Kila mtu ana uhuru wa mawazo.Umewasilisha mawazo yako.Pongezi kwako.
Mkuu mbona unafichaficha? Anaweka majeshi karibu ili yamsaidie kwenye uchaguzi 2020. Mbona kwa tundu lissu hajaonesha moyo huo??? At kwa kuwa anatamani afe???
 
Wanabodi,

Mimi ni miongoni mwa wana jf, niliyejibainisha kuwa mkweli daima bila kuegemea upande wowote, hivyo katika kuusema ukweli huo, kwenye makosa, tunakosoa, lakini pia kwenye mazuri ninapongeza.

Angalizo: Kuna watu humu kazi yao ni kulaumu tuu na kulaani kila kinachofanywa na Magufuli, kiwe ni kizuri au kibaya, wao watalaumu tuu!, sasa akitokea member neutral kama mimi, nikasifia jambo zuri lolote linalofanywa na Magufuli, wao wataninyooshea kidole kuwa mimi ni pongezi hizi ni njaa tuu inayonisumbua kwa lengo la kutafuta u DC!, watu wa aina hii, tufahamiane kwa karibu ili kujui mtu wa aina hii, autafute u DC for what?!.

Bandiko hili ni la wito kuwa tusikalie kulalamika tuu na kulaumu karibu na kila kitu kinachofanywa na Magufuli ambacho hatukipendi, kuonyesha objectivity, kwenye mabaya ndio tulaumu na kukosoa, lakini kwenye mazuri, tupongeze.

Sasa nikifanya a quick assessment ya performance na rapid response ya rais Magufuli kwenye baadhi ya maeneo, kiukweli kabisa, this man is changing for the better, anabadilika na kuelekea kwenye direction ya mabadiliko chanya, hivyo anastahili kupongezwa na sio kulaumiwa.

Miongoni mwa maeneo ya mabadiliko chanya, ni eneo la compassion feelings kuhusu majanga yanayowakuta Watanzania. sasa rais Magufuli anaonyeshwa kuguswa na kuact very positively na rapid response, na mfano mzuri ni hili janga la kuungua nyumba za polisi Arusha, rais Magufuli ametoa milioni 260, immediately, ili kusaidia. Huku ni kuonyesha kuguzwa, compassion kwa janga lililowakuta askari polisi wetu. Huu ni mwanzo mzuri, hivyo huko mbele kukutokea majanga mengine ata respond rapid na positively.

Mabadiliko chanya haya kwa rais wetu ni with reference ya response yake kwenye lile janga la tetemeko la Aridhi Bukoba. Japo ilitolewa statement ya ikulu kutoa pole na kuahirisha safari za Zambia, sisi tulidhani, pia angezungumza kutoa pole za saiti, kutembelea eneo la tukio kujionea, na kuhudhuria mazishi ya wahanga, kitu kichopelekea kuonekana ni rais katili asiyejali, hana compassion, wala hakuonyesha kujali, Kama aliahirisha safari ya Zambia kwa ajili ya tetemeko hilo, then kwa nini hakwenda Bokoba?. Hivyo hii response kwenye janga la polisi ni changes for the better, rais wetu anastahili pongezi.

Rais Magufuli naye ni binadamu, hivyo anaweza kukosea kama binadamu mwingine yoyote, hivyo kukosolewa, kulaumiwa, kushutumiwa ni halali yake, lakini katika mazuri, pia anahitaji encouragement, kupongezwa, kusifiwa na kutiwa moyo ili azidi ku change for the better.

Kwa hili la janga la polisi, hongera sana rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli.

Rejea Kuhusu Pongezi Mbalimbali kwa Magufuli

Rejea Kuhusu Ukosoaji Mbalimbali kwa Magufuli ili kuthibitisha lengo la pongezi sio kujipendekeza.

Kwa quick response ya Rais Magufuli, kwenye hili la janga la nyumba za polisi Arusha, hongera sana rais wetu Dr. John Pombe Joseph Magufuli. wasaidizi wa rais, ili ku avoid double stardanrds za response za rais wetu kwenye majanga mbalimbali, then, tengenezeni a uniform standards ya presidential rapid response kwenye majanga mbalimbali, ili rais a respond equally and the same. kwa sababu sisi sote ni Watanzania, unless polisi ni Watanzania zaidi, na wana Bukoba were less Tanzanians!.

Nawatakia Good FurahiDay Njema.
Paskali.
Kwa akili ya Mtanzania ya CCM vs Ukawa, kila mtu atakuelewa kivyake vyake.

But this is Sarcasm at its highest!! Probably, many won't see that way!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom