Miaka 60 baada ya Uhuru Tanzania ni kati ya nchi 28 masiki kabisa Dunia, IMF wametupa pesa

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
2,517
2,000
IMF wametoa pesa kwa nchi 38 masiki kabisa, yaani inasikotisha sana na kumba wanatawala hao CCM miaka yote hio.

====

IMF approves aid for world's 28 poorest countries
The announcement, which follows a similar measure passed in mid-April for 25 countries, is intended to help the countries cover their debt repayments to the IMF for the next six months and "free up scarce financial resources for vital emergency medical and other relief efforts" during the pandemic.

The International Monetary Fund on Monday approved new emergency aid for 28 of the world's poorest countries to help them alleviate their debt and better cope with the impact of the coronavirus pandemic.

The announcement, which follows a similar measure passed in mid-April for 25 countries, is intended to help the countries cover their debt repayments to the IMF for the next six months and "free up scarce financial resources for vital emergency medical and other relief efforts" during the pandemic.

The 28 countries receiving the second tranche of aid are Afghanistan, Benin, Burkina Faso, Burundi, Central African Republic, Chad, Comoros, Democratic Republic of Congo, Djibouti, Ethiopia, Gambia, Guinea, Guinea-Bissau, Haiti, Liberia, Madagascar, Malawi, Mozambique, Nepal, Niger, Rwanda, Sao Tome and Principe, Sierra Leone, the Solomon Islands, Tajikistan, Tanzania, Togo and Yemen.

Mali is also eligible for aid but has not yet been added to the list because "there is a lack of clarity as to whether the international community recognizes/deals with the current military regime as the government of Mali," the IMF said.
The debt relief is channeled through the Catastrophe Containment and Relief Trust (CCRT), which enables the IMF to provide grants to the poorest and most vulnerable countries hit by a natural disaster or public health crisis.
Subject to sufficient resources in the CCRT, grants could be provided for a two-year period through mid-April 2022 for an estimated total amount of $959 million.

The IMF's goal is to endow the CCRT with $1.4 billion so that it can also meet future needs.
To date, $506.5 million has been contributed by several countries, including the United Kingdom, Japan, Germany, the Netherlands, Switzerland, Norway, China, Mexico, Sweden, Bulgaria, Luxembourg and Malta.

IMF approves aid for world's 28 poorest countries
 

WAIKORU

JF-Expert Member
Dec 9, 2015
1,342
2,000
Oleksanda atakubali pesa za mabeberu?

Si alisema sisi ni matajiri na kwamba sisi tunapaswa kuwa donor country?

Au hao IMF sio mabeberu, ni marafiki zetu?
 

Mromboo

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
2,512
2,000
MURUSI mbona na wewe unatupaisha sana? Unajua unaposema kati ya nchi 38 wakati report inasema ni kati ya nchi 28 umefanya kosa kubwa? Hebu ongea na moderators wakuwekee sawa. Ni kati ya nchi 28 na wala sio 38.
 

dmatemu

JF-Expert Member
Mar 14, 2008
873
500
Mabeberu hawa. Sisi ni matajiri kwanza tupo uchumi wa kati pili tumetengeneza viwanda 8,000 ndani ya muda mfupi, halafu tatu tutaanza kuwapa misaada wao muda si mrefu.
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
7,155
2,000
Halafu eti kiongozi anasimama jukwaani kujisifia uchumi unakua kwa wastani wa 7℅ kwa mwaka! Pato la Taifa kwa kila Mtanzania eti limepanda kutoka sijui laki ngapi mpaka laki kadhaa kwa mwaka!!

Porojo tupu! Maana ukija mtaani hali ni tete. Yeye yuko busy kununua tu madege badala ya kuja na mkakati madhubuti na unaotekelezeka wa kuundoa kabisa umaskini.
 

Gerald .M Magembe

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
1,937
2,000
Inashangaza sana pamoja na maliasili tulizonazo tunakuwa maskini wa mwisho! Tuanze kuondokana na CCM.

Tuna hatua kubwa sanaaa katika kila nyanja ya maendeleo, kuliko mataifa ya Ulaya yalivyo kuwa baada ya miaka 60 ya kuanzishwa nchi zao. Mengi yao yalipata umeme tuu, baada ya miaka 400 baada ya kuanzishwa
 

Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
8,056
2,000
Mwandiko wako unatia uvivu kusoma, ripoti inasema nchi 28 wewe unasema nchi 'masiki' 38!
 

paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
3,513
2,000
Dunia haiishiwi Mbinu za kuwagandamiza watu ki fikra hasa waafrika?

Wewe unaona msaada huo ni Kwa ajiri ya nchi maskini, watoaji Wana muono mwingine kabisa!!

Africa zinduka na ujitambue!

Pokea hizo pesa Kula na ukatae kujishusha na kuutweza Utu wako Africa, Africa ni tajiri kuliko Bala lingine lolote duniani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom