ADC Party
Member
- Sep 14, 2020
- 28
- 29
Leo Mgombea wa kiti cha Urais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ADC, Bi Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na Mikutano yake katika wilaya ya Liwale.
Habari picha akiongea na wananchi wa kijiji cha Kichonda, wilaya ya Liwale aliweza kuelezea kiundani na kusisitiza katika kipaumbele chake cha Kilimo akiwasihi wananchi hawa maboresho katika sekta hiyo ni ya muhimu na ndo tiba pekee ya kuwapelekea maendeleo ya kweli katika kijiji na wilaya yao, amewaomba ikifika tarehe 28/10/2020 wakampe kura ya ndio na wakamuamini ili aende kuwatumikia na kuwaletea maendeleo ya kweli.
Kesho ataendelea na kampeni zake katika maeneo ya Lindi Mjini na Nachingwea