Nimeiona na hata Kuisikia kutoka kwa Wagombea kama Wawili Watatu hivi kutoka kwa Wapinzani wakifanya dhidi ya Wagombea wa kutoka Chama Tawala. Na sidhani pia kama kuna Mtanzania Mpumbavu (Popoma)...
WARAKA WA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SONGWE KWA ASKOFU MWAMAKULA!
Bwana Yesu Asifiwe mtumishi wa Mungu. Ninaitwa OBADIAH SIMON MWAIPALU. Ni Mgombea UBUNGE Jimbo la SONGWE Mkoa wa SONGWE kupitia...
Ni sababu gani zimewafanya CCM kukimbilia kwenye vyombo vya ulinzi na usalama? Nini kimewakuta na kuwasibu ? Wanaitegemea Tume ya uchaguzi kuliko Mungu, wamehisi kitu gani?
Sasa niwaulize siku...
The most celebrated African president from our neighboring country is about to pay the state visit to the Africa's shining star JPM
Chakwera opted to choose Tanzania as his very early state visit...
Mlikuwa mnapokea ruzuku milioni 360 kwa mwezi, peza hizi mmezipokea zaidi ya miaka mitano. Uchaguzi umefika mmekuwa na magumu ya kisiasa hadi majukwaa ya mgombea urais yanakuwa ni meza za wauza...
Hawa polisi sasa ni dhahiri wanaingilia shughuli binafsi za mgombea wa Chadema, Tundu Lissu.
Lissu ni Mwanasiasa na shughuli kubwa kwake ni kufanya siasa. Ili uweze kutekelezwa majukumu yako...
Ndugu zangu,
Wiki chache zilizopita ilizinduliwa kampeni kabambe ya kumchangia Tundu Lissu kupitia akaunti ya benki na kwenye mitandao ya simu.
Zoezi lilipokelewa kwa hisia kali na makamanda...
MGOMBEA Urais Zanzibar kupitia tiketi ya ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad amekutana na wavuvi na wakulima wa Mwani na Kijiji cha Tumbe, mkoa wa Kaskazini Pemba na kuwahidi kuwapa vifaa...
Kuelekea Oktoba 28, Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi-Kamisheni ya Zanzibar, CP Mohamed Haji Hassan ameonya kuhusu uvunjifu wa amani visiwani humo
Amesema, "Baadhi ya Wagombea wa Vyama vya Siasa...
Mambo aliyoyaongea
Amesema anaendelea vizuri na kampeni zake, wanasema anakosea kwa kuwa anaongea ukweli lakini kwa sababu anayoyaongea ni ya ukweli anashindwa kuitwa kwenye maeneo ya kumuuliza...
Wafuasi wa CCM na NCCR Mageuzi wamerushiana makonde wilayani Bariadi na kusababisha kijana mmoja kuumizwa kichwani na kupoteza fahamu.
Wafuasi wa NCCR Mageuzi ambao walipokea kichapo cha haja...
Ni wazi kwamba kama hukujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura, hauna sifa ya kushiriki zoezi hilo. Na hapa ndipo CCM wamekua mabingwa wa kuvuna ushindi kwa njia nyepesi Sana. Tofauti na vyama...
Ameandika Malisa GJ kuhusu Mauaji ya Mlelwa wa CCM Njombe
Kwanza kabisa nalaani mauaji ya Bwana Emmanuel Mlelwa kada wa CCM anayedaiwa kuuawa huko Njombe. Either mauaji haya yametokana na sababu...
Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira ya Serikali ya awamu ya 8 ni kukuza uchumi katika Nyanja zote ili kuwapa vizuri wafanyakazi...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na kiongozi anayeweza kuunda Serikali na mwenye uwezo wa kupambana na...
Kamati ya bunge la Marekani la seneti ya mambo ya nje imeisihi tume ya uchaguzi Tanzania kujirekebisha, kuondoa makosa yaliyofanyika ndani ya miaka 5 iliyopita, kuacha kumshitaki Lissu kwa hoja ya...
Nimeshangaa kuona kwamba wengi wa wanachama wa CCM pamoja na viongizi wao wamekuwa wakiwashambulia watu wa upinzani kila wanapotoa maoni juu ya miradi kama SGR, ndege za ATC, mradi wa umeme wa...
Je, kuna hujuma za muda wa kukamilika mradi unaofanywa na makandarasi?
Reli ya TAZARA ilipitia njia ngumu Sana yenye milima na mabonde mengi. Lakini mradi ulichukua muda mchache Sana.
Ilijengwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.