Hii ndio CV (curriculum vitae) ya kamanda Tundu Lissu
Full Name: Tundu Antiphas Mughwai Lissu
Member Type: Elected Member
Constituent: Singida Mashariki
Political Party: Chama cha Demokrasia...
Fursa pekee aliyonayo mwananchi kwa mujibu wa katiba yetu wa kumuondoa na kumuweka madarakani mwanasiasa Ni huu Basi. Baada ya uchaguzi hakuna fursa hiyo Tena. Baada ya uchaguzi wanasiasa...
Kwa kweli Mungu ni mwema Sana , Mungu anaye fahamu mianzo na mwisho wa kila Jambo, alijua kuwa katika awamu hii ya tano nchi itahitaji kuwa na mkombozi Kama Tundu Lisu.
Na Kama yupo mtanzania...
Ki ukweli nimeandaa safari maalumu kutoka hapa misenyi kwenda kwao (nyumbani) kwa Tundu Lissu wilayani ikungi mkoani Singida ili tu nifike nijionee sehemu alipozaliwa huyu mwamba na vilevile...
Nikiwa kama mwananchi mzalendo, nimetafakari sana athari tutakazozipata kutokana na ahadi zinazotolewa katika majukwaa ya siasa hasa katika kipindi hichi cha kampeni. Baadhi ya wanasiasa wamekuwa...
Hapa ni video inayoonesha tangazao la kupata ajari aliyekuwa waziri wa ujenzi bwana John Magufuli ambaye sasa ni rais, katika tukio ilo alikuwa na mh Ghalib bilal ambaye alikuwa makamu wa rais...
Kuna mambo mengi polisi wa Tanzania wanatuhumiwa kukosa ujuzi wa kazi zao (professionalism) na hata kuwepo kwa madai kwamba tatizo la polisi wetu ni kwamba wengi wao ni wale ambao hawakuwa na...
Habari wana JF,
Kama ilivyo kawaida yangu kuwaletea kila kinachojiri kuhusu chama chetu na upinzani kwa ujumla wake. Leo kulikuwa na tukio pale Kiluvya, ambapo mgombea wetu alizuiliwa. Yote kwa...
Chama cha NCCR-Mageuzi kimeendelea na ziara zake za kampeni kwenye mikoa mbalimbali nchini Tanzania, lengo likiwa ni kuomba kura kwa wananchi ili kuweza kuunda serikali kwa ajili ya kuwatumikia...
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi...
MAMA ACHAGUA UMASIKINI, MTOTO ACHAGUA KIFO
Na, Robert Heriel
Tukio la kusikitisha lililotokea Mkoani Katavi ambapo Mtoto amejiua kwa kujinyonga kisa na Mkasa ni mgogoro baina yake na Mama yake...
Leo asubuhi nemesikia kwenye redio ya East Africa, kwenye kipindi cha Supa Breakfast mambo ya tume ya uchaguzi ya kustaajabisha. Mkurugenzi wa tume ya uchaguzi akiwa Mara na kusema wagombea...
Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa tathimini iliyotolewa hailingani na uhalisia wa hali ilivyo Tanzania.
Tume ya Haki za Binadamu...
Rais wa Malawi amepanda ndege kuja Tanzania kwa ziara ya siku mbili, hii ni ziara yake ya nne baada ya Zambia, Zimbabwe na Msumbiji.
AZAM TV chaneli 0380 MBC live.
Mgombea Ubunge Jimbo la Karagwe Innocent Bashungwa alivyopiga magoti kumuombea kura Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM mkoani...
Komredi Polepole yuko mubashara Channel ten akizungumzia maendeleo ya kampeni za CCM.
Kadhalika Polepole ametolea ufafanuzi baadhi ya mambo yaliyopotoshwa na wapinzani hasa Tundu Lisu ikiwemo...
CCM kwa kuiga.
Baadhi ya wananchi mkoani Songwe wakideki barabara kwa ajili ya kumpokea mgombea urais wa @ccm_tanzania @MagufuliJP
#Uchaguzi2020
#OktobaTutawezana
Kiongozi wa cha chama cha ACT-Wazalendo taifa Zitto Kabwe amesema endapo wananchi wa mkoa wa Katavi watawachagua viongozi wa upinzani watahakikisha wanaletea mabadiliko katiko sekta ya afya, maji...