Nina zawadi maalum kwa wazazi wa Tundu Lissu

Godfrey-K

JF-Expert Member
Jan 5, 2016
1,925
3,670
Ki ukweli nimeandaa safari maalumu kutoka hapa misenyi kwenda kwao (nyumbani) kwa Tundu Lissu wilayani ikungi mkoani Singida ili tu nifike nijionee sehemu alipozaliwa huyu mwamba na vilevile niongee na wazazi, ndugu na majirani juu ya huyu mtu.

Katika safari yangu hii nitabeba zawadi maalumu kwa wazazi wa Tundu Lissu kama ishara ya pongezi kwa kumzaa, kumlea na kumtunza Mtoto Tundu Lissu.

Zawadi nilizoandaa ni pamoja na mchele kg 100, ndizi za kupiga kutoka misenyi na samaki wa Mwanza.

Kwanini nimeamua kufanya hii safari maalum

1. Huyu Tundu Lissu ni MTU wa ajabu katika taifa hili, ana ujasiri sana wa kuhoji na kuusema ukweli haijalishi hata kama ukweli huo utamletea shida , yeye huwa anusimamia ukweli hadi mwisho ukweli hujitenga na uongo.

2. Tundu Lissu ni ni mpango wa Mungu kuwepo duniani, ninaamini kupitia mtu huyu ni lazima tena lazima kuna jambo litatokea juu ya uchaguzi Huuu, Mungu amemponya mtu huyu ili jambo alilokusidia litimie. Rejea kupigwa kwake risasi.

3. Tundu Lissu anatokea mkoa wa Singida, mkoa ulio katikati ya nchi, laiti kama angazaliwa mikoa ya pembezoni nadhani CCM na vyombo vyake wangelikwisha kumbambikiza kesi kuwa si raia wa Tanzania, rejea Askofu Kakobe, Askofu Mwamakula.

Tundu Lissu anahitaji kulindwa kwa gharama yeyote, ili wale kwenye nia ovu waone ugumu wa kumtendea uovu.

Ambaye atakuwa tayari kuungana nami anaweza kuwasiliana nami ili tujumuike pamoja kwenda ikungi kutoa pongezi zetu juu ya Mtoto Tundu Lissu

Hakika Mungu mlinde Tundu Lissu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.

Naomba kusilisha.
 
Wengi walikuwa na akili kama zako, ila issue ya madini alivyoonesha rangi zake halisi ndio tukajua yupo upande gani.

Kuhusu ukweli laiti angesimamia ukweli kama msomi na kuuita uchunguzi uliofanywa na maprofesa kuwa ni 'rubbish' ila mwisho wa siku tulivyofanikiwa mpaka leo hajawahi kufukua 'bakuli' lake na kuzungumzia ndipo nikaamini kuwa naye ana maslahi yake.

Tanzania yangu, na kura yangu ntampa anayestahili.
 
Alivokaa tú, ni kama raisi wa JMT
JamiiForums1792444422.jpg
 
Wengi walikuwa na akili kama zako, ila issue ya madini alivyoonesha rangi zake halisi ndio tukajua yupo upande gani...

Kuhusu ukweli laiti angesimamia ukweli kama msomi na kuuita uchunguzi uliofanywa na maprofesa kuwa ni 'rubbish' ila mwisho wa siku tulivyofanikiwa mpaka leo hajawahi kufukua 'bakuli' lake na kuzungumzia ndipo nikaamini kuwa naye ana maslahi yake.

Tanzania yangu, na kura yangu ntampa anayestahili.
Tumefanikiwa wakati Noah zetu zimeota mbawa.
Matrilioni ya kwenye makaratasi hata robo hatujalipwa ndio kufanikiwa?
 
Ki ukweli nimeandaa safari maalumu kutoka hapa misenyi kwenda kwao (nyumbani) kwa Tundu Lissu wilayani ikungi mkoani Singida ili tu nifike nijionee sehemu alipozaliwa huyu mwamba na vilevile niongee na wazazi, ndugu na majirani juu ya huyu mtu.

Katika safari yangu hii nitabeba zawadi maalumu kwa wazazi wa Tundu Lissu kama ishara ya pongezi kwa kumzaa, kumlea na kumtunza Mtoto Tundu Lissu.

Zawadi nilizoandaa ni pamoja na mchele kg 100, ndizi za kupiga kutoka misenyi na samaki wa Mwanza.

Kwanini nimeamua kufanya hii safari maalum

1. Huyu Tundu Lissu ni MTU wa ajabu katika taifa hili, ana ujasiri sana wa kuhoji na kuusema ukweli haijalishi hata kama ukweli huo utamletea shida , yeye huwa anusimamia ukweli hadi mwisho ukweli hujitenga na uongo.

2. Tundu Lissu ni ni mpango wa Mungu kuwepo duniani, ninaamini kupitia mtu huyu ni lazima tena lazima kuna jambo litatokea juu ya uchaguzi Huuu, Mungu amemponya mtu huyu ili jambo alilokusidia litimie. Rejea kupigwa kwake risasi.

3. Tundu Lissu anatokea mkoa wa Singida, mkoa ulio katikati ya nchi, laiti kama angazaliwa mikoa ya pembezoni nadhani CCM na vyombo vyake wangelikwisha kumbambikiza kesi kuwa si raia wa Tanzania, rejea Askofu Kakobe, Askofu Mwamakula.

Tundu Lissu anahitaji kulindwa kwa gharama yeyote, ili wale kwenye nia ovu waone ugumu wa kumtendea uovu.

Hakika Mungu mlinde Tundu Lissu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.

Naomba kusilisha.
Mnadanganyana sana. TL hawezi kuwa Rais
 
Wengi walikuwa na akili kama zako, ila issue ya madini alivyoonesha rangi zake halisi ndio tukajua yupo upande gani.

Kuhusu ukweli laiti angesimamia ukweli kama msomi na kuuita uchunguzi uliofanywa na maprofesa kuwa ni 'rubbish' ila mwisho wa siku tulivyofanikiwa mpaka leo hajawahi kufukua 'bakuli' lake na kuzungumzia ndipo nikaamini kuwa naye ana maslahi yake.

Tanzania yangu, na kura yangu ntampa anayestahili.
Wewe bure hujui lolote funga bakulilako
 
Ishu ya madini wewe unachoelewa ni nini? Mikataba yanyewe jiwe analala nayo kaficha uvunguni mnaishiwa kuambiwa vitu hewa. Noah zipo wapi?
 
Acha porojo kwani mpaka SASA Tanzania haijashitakiwa na mabeberu kwa kuvunja mikataba ya madini?😂😂😂
A
 
Wengi walikuwa na akili kama zako, ila issue ya madini alivyoonesha rangi zake halisi ndio tukajua yupo upande gani.

Kuhusu ukweli laiti angesimamia ukweli kama msomi na kuuita uchunguzi uliofanywa na maprofesa kuwa ni 'rubbish' ila mwisho wa siku tulivyofanikiwa mpaka leo hajawahi kufukua 'bakuli' lake na kuzungumzia ndipo nikaamini kuwa naye ana maslahi yake.

Tanzania yangu, na kura yangu ntampa anayestahili.
Tumefanikiwa kwa lipi ? Lissu sio Malaika kwamba kila Jambo yupo sahihi ila pia tuache kuamini Bwana yule ni Boss wa Malaika nchi yetu sote lazima lazima tusaidiane tusikilizane...
 
Back
Top Bottom