Asante Mungu kwa kutupatia Tundu Lissu

mcoloo

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
918
1,401
Kwa kweli Mungu ni mwema Sana , Mungu anaye fahamu mianzo na mwisho wa kila Jambo, alijua kuwa katika awamu hii ya tano nchi itahitaji kuwa na mkombozi Kama Tundu Lisu.

Na Kama yupo mtanzania ambaye bado hajamuelewa Lisu Basi hata akiletwa Malaika hata muelewa. Ni Nani ambaye angethubu kuwasemea watumishi wa nchi hii Kama alivyo fanya Tundu Lissu, ni nani ambaye angethubu kusema Tena hadharani ufisadi mkubwa kiasi hiki ulio fanywa na mwenyekiti wa CCM na vibaraka wake ambao Nia yao kubwa ni kuwakandamiza wananchi ili wawanyonye vizuri.

Ni Nani ambaye angethubutu kuwasemea wakulima wa nchi kwa manyanyaso wanayo wanayofanyiwa na serikali hii, wavuvi, wafanyabiashara nk. Au Ni Nani ambaye angethubutu kuzungumzia mauwaji ya kutisha yaliyofanywa awamu hii ya tano?

Ama kweli Mungu ni wa ajabu amemtoa Lisu kwenye bonde la mauti ili aje atutoe kwenye makucha ya madhalimu haya ma CCM.
Inapofikia hapo ndo tunapo toa shukrani zetu kwa Mungu muumba wa mbingu na dunia kwa kutupatia Tundu Lisu.
Tujitokeze kwa wingi trh 28/10/2020 ili sote kwa pamoja tupige kura za ukombozi.
 
Usimuihuishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa..

Narudia Tena usimuhusishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa.

Naishia hapo.
 
Usimuihuishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa..

Narudia Tena usimuhusishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa.

Naishia hapo.
Haujitambui, toka enzi Mungu ndio huwaandaa watawala, Mungu alivyo mkataa Sauli alimtuma Samweli kwenda kwa Mzee Yese kumpaka mafuta Daudi ili awe mfalme ktk Israel. Kama hujui mambo kaa kimya kwani hata kimya pia huwa Ni jibu.
 
.
Nasema hivi msimufananishe Mungu na vitu vya kipumbavu kama wanasiasa.
 
.
Nasema hivi msimufananishe Mungu na vitu vya kipumbavu kama wanasiasa.
Tumeona uwezo wako wa kujenga hoja, Kama hapo unaona Mungu amefananishwa na ndipo ufahamu wako ulipo fikia hizo Ni fikra za wale wanaolia kwenye ibada zao nishakutambua.
 
Sidhani kama kuna zawadi nyingine ya thamani Mungu atatupa kama Tundu Antiphas Lissu!!

Ni mtu sahihi ambaye Mungu amesema aje kwetu kwa wakati sahihi. Hii nchi imefikia sehemu mbaya sana kiasi kuna kikundi cha watu wachache sana wanaoamua kama mtu awe hai au asiwe hai, afanikiwe au asifanikiwe.

Ni lazima watanzania tuhamasishane wote kwa nguvu moja mwaka huu twende tukampigie kura za nguvu huyu mtu ili abadirishe kabisa mfumo mbovu wa utawala uliopo hapa nchini na aweke misingi mipya ya maendeleo ya kweli ya watu yenye kuheshimu haki kwa mustakabalI mzuri wa Taifa letu
 
Ama kweli Mungu ni wa ajabu amemtoa Lisu kwenye bonde la mauti ili aje atutoe kwenye makucha ya madhalimu haya ma CCM.
Inapofikia hapo ndo tunapo toa shukrani zetu kwa Mungu muumba wa mbingu na dunia kwa kutupatia Tundu Lisu.
Tujitokeze kwa wingi trh 28/10/2020 ili sote kwa pamoja tupige kura za ukombozi.
Na kwa nguvu za mvuto ambazo Mungu muumba wa mbingu na nchi amempa Lisu, hata akaweza kukusanya umati mkubwa wa watu pasipo matangazo yoyote, basi ni dhahiri shahiri anakwenda kuwa rais.

Amen. Amen. Amen.
 
Usimuihuishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa..

Narudia Tena usimuhusishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa.

Naishia hapo.
Hivi wewe unadhani bila Mungu kutenda muujiza na kuingilia kati, zile risasi 16, zilizomwingia mwilini, unadhani Tundu Lissu, tungekuwa naye hivi Leo, akiendeleza mchaka mchaka wake wa kumtoa Jiwe, katika uchaguzi mkuu hapo Oktoba 28 mwaka huu?
 
#AchaKaziIendelee
IMG-20200923-WA0138.jpg
 
siachi kumuombea Lissu,
pmj na chadema kwa ujumla.
pia ninaendlea kutoa michango
kama kawaida,
AMINA.
 
Usimuihuishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa..

Narudia Tena usimuhusishe Mungu na vitu vya kipumbavu Kama Wana siasa.

Naishia hapo.

Mamlaka zote zinatoka kwa Mungu au hata hilo hulifahamu, Mungu alimleta Magu ili afanye aliyofanya kuwaamsha watanzania wengi waliokuwa wamelala kuona kuwa hawawezi kupata maendeleo ya kweli bila kuiondoa CCM madarakani kwanza
 
Back
Top Bottom