Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari zenu wakuu poleni na mihangaiko ya kila siku Binafsi sio mshabiki wa siasa ila napenda kusema ukweli wa mambo navyo yaona. Asilimia kubwa ya vyama vya Upinzani hawamtaki Rais aliyekuwepo...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Tanzania opposition leader says facing repression as elections near By Reuters Staff 4 MIN READ NAIROBI (Reuters) - Three weeks before elections, the Tanzanian government is getting scared and...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanabodi, Declaration of Interest. Mimi kama kawaida yangu, principle yangu ni kusema kweli daima, kwenye mazuri napongeza, kwenye mabaya nakosoa, na kwenye mapungufu, natoa mapendekezo, ila pia...
21 Reactions
152 Replies
17K Views
MEMBE, ACT WAZALENDO KUKATA PUMZI KAMPENI NA UNAFIKI WA ZITTO Na Mwamba wa Kaskazini Jana au juzi nimesoma andiko la vijana wa ACT wakiuliza swali muhimu sana ambalo naona limeibua mambo ndani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wazo hili limenijia baada ya kutoka Ibadani pale katika Huduma ya " Hakuna Lisilowezekana" inayoongozwa na Askofu Gamanywa. Tulipokumbushwa lile neno la Bwana Yesu pale msalabani aliposema " Baba...
2 Reactions
90 Replies
9K Views
Nimejipa kazi kuwafatilia wagombea wawili wa uraisi wanaoonekana kupendwa na watu wengi, nimegundua kuwa Dr. Magufuri anawaza mambo ya miaka kama 30 ijayo ndo tule bata. Ili hali Ndg Lisu akiwaza...
19 Reactions
107 Replies
10K Views
KILA KITU ANACHOKIFANYA LISSU KIPO CALCULATED Na Thadei Ole Mushi Kumzuia was a technical mistake again, Hizi siku 7 atazurura hapa Dar ambapo kuna wapiga kura 3.5 Milioni mpaka Milioni 4 Kwa...
28 Reactions
125 Replies
10K Views
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CHADEMA, Tundu Lissu amesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi isiwatishe bali ihakikishe uchaguzi unakuwa huru na haki ili kuwe na amani...
17 Reactions
120 Replies
9K Views
Habari wana JF, Leo numepita mitaa kadhaa ya jimbo la ukonga, nikashanga kukuta magreda yakifukia mashimo na makorongo barabarani hadi usiku. Nikauliza kulukoni mbona miaka na miaka wananchi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Na Bwanku M Bwanku Wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli anaingia madarakani Novemba, 2015 na toka nchi yetu ipate uhuru kutoka kwa Mkoloni Mwingereza mwaka 1961, nchi ya Tanzania ilikuwa na jumla...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
NITAWAUNGANISHA WATANZANIA WOTE" PROF. LIPUMBA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais atahakikisha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NITABORESHA KILIMO CHA TANGAWIZI "PROF. LIPUMBA" SAME MASHARIKI Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa rais...
0 Reactions
1 Replies
988 Views
Movie ilanza steringi alitoka kazini na dereva wake, alipofika maeneo ya nyumbai akashambuliwa na maadui kwa kila Aina ya silaha. Maadui wakakimbia wakajua wamemuua, wamemaliza. Wakaenda kwenye...
14 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu, naomba nipendekeze kwenu kuwa vijana nao wapate nafasi ya kukutana na Rais Magufuli. Awali ya yote napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mwanachama wa CCM lakini mkutano huu hautahusu mambo ya...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
"Uchaguzi huu nimeamua kutolalamika, Wahuni tutamalizana nao kihuni haitojalisha cheo alichonacho...Ili Uchaguzi uwe huru na Haki lazima kuheshimu maamuzi ya Wananchi tofauti na hapo ni Uhuni tu...
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Mimi nipo Kisarawe kwa muda kesho alfajiri nitaanza safari na baiskeli yangu aina ya Swala ambayo niliinunua mwaka 1987. Nakuja mpaka uwanja wa BWM. Kwa nia moja tu kusherehekea mafanikio ya CCM...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
SISI NI MASHAHIDI, TUTAPIGA KURA KUMCHAGUA TENA 1. JPM alipotangaza kufufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua Ndege mpya kwa ajili ya usafiri wa anga tulikua hapa #FikraHuru tukicheka...
1 Reactions
0 Replies
664 Views
Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife. Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais Magufuli amesema kuna harufu ya ufisadi katika ujenzi wa stendi mpya ya mabasi ya mikoani na nchi jirani ambapo nyongeza ya Sh bilioni 20 haielewki ina tija gani. Rais Magufuli ameahidi...
4 Reactions
54 Replies
7K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali Huyu hapa
49 Reactions
236 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…