Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nafahamu wazi kwamba muda hautoshi kwa Mh Tundu Lissu kuweza kupita kila mahali kuomba kura , lakini kuna maeneo ambayo umuhimu wa Tundu Lissu kupita ni mkubwa sana , hii ni kutokana na mvuto...
14 Reactions
45 Replies
5K Views
Hii nimeichota sehemu... TULIA HATOSHI, NI KIRUSI KINACHOIGAWA CCM MBEYA Mh. Tulia Ackson kazungukwa na watu wa ovyo. Kwanza ana haraka sana. Kitendo hiki kinawakera Mbeya tofauti na yeye na...
53 Reactions
179 Replies
26K Views
Kwa political analysists wazuri watakubaliana na mimi kuwa katika uhai wake kama Chama cha Siasa kimefail kuwa na ushawishi katika upande wa pili wa muungano. Jambo hili halina afya nzuri kwa...
4 Reactions
67 Replies
6K Views
Na: McWenceslaus Leo nimekuja nikiwa na ujumbe maridhawa wenye lengo la kutukumbusha kuhusu malengo ya Muungano wetu na utawala wa umoja wa kitaifa ambao tumekuwa nao kwa zaidi ya miaka 56 sasa...
0 Reactions
0 Replies
646 Views
Mchakato wa ufutaji hatimiliki za ardhi ambazo hazitumiki unadaiwa kuingiliwa na baadhi ya matajiri wanaotumia wanyonge ili wavitumie viwanja kwa maslahi yao. JAMHURI lina taarifa kwamba katika...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mkutano wa kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad jimbo la Mpendaye. Leo tarehe 08/10/2020, Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA" TANGA-KOROGWE MJINI Nitahakikisha kuwa kila mwananchi...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Tunapoelekea siku ya uchaguzi, kuna scenario kadhaa zitakazotokea kama ifuatavyo: 1) Kuna watu iwe mvua, jua, homa, foleni etc watavumilia na kupiga kura kuwachagua viongozi wanaowataka 2) Kuna...
0 Reactions
0 Replies
354 Views
Lissu kuwa makini na maneno yako kila unapoongea jukwaani. CCM na JPM kwa ujumla huwa hatuna nyongo. Kumbuka mpaka sasa hatuna ubalozi Iraq wala Afghanistan, kwa kifupi tunahitaji manpower na we...
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Kila mtu anao Mtazamo wake kuhusu masuala mbalimbali katika maisha. Namna unavyofanya maamuzi inaakisi sana Mtazamo wako na Fikra zako kuhusu masuala fulani. Katika mfumo wa maamuzi KURA ni sauti...
0 Reactions
4 Replies
587 Views
Habari wana JF. Katika makosa waliofanya wananchi wa tanga mjini mwaka 2015 n kumpa ubunge mtu ambae haguswi ata na kero za wananchi wake, kumekuwa na mbunge jina tuu, mbunge anashindwa ata...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Ndungulile (Faustine), ni kijana safi, mchapakazi, msemakweli, wana Kigamboni mniletee huyu, amefanya Kazi kubwa kuhakikisha Kigamboni inapata wilaya na nilienda kuzindua mimi," JPM, Taifa leo...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwaka 1961 tulipopata Uhuru tulirithi Jeshi la kikoloni lililoitwa Kings African Rifles (KAR) tukalibadilisha jina na kuliita Tanganyika Rifles (TR). Usiku wa kuamkia Disemba 9, Askari wawili wa...
34 Reactions
40 Replies
9K Views
Humphrey Polepole akielezea hatari za madaraka makubwa ya Rais kwa mujibu wa katiba iliyopo nchini Tanzania Rais amekuwa kama Mungu Mtu
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana CCM wameendelea kuiombea kura CHADEMA baada ya wagombea wao wa Ubunge, Udiwani na hata Urais kushindwa kueleza wazi hatima ya maisha yao baada ya UCHAGUZI. Ugumu wa maisha uliopelekea...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Rais Magufuli amekuwa mstari wa mbele katika kuitangaza na kuikuza lugha ya kiswahili iwe lugha ya kimataifa. Lakini wakati huo huo yeye mwenyewe ndiyo amekuwa mstari wa mbele katika kuikuza lugha...
5 Reactions
38 Replies
5K Views
Niliongea na jirani yangu ambae ni kada kindaki ndaki, aliniambia upinzani hauwezi kutangazwa mshindi hata ukishinda. Nilimuuliza ni kwanini iwe hivyo? Jibu lake ni kuwa CCM na watu wake...
2 Reactions
6 Replies
972 Views
MH.MAGUFULI KATIKA VIATU VYA NYERERE. Katika Makala yangu ya “Rais Magufuli na Goriathi wa Tanzania” katika Gazeti la “Nipashe” na kwenye mitandao ya “Jamii Forum” na Facebook” Nilieleza namna...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Imezoeleka kuwa Jambo juzi na jema kutokea kwenye jamii au maisha ya mtu,tunaiita BAHATI ya MTENDE. Hivyo ndivyo ilivyo kwa wakazi wa jimbo la ubungo na halmashauri ya ubungo. Chama Cha...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu natanguliza salamu , Naomba kuweka wazi kabisa kwamba mimi ni mwenyeji wa Mkoa wa Mbeya , Wilaya ya Kyela , kijiji cha Kajunjumele ,utamaduni wa Kyela na Rungwe unashabihiiana kwa kiasi...
46 Reactions
224 Replies
29K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…