Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Uongozi wa uwanja wa Taifa wa Mkapa uliitoza faini klabu ya Simba baada ya mashabiki wake kung’oa viti vya uwanja huo, jana mashabiki na wanachama wa CCM wamefanya uharibifu mkubwa mbele ya mkiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Stori: Makongoro Oging' na Haruni Sanchawa Sare mpya za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) zilizokamatwa nyumbani kwa Billionea huyo. Zana zilizokuwa zinatumika na wahalifu nyumbani kwa...
1 Reactions
134 Replies
43K Views
"Tumevumilia sana,na IGP amevumilia sana. Kuanzia sasa mtashangaa watu watapigwa mabomu kule ambako wameambiwa waache kwenda na polisi, nadhani mliona jana wamepigwa mabomu kule Nyamongo’’-Dkt...
13 Reactions
81 Replies
8K Views
Ndugu zangu, Huyu Tundu Lissu alibeza kila mbinu iliyotumiwa na Serikali ya Tanzania dhidi ya Corona. Wakati kawasili Tanzania aliongea na redio za Kenya aliwaeleza kuwa hali ya Tanzania ni mbaya...
12 Reactions
51 Replies
4K Views
Vyama vya Upinzani Nchini vimetakiwa kuondoa hofu ya kuibiwa kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 28 mwaka huu bali wawe na imani na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwamba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Dear friends and colleagues all over the world, I am delighted to write to you on this very special day as we are counting 20 days to general election. I am sure you have heard a lot potraying...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Mwaka 2015 ulipewa miaka mitano na kwa kweli tumeona maajabu mengi. Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu watumishi wa umma wakasota miaka mitano bila kupata nyongeza ya mshahara ambayo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Yaani nisikie tu kuwa Polisi wamewakamata vijana au wanachama wa CCM wakihusika na hili na lile katika heka heka za uchaguzi,Polisi mnaweza kujificha hata kuwakama wale wanaoshusha bendera za...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Labda waandishi wanaopitia hapa JForums kama una suali labda unalo muda mrefu na ungependa waandishi wa habari na wa vyombo vya televisheni waliulize , Maana kila siku tunaona watajwa wanaitisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Kilave Dorothy George ameendelea na kampeni za kunadi sera zake pamoja na Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika kampeni hizo mgombe huyo ameweka wazi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
TANGA TANGA TANGA PROF. LIPUMBA KUUNGURUMA LEO MUDA: SAA 10: 00 JIONI
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, hutoa zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", Watanzania tunajiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa rais, wabunge na madiwani hapo Oktoba 28...
28 Reactions
228 Replies
14K Views
MKINICHAGUA KUWA RAIS NTAUNDA SERIKALI YA UMOJA WA KITAIFA"PROF.LIPUMBA" MULEBA KAGERA Nchi yetu imejaa ufisadi, ubinafsi, migawanyiko, kuumizana, ubaguzi, kutokuaminiana, chuki, kukata tamaa na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Yaani nisikie tu kuwa Polisi wamewakamata vijana au wanachama wa CCM wakihusika na hili na lile katika heka heka za uchaguzi,Polisi mnaweza kujificha hata kuwakama wale wanaoshusha bendera za...
1 Reactions
1 Replies
670 Views
Niliahidi wiki iliyopita kwamba nitaandika tena baada ya hukumu dhidi ya Tundu Lissu ambayo tayari ilikwishavuja hata kabla ya mashtaka kuandikwa. Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza...
24 Reactions
52 Replies
5K Views
Habarini. Kweli kabisa yaani mgombea akijaza nyomi kwenye mkutano wake wa kampeni kwenye chama fulani cha siasa inaashiria ushindi???? Imani gani hizi. Nimekua nafuatilia sana hapa jukwaani kila...
9 Reactions
60 Replies
6K Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema hadi sasa wananchi wengi wamekuwa watulivu licha ya kuwepo kwa baadhi ya watu wachache walioandaliwa na baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa...
7 Reactions
89 Replies
8K Views
Na: Giantist McWenceslaus 30/08/2020 Dodoma. Kuanzia siku ya jumamosi ya 29/08/2020 kipyenga kilipigwa kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa safari ya kampeni ya...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Makada watano CHADEMA mbaroni kwa tuhuma za makosa mtandaoni MAKADA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Arusha, wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuingilia...
2 Reactions
63 Replies
9K Views
Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020. Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…