Uchaguzi 2020 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke, Kilave Dorothy George aweka hadharani vipaumbele vyake akipewa ridhaa ya Ubunge

JOVAINEVANJOV

Member
Sep 25, 2016
9
0
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Temeke Mhe. Kilave Dorothy George ameendelea na kampeni za kunadi sera zake pamoja na Ilani ya Chama cha Mapinduzi CCM, katika kampeni hizo mgombe huyo ameweka wazi vipaumbele vyake endapo akipewa ridhaa na Wananchi ifikapo Oktoba 28,2020.

ELIMU
-Kuimarisha ubora wa elimu katika ngazi zote.
-Kuboresha na kujenga na kukarabati miundombinu ya elimu.
-Kuboresha utoaji wa elimu kwa wanafunzi wenye uhutaji maalumu.

AFYA
-Kuimarisha za afya ya Mama na Watoto.
-Kuimarisha upatikanaji wa dawa , vifaa, vifaa Tiba.
-Kuimarisha vituo vya afya.
-Kuimarisha mfumo wa Bima ya afya.
-Kuimarisha huduma za afya kwa wazee.

IMG_5117-Recovered.jpg

WATU WENYE ULEMAVU.
-Kuhakikisha na kuimarisha kuweka mazingira wezshi na rafiki.

MIUNDOMBINU.
-Kuimarisha Miundombinu, barabara za ndani ya jimbo.
-kuimarisha mifereji iliyopo na kujenga mingine.
-Kuimarisha Masoko na mazingira yake.
-Kuimarisha usafi katika uzoaji taka.

ULINZI.
-Kuimarisha na kuelimisha wananchi juu ya masuala ya ulinzi,uzalendo.
-Kuimarisha mfumo wa ulinzi na usalama kwenye ngazi ya jamii.

UTAMADUNUI,SANAA NA MICHEZO
-Kuimarisha utamaduni kwa kutumia maarifa, maadili, mila nzuri na desturi.
-kuimarisha maendeleo na usimamizi wa tasnia ya sanaa katika jimbo letu.
-kuimarisha michezo mashuleni ili kuibua na kukuza vipaji.
-Kuimarisha na kukarabati viwanja vidogo vidogo ndani ya jimbomletu
-kuimarisha umuhimu wa kutoa burudani.

RUSHWA
-
Kuhakikisha na kushirikisha jamii katika mapambano dhidi ya Rushwa na ufisadi.
-Kutoa elimu na kuendelea kuthibiti matumizi ya utoaji na upokeaji.

CHAGUA KILAVE DOROTHY GEORGE KWA MAENDELEO YA JIMBO LA TEMEKE.
 
Back
Top Bottom