Uchaguzi 2020 Uhuru, haki na maendeleo ya watu: ni kauli mbiu iliyokosa mvuto kwa watanzania

The Giantist

JF-Expert Member
Dec 12, 2018
214
86
Na:
Giantist McWenceslaus
30/08/2020
Dodoma.

Kuanzia siku ya jumamosi ya 29/08/2020 kipyenga kilipigwa kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa safari ya kampeni ya miezi miwili mfululizo katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 28/10/2020. Na vyama hivyo baadhi ni CCM na CHADEMA.

Na kwa jinsi hiyo, wagombea mbalimbali walijitokeza kuweza kuuza ilani zao, watanzania wamewasikia wagombea hao wakieleza kwa uchache masuala mbalimbali yanayohusu mambo ya kijamii. Lakini pia wagombea hao wameweza kusema kauli mbiu zao, ambazo ndizo zinazoongoza ilani zao. Tumewasikia wakisema "Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele kwa kwa pamoja, kazi inaendelea." Wengine wakisema "Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu." Na wengine wanasema "Kazi na Bata." Kwa kauli mbiu hizo ni dhahiri kuwa viongozi hao wanayo mambo ambayo yatasimamiwa katika misingi yao hiyo. Kwa uchache leo, nitazungumza kuhusu kauli mbiu hii ya "Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu."

Ni kweli kwamba katika kauli mbiu hiyo, kuna mambo manne muhimu, ikiwa ni Uhuru, Haki, Maendeleo na watu. Na kwamba, CHADEMA kimejidhatiti kabisa katika kuenenda kwenye mambo hayo manne, mambo makubwa kabisa katika Taifa. Hata hivyo ndugu zangu wanabodi, ni lazima tujiulize sisi kama watanzania tangu tupate uhuru miaka ya 1961. Je, ni kweli mambo hayo hatukuwahi kuwa nayo..? Na kama tulikuwa hatunazo, Je, tuliwezaje kuishi katika hali ya utulivu umoja na mshikamano kwa wakati wote huo tangu Uhuru hata sasa? Tukishajiuliza maswali hayo, ni dhahiri sasa tutakuwa tunakubaliana kwamba CHADEMA sasa wamekosa ajenda za kwenda kutafuta kura kwa wananchi, hata kuamua kuwalaghai wananchi ambao kwa sasa wanamuomba Mungu ili aweze kujahalia katika Kudumisha uhuru na umoja. Rejea kwenye wimbo wetu wa Taifa "..... Dumisha uhuru na umoja, wake kwa waume na watoto.... Mungu ibariki Tanzania na watu wake..."

Uhuru, haki na Maendeleo ya watu ni masuala ambayo yanakwenda pamoja, na kwa kweli hayawezi kuachana. Neno uhuru iliyotumika hapo, ni uhuru wa mtu au watu au Taifa wa kuweza kuwa na nafasi ya wazi ya kujiamulia kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa ama kubugudhiwa na mtu mwingine, watu wengine au Taifa jingine. Na kwamba katika kujiamulia huko mtu huyo ama watu hao au Taifa hilo ni lazima nao walinde uhuru huo kwa watu wengine pia, bila kuwabugudhi au kuwaingilia katika maamuzi yao pia. Na ndio kusema kuwa ikiwa mtu akataka kufanya jambo ambalo linamletea tija kwake, na akakosa uhuru wa kufanya hilo jambo. Ni wazi kuwa mtu huyu hataweza kumudu kujiketea tija katika maisha yake kiuchumi, ndio kusema hataweza kuendeleza uchumi kwa kukuza mapato yake. Kwa hiyo maendeleo ya mtu ni tunda la uhuru wa kuweza kushiriki katika mambo yote ya msingi katika ujenzi wa uchumi wake na wa jamii yake kwa jumla.

Kama tulivyokubaliana hapo mwanzo, kwamba Uhuru, haki na Maendeleo ya watu ni masuala ambayo yanakwenda pamoja, na kwa kweli hayawezi kuachana. Neno haki lililotumika hapo, ni stahili ambayo mtu hana budi kuwa nayo kwa kuwa inamstahili. Hakuna mtu anayetoa haki kwa mtu, isipokuwa haki ya mtu ipo tangu mwanzo wa Dunia, na kwamba kila mtu amekuwa nayo tangu angali tumboni mwa mamaye. Haki sio zawadi, haki ni tunu ya mtu. Kila mtu anayo haki ya kuishi mahala po pote ndani ya uso wa Dunia kwa kufuata taratibu zisizokwisha kubaliwa. Na kwa Tanzania, kila mtanzania anayo haki ya kuishi po pote ndani ya nchi bila kusumbuliwa, kila mtu anayo haki ya kufanya kazi anayoitaka kwa hiari yake pasipo kulazimishwa, kila mtu anayo haki ya kusoma taaluma anayoitaka, kila mtu anayo haki ya kushirikiana na kaunzisha vikundi kwa mujibu wa sheria za nchi n.k. haki ya kupata huduma za muhimu za jamii kama very maji, elimu na afya bila kubaguliwa kwa misingi ya nasaba yake, kabila lake, hali yake, dini yake ama kwa vyo vyote vile.

Ikiwa mtu akanyimwa haki zake za msingi, mtu huyu hawezi kuwa huru kufanya kazi za msingi ambazo bila shaka zitakuwa na tija kwake na jamii yake pia. Mtu akikosa haki ya kupata elimu, mtu huyu atakuwa kwenye hatari ya kushambuliwa na mazingira yake; kukosa haki ya kupata huduma ya afya na maji, ni hatari kwa afya na ustawi wa maisha ya mtu. Ndio kusema mtu mwenye haki, ndiye mtu huru. Na kwa kuwa hakuna mtu aliyeendelea bila kuwa mtu huru, ndio kusema kuwa mtu mwenye kupata haki zake ndiye mtu anayeweza kujiletea maendeleo yake na ya Taifa kwa jumla.

Tutaendelea kukubali kuwa, Uhuru, haki na Maendeleo ya watu ni masuala ambayo yanakwenda pamoja, na kwa kweli hayawezi kuachana. Maendeleo iliyotumika hapa ni mabadiliko chanya kwa hali ya ustawi wa mtu, watu au Taifa. Maendeleo ni mabadiliko yenye kuleta faida na sio hasara. Kama tulivyokwisha kusema kuwa maendeleo yanaweza kupatikana tu ikiwa wapo watu ambao watanufaika nayo, huwezi kukuta msamiati maendeleo kwenye mwezi kwa kuwa hakuna watu kule. Hivyo basi maendeleo ni watu, na watu ni walio huru na ambao wanapata haki zao. Hilo lipo wazi, mtu aliyeendelea ni yule ambaye anao uhuru wa kufanya kazi bila kupivwa wala kusukumwasukumwa, na ni mwenye haki ya kupata kuishi katika mazingira mazuri na yenye usalama.

Ukishakubali kuwa maendeleo ni watu ni lazima utakubaliana nami kuwa, ili watu hawa waendelee hawana budi kuwekewa mazingira ambayo wataweza kujiletea maendeleo yao. Ndio kusema kuwa wajibu wa mchungwa ni kuzaa machungwa haijalishi mchungwa huo umeoteshwa jangwani, na wala hautunzwi vema, huo ni ujinga. Ni kweli kuwa mchungwa ni lazima uzae machungwa, lakini ni wajibu wetu kuuwekea mazingira mazuri ya kuhakikisha mchungwa huo utazaa ma hungwa mengi na yaliyobora. Na kwa sababu hiyo mataifa mengi Duniani, yanapigana katika kuweka mazingira ambayo watu wake wataweza kujitafutia maendeleo yao na ya Taifa kwa jumla.

Na ndio maana tangu tulipopata uhuru hata sasa, Tanzania yetu imekuwa katika hali ya utulivu na ya amani watu wake wanaishi katika undugu, bila ubaguzi wa aina yo yote ile. Imekuwa hivyo sio kwa sababu Mungu ametupendelea kuliko mataifa mengine, Ila ni kwa sababu ya uongozi mzuri chini ya CCM. Ni CCM ndiyo ambayo imewaletea watanzania uhuru, ni CCM ndiyo iliyoleta Utanzania, ni CCM ndiyo ambayo imewapatia watanzania haki ya kupata huduma za muhimu kama elimu afya na maji, kwa kuwashirikisha taasisi za kidini katika kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu na huduma Bora za afya, ni CCM ndiyo ambayo imewaletea maendeleo watanzania wote, ni CCM ndiyo iliyowaunganisha watanzania kwa Lugha moja ya Kiswahili, ni CCM ndiyo iliyotenganisha mambo ya utawala na mambo ya dini ili kujenga umoja imara wa kitaifa n.k kabla ya CCM kulikuwa na uhuru wa watu wachache, haki kwa watu wachache na Maendeleo kwa watu wachache. Ni baada ya CCM hata sasa, tunaudumisha uhuru kwa watanzania wote, haki kwa watanzania wote na kuleta maendeleo ya watu wote. Na haya yamewezekana kwa udhibiti na usimamizi mzuri wa fedha zitokanazo na kodi za wananchi.

Ifahamike kuwa hakuna chama cha siasa cho chote ndani ya Tanzania ambacho kitaweza na kufanikiwa kuwashawishi watanzania kwa kuwaongopea kwamba wao ndio wanatafuta uhuru, haki na Maendeleo ya watu sasa. Watanzania wanafahamu kuwa uhuru wanao haki wanazo na Maendeleo wanayo! Wanafahamu kuwa ni CCM ndicho kilichowaletea uhuru, kimewapatia haki na kimewaletea maendeleo.... Kwa hiyo CHADEMA kuamua kutumia kauli mbiu hiyo, ni kutafuta kujidhalilisha chenyewe na kujijengea mazingira ya kupungukiwa na kura nyingi sana siku ya uchaguzi. Watanzania wanapenda ukweli na sio porojo za uhuru, haki na mendeleo ya watu. Kazi ambayo ilikwisha malizwa na CCM. Watanzania wanaudumisha uhuru kwa miaka zaidi ya 50 sasa, pamoja na haki zao na Maendeleo yao.

Watanzania wanachokihitaji sasa, ni viongozi wenye kusema na kutenda, Chama na viongozi wenye uwezo wa kusimama imara katika kutetea maslahi ya watanzania wote bila kujali wagonjwa, wasio wagonjwa, wajinga, werevu, wenye busara, wenye hekima n.k. Chama ambacho kauli zake na misingi yake ni katika kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa, chama ambacho hakitacheka na watu washenzi wahujumu uchumi, wazembe kazini, ambao hawatakubali rasilimali za nchi zikanufaishe watu wachache badala yake zikawanufaishe watanzania wote. Watanzania wanataka viongozi ambao ajenda zao ni Tanzania na watanzania na sio Vibaraka. Vibaraka ambao wanarudi nyumbani kuutafuta Urais ili wakaiuze nchi na mara wakishaukosa Urais wanarudi kuishi huko kwa Vibaraka wao. Watanzania wanahitaji maendeleo, na wanafahamu huwezi kuleta maendeleo bila kufanya kazi, na kwamba huwezi kufanya kazi Kama hakuna mazingira mazuri ya kufanyia kazi.

Kwa hiyo basi, watanzania wanakubaliana kabisa na kauli mbiu ya "Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele kwa kwa pamoja, kazi inaendelea" na kwa kusema ukweli kauli za "Kazi na Bata." Ni ishara ya kuonesha wazi kukosekana kwa utimamu wa utendaji wa kazi na badala yake ni kuwepo kwa utendaji wa kazi katika mizaha. Watanzania hawahitaji tena mizaha katika safari ya kutafuta maendeleo.

#ChaguaMagufuli
#ChaguaCCM
#Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele kwa kwa pamoja, kazi inaendelea.
#JPM Mitano tena, Tunasafiri na Mwinyi Zanzibar mpaka 2025!!!

Sauti ya Mdodomia.

Screenshot_20200831-212320~2.png
 
Mi sina muda wa kusoma maelezo yote hayo, niambie ni aya ipi umeweka japo point moja ya maana niisome hiyo tu ..!!😎😜🙈🙈
 
Itoshe kukujibu "Dawa zote nzuri ni chungu, ukweli ni mchungu! Sorry sijasoma matope yaliyopo humo ndani kwa sababu naamini heading ni summary ya kilichopo ndani.
 
Ukiona mtu anaandika sana hivi ujue ni mwongo. Anahangaika kuhalalisha uongo wake. Waongo wengi Wana blah blah!
 
The Giantist,
Duu! Hakika nchi hii bado kuna wajinga wengi. Umekesha kuandika upumbavu huu kwa malipo ya kiasi gani?

Elimu! Elimu! Elimu! Bado inahitajika sana.
Ileje
Malipo yangu ni kuwafahamisha watanzania nawe ukiwa ni mmoja wao, kwamba Uhuru Haki na Maendeleo ya watu sio hitaji la watanzania. Mpaka sasa watanzania wanao Uhuru, wanazo haki zao na watayapata maendeleo yao. Kwa hiyo kauli mbiu hiyo kwa CHADEMA ni dhahiri shahiri kwamba hawana tena ajenda ya kuwashawishi watanzania katika kuwaomba kura ya kuwachagua.
 
Uhuru wa namna gani!? Isije kuwa uhuru wa kutaka kufitinisha nchi kama alivyoanza.
Haki ya namna gani!?Isije kuwa haki ya kufanya mambo ya hovyo faraghani kama anavyohimiza.
Maendeleo ya namna gani!? Isije kuwa ni ya kuifanya nchi kuwa tegemezi zaidi kama anavyojiapiza.
 
Kijana huna ajira umekaa kushobokea chama kilichoshindwa kuandaa sera lafiki kwa vijana Ikiwepo Ajira, mikopo, uwezeshaji wa vijana nk nk.
CCM imekosa kabisa Think tank.

Ungekuwa na ajira usingekesha kuandika ugoro mwingi hivi.
 
Sio kweli, kaa chini utazame na ufikiri kwa akili yako mwenyewe. Utaona uelekeo ambao kama taifa linaelekea katika kujenga uchumi wa nchi na wa watu wake. Tusipende kusikiliza pekee bila hata kutazama na kisha kupima kwa akili zetu wenyewe.
 
Kijana huna ajira umekaa kushobokea chama kilichoshindwa kuandaa sera lafiki kwa vijana Ikiwepo Ajira, mikopo, uwezeshaji wa vijana nk nk.
CCM imekosa kabisa Think tank.

Ungekuwa na ajira usingekesha kuandika ugoro mwingi hivi.
Kama ulifikiri kazi za ofisini ni kama kazi za kitumwa, kwamba hakuna mapumziko. Basi kaa ukifahamu kuwa kazini hali sivyo Kama unavyofikiri. Nakuombea Mungu nawe upate kazi za ofisini, ila chunga usichague kazi.
 
Na:
Giantist McWenceslaus
30/08/2020
Dodoma.

Kuanzia siku ya jumamosi ya 29/08/2020 kipyenga kilipigwa kwa baadhi ya vyama vya siasa nchini, ikiwa ni ishara ya kuanza kwa safari ya kampeni ya miezi miwili mfululizo katika kuelekea uchaguzi mkuu wa 28/10/2020. Na vyama hivyo baadhi ni CCM na CHADEMA.

Na kwa jinsi hiyo, wagombea mbalimbali walijitokeza kuweza kuuza ilani zao, watanzania wamewasikia wagombea hao wakieleza kwa uchache masuala mbalimbali yanayohusu mambo ya kijamii. Lakini pia wagombea hao wameweza kusema kauli mbiu zao, ambazo ndizo zinazoongoza ilani zao. Tumewasikia wakisema "Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele kwa kwa pamoja, kazi inaendelea." Wengine wakisema "Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu." Na wengine wanasema "Kazi na Bata." Kwa kauli mbiu hizo ni dhahiri kuwa viongozi hao wanayo mambo ambayo yatasimamiwa katika misingi yao hiyo. Kwa uchache leo, nitazungumza kuhusu kauli mbiu hii ya "Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu."

Ni kweli kwamba katika kauli mbiu hiyo, kuna mambo manne muhimu, ikiwa ni Uhuru, Haki, Maendeleo na watu. Na kwamba, CHADEMA kimejidhatiti kabisa katika kuenenda kwenye mambo hayo manne, mambo makubwa kabisa katika Taifa. Hata hivyo ndugu zangu wanabodi, ni lazima tujiulize sisi kama watanzania tangu tupate uhuru miaka ya 1961. Je, ni kweli mambo hayo hatukuwahi kuwa nayo..? Na kama tulikuwa hatunazo, Je, tuliwezaje kuishi katika hali ya utulivu umoja na mshikamano kwa wakati wote huo tangu Uhuru hata sasa? Tukishajiuliza maswali hayo, ni dhahiri sasa tutakuwa tunakubaliana kwamba CHADEMA sasa wamekosa ajenda za kwenda kutafuta kura kwa wananchi, hata kuamua kuwalaghai wananchi ambao kwa sasa wanamuomba Mungu ili aweze kujahalia katika Kudumisha uhuru na umoja. Rejea kwenye wimbo wetu wa Taifa "..... Dumisha uhuru na umoja, wake kwa waume na watoto.... Mungu ibariki Tanzania na watu wake..."

Uhuru, haki na Maendeleo ya watu ni masuala ambayo yanakwenda pamoja, na kwa kweli hayawezi kuachana. Neno uhuru iliyotumika hapo, ni uhuru wa mtu au watu au Taifa wa kuweza kuwa na nafasi ya wazi ya kujiamulia kufanya maamuzi pasipo kuingiliwa ama kubugudhiwa na mtu mwingine, watu wengine au Taifa jingine. Na kwamba katika kujiamulia huko mtu huyo ama watu hao au Taifa hilo ni lazima nao walinde uhuru huo kwa watu wengine pia, bila kuwabugudhi au kuwaingilia katika maamuzi yao pia. Na ndio kusema kuwa ikiwa mtu akataka kufanya jambo ambalo linamletea tija kwake, na akakosa uhuru wa kufanya hilo jambo. Ni wazi kuwa mtu huyu hataweza kumudu kujiketea tija katika maisha yake kiuchumi, ndio kusema hataweza kuendeleza uchumi kwa kukuza mapato yake. Kwa hiyo maendeleo ya mtu ni tunda la uhuru wa kuweza kushiriki katika mambo yote ya msingi katika ujenzi wa uchumi wake na wa jamii yake kwa jumla.

Kama tulivyokubaliana hapo mwanzo, kwamba Uhuru, haki na Maendeleo ya watu ni masuala ambayo yanakwenda pamoja, na kwa kweli hayawezi kuachana. Neno haki lililotumika hapo, ni stahili ambayo mtu hana budi kuwa nayo kwa kuwa inamstahili. Hakuna mtu anayetoa haki kwa mtu, isipokuwa haki ya mtu ipo tangu mwanzo wa Dunia, na kwamba kila mtu amekuwa nayo tangu angali tumboni mwa mamaye. Haki sio zawadi, haki ni tunu ya mtu. Kila mtu anayo haki ya kuishi mahala po pote ndani ya uso wa Dunia kwa kufuata taratibu zisizokwisha kubaliwa. Na kwa Tanzania, kila mtanzania anayo haki ya kuishi po pote ndani ya nchi bila kusumbuliwa, kila mtu anayo haki ya kufanya kazi anayoitaka kwa hiari yake pasipo kulazimishwa, kila mtu anayo haki ya kusoma taaluma anayoitaka, kila mtu anayo haki ya kushirikiana na kaunzisha vikundi kwa mujibu wa sheria za nchi n.k. haki ya kupata huduma za muhimu za jamii kama very maji, elimu na afya bila kubaguliwa kwa misingi ya nasaba yake, kabila lake, hali yake, dini yake ama kwa vyo vyote vile.

Ikiwa mtu akanyimwa haki zake za msingi, mtu huyu hawezi kuwa huru kufanya kazi za msingi ambazo bila shaka zitakuwa na tija kwake na jamii yake pia. Mtu akikosa haki ya kupata elimu, mtu huyu atakuwa kwenye hatari ya kushambuliwa na mazingira yake; kukosa haki ya kupata huduma ya afya na maji, ni hatari kwa afya na ustawi wa maisha ya mtu. Ndio kusema mtu mwenye haki, ndiye mtu huru. Na kwa kuwa hakuna mtu aliyeendelea bila kuwa mtu huru, ndio kusema kuwa mtu mwenye kupata haki zake ndiye mtu anayeweza kujiletea maendeleo yake na ya Taifa kwa jumla.

Tutaendelea kukubali kuwa, Uhuru, haki na Maendeleo ya watu ni masuala ambayo yanakwenda pamoja, na kwa kweli hayawezi kuachana. Maendeleo iliyotumika hapa ni mabadiliko chanya kwa hali ya ustawi wa mtu, watu au Taifa. Maendeleo ni mabadiliko yenye kuleta faida na sio hasara. Kama tulivyokwisha kusema kuwa maendeleo yanaweza kupatikana tu ikiwa wapo watu ambao watanufaika nayo, huwezi kukuta msamiati maendeleo kwenye mwezi kwa kuwa hakuna watu kule. Hivyo basi maendeleo ni watu, na watu ni walio huru na ambao wanapata haki zao. Hilo lipo wazi, mtu aliyeendelea ni yule ambaye anao uhuru wa kufanya kazi bila kupivwa wala kusukumwasukumwa, na ni mwenye haki ya kupata kuishi katika mazingira mazuri na yenye usalama.

Ukishakubali kuwa maendeleo ni watu ni lazima utakubaliana nami kuwa, ili watu hawa waendelee hawana budi kuwekewa mazingira ambayo wataweza kujiletea maendeleo yao. Ndio kusema kuwa wajibu wa mchungwa ni kuzaa machungwa haijalishi mchungwa huo umeoteshwa jangwani, na wala hautunzwi vema, huo ni ujinga. Ni kweli kuwa mchungwa ni lazima uzae machungwa, lakini ni wajibu wetu kuuwekea mazingira mazuri ya kuhakikisha mchungwa huo utazaa ma hungwa mengi na yaliyobora. Na kwa sababu hiyo mataifa mengi Duniani, yanapigana katika kuweka mazingira ambayo watu wake wataweza kujitafutia maendeleo yao na ya Taifa kwa jumla.

Na ndio maana tangu tulipopata uhuru hata sasa, Tanzania yetu imekuwa katika hali ya utulivu na ya amani watu wake wanaishi katika undugu, bila ubaguzi wa aina yo yote ile. Imekuwa hivyo sio kwa sababu Mungu ametupendelea kuliko mataifa mengine, Ila ni kwa sababu ya uongozi mzuri chini ya CCM. Ni CCM ndiyo ambayo imewaletea watanzania uhuru, ni CCM ndiyo iliyoleta Utanzania, ni CCM ndiyo ambayo imewapatia watanzania haki ya kupata huduma za muhimu kama elimu afya na maji, kwa kuwashirikisha taasisi za kidini katika kuhakikisha kila mtanzania anapata elimu na huduma Bora za afya, ni CCM ndiyo ambayo imewaletea maendeleo watanzania wote, ni CCM ndiyo iliyowaunganisha watanzania kwa Lugha moja ya Kiswahili, ni CCM ndiyo iliyotenganisha mambo ya utawala na mambo ya dini ili kujenga umoja imara wa kitaifa n.k kabla ya CCM kulikuwa na uhuru wa watu wachache, haki kwa watu wachache na Maendeleo kwa watu wachache. Ni baada ya CCM hata sasa, tunaudumisha uhuru kwa watanzania wote, haki kwa watanzania wote na kuleta maendeleo ya watu wote. Na haya yamewezekana kwa udhibiti na usimamizi mzuri wa fedha zitokanazo na kodi za wananchi.

Ifahamike kuwa hakuna chama cha siasa cho chote ndani ya Tanzania ambacho kitaweza na kufanikiwa kuwashawishi watanzania kwa kuwaongopea kwamba wao ndio wanatafuta uhuru, haki na Maendeleo ya watu sasa. Watanzania wanafahamu kuwa uhuru wanao haki wanazo na Maendeleo wanayo! Wanafahamu kuwa ni CCM ndicho kilichowaletea uhuru, kimewapatia haki na kimewaletea maendeleo.... Kwa hiyo CHADEMA kuamua kutumia kauli mbiu hiyo, ni kutafuta kujidhalilisha chenyewe na kujijengea mazingira ya kupungukiwa na kura nyingi sana siku ya uchaguzi. Watanzania wanapenda ukweli na sio porojo za uhuru, haki na mendeleo ya watu. Kazi ambayo ilikwisha malizwa na CCM. Watanzania wanaudumisha uhuru kwa miaka zaidi ya 50 sasa, pamoja na haki zao na Maendeleo yao.

Watanzania wanachokihitaji sasa, ni viongozi wenye kusema na kutenda, Chama na viongozi wenye uwezo wa kusimama imara katika kutetea maslahi ya watanzania wote bila kujali wagonjwa, wasio wagonjwa, wajinga, werevu, wenye busara, wenye hekima n.k. Chama ambacho kauli zake na misingi yake ni katika kudumisha umoja na mshikamano wa kitaifa, chama ambacho hakitacheka na watu washenzi wahujumu uchumi, wazembe kazini, ambao hawatakubali rasilimali za nchi zikanufaishe watu wachache badala yake zikawanufaishe watanzania wote. Watanzania wanataka viongozi ambao ajenda zao ni Tanzania na watanzania na sio Vibaraka. Vibaraka ambao wanarudi nyumbani kuutafuta Urais ili wakaiuze nchi na mara wakishaukosa Urais wanarudi kuishi huko kwa Vibaraka wao. Watanzania wanahitaji maendeleo, na wanafahamu huwezi kuleta maendeleo bila kufanya kazi, na kwamba huwezi kufanya kazi Kama hakuna mazingira mazuri ya kufanyia kazi.

Kwa hiyo basi, watanzania wanakubaliana kabisa na kauli mbiu ya "Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele kwa kwa pamoja, kazi inaendelea" na kwa kusema ukweli kauli za "Kazi na Bata." Ni ishara ya kuonesha wazi kukosekana kwa utimamu wa utendaji wa kazi na badala yake ni kuwepo kwa utendaji wa kazi katika mizaha. Watanzania hawahitaji tena mizaha katika safari ya kutafuta maendeleo.

#ChaguaMagufuli
#ChaguaCCM
#Tumetekeleza kwa kishindo, tunasonga mbele kwa kwa pamoja, kazi inaendelea.
#JPM Mitano tena, Tunasafiri na Mwinyi Zanzibar mpaka 2025!!!

Sauti ya Mdodomia.

Mkuu usinijumuishe kwenye huu utopolo wako.
 
Nahisi wewe ni punguani
 
Sijaweza kusoma upuuzi wote uilioandikwa humu, lakini umefanya utafiti kujua kuwa kauli mbiu ya UHURU, HAKI NA MAENDELEO YA WATU haina mvuto?
 
Tulitawaliwa na mkoloni na Tanganyika ndiyo nchi pekee katika Afrika Mashariki na Kati iliyokuwa na utulivu na amani kiasi cha wananchi wake kuishi nyumba moja na wajaluo toka Kenya, wanyasa toka Nyasaland. Waganda, wasukuma, wahehe, wangoni na makabila mengi mengine; Kwanini watanganyika waliweza kuishi hivyo! Inatokana na mfumo wa utawala iliyopewa Tanganyika ikiwa chini ya League of Nations kisha United Nation Organization ambako tuliupata Uhuru wetu tofauti na upotoshaji unaofanywa na CCM kuwa ndiyo iliyoleta amani na utulivu.
 
Bila shaka huijui historia ya harakati za Uhuru wa Tanganyika, na ushiriki wa watanganyika katika kujitafutia Uhuru wao kwa kuongozwa na vyama vya AA, TAA na kisha TANU, hatimaye CCM. Bila shaka ile safari ya aliyekuwa Mwenyekiti wa TANU Mwl. J.K Nyerere ya kuelekea UNO, huijui ndio maana umepata pumzi ya kuandika hayo uliyoyaandika.
 
Back
Top Bottom