Naona pans tatizo kubwa. Na ndo hao wasomi wanapitisha Kanuni na Sheria za hovyo bungeni. Msomi mzima anajua maana ya Uhuru na Haki, anatia sahihi na kupitisha mambo us hovyo.
Inatuonyesha kwamba...
Rating Action: Moody's downgrades Tanzania's rating to B2; outlook stable
21 Aug 2020
London, 21 August 2020 -- Moody's Investors Service ("Moody's") has today downgraded the foreign and local...
Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameeleza kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ikifanya manunuzi mbalimbali ya vifaa vya Uchaguzi bila...
Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza.
Huyu bwana...
Katika hotuba hii muhimu utaona tulifanya makosa makubwa sana kuchagua viongozi wasio heshimu na kuilinda Katiba na sheria.
Na alisisitiza kuwa tunahitaji kiongozi mwenye kuheshimu Katiba na...
Leo nilienda safari ya kumtembelea rafiki yangu ambaye yeye na mke wake wote hawana smart phone. Nilipofika nikamkuta mke wake na wageni akanieleza aliyoona jana wakati anaenda Kibaha. Anasema...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ameingia jimboni kwake Singida Mashariki na kulakiwa na umati mkubwa wa watu kuwahi kushuhudiwa katika Jimbo Hilo.
Akiwa na msafara mkubwa wa magari...
Soka ndio mchezo unaopendwa zaidi na watu wengi hapa Tanzania. Mchezo wa soka hauna itikadi, lakini chini ya utawala wa CCM, mchezo wa soka umelazimishwa kuwa wa kiitikadi za kisiasa.
Kwa uchache...
Amani iwe nanyi.
Nimejaribu kupita pita karibu kila tweet ya huyu anaejipambanua kama anataka kuipigania haki katika nchi yetu ya Tanzania hasa wakati huu wa Uchaguzi, Bw. Robert...
Tundu Lissu mmojawapo wa wagombea uchaguzi Mkuu 2020 ambaye anazunguka kuomba ridhaa. Watanzania tuna kila sababu ya kumuhoji Lissu maswali haya.
Lisu huyu ndiye yule aliyekuwa akiwatetea ACACIA...
Ni wazi kabisa kwamba huyu OCD amelichafua na kulidhalilisha kwa kiasi kikubwa sana Jeshi la polisi nchini. Haiwezekani kiongozi ambaye ni well trained kwenye maduka ya kijeshi anaongea ujinga...
"Nikienda kupata ridhaa na kura zenu za kutosha tarehe 28 nawaahidi kurudisha kiwanda cha kuzalisha gas hapa mtwara ili watoto wetu, vijana wetu nao wanufaike na rasimali hii Mungu aliyetuzawadia...
Queen Sendiga kaelezea umuhimu wa rasilimali zilizopo Mtwara kunufaisha wanamtwara
"Jukumu lingine kubwa kwa serikali makini inayojali maisha ya watu ni kupanga namna njema ya matumizi ya...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amefungua Skuli ya Sekondari Mwanakwereke, ambayo hivi sasa inatambulika kwa jina la Skuli ya Sekondari ya Dkt. John...
TAARIFA:
Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Pombe Magufuli kesho Jumatatu asubuhi, atafanya mkutano wa kampeni eneo la Kinyerezi Mwisho katika Jimbo la Segerea...
Kwa muda mrefu,sikuwa ninafuatilia masuala ya siasa na hasa za upinzani kutokana na nature ya shughuli zangu nizifanyazo za kila siku,kiukweli nafasi yangu ni ndogo na hata ikitokea nina nafasi...
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
HANDENI VIJIJINI
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya...
Lissu ana mapungufu yake tena mengi tu! Vivyo hivyo kwa Magufuli. Kampeni ni kutoa ahadi za matumaini. Kwa upande wa Magufuli ana nafasi nzuri kwa kuwa ni rahisi kuthibitisha utendaji wake kwa...
Wasalaam wanajamvi
Nikiri wazi kuwa wanachadema na viongozi wao wanajua kila jambo na wao ni wataalam wa kila taaluma!
Lakini kinacho shangaza zaidi inakuwaje hawa magenious wanashindwa...