Hivi karibuni kumekuwa na hoja kutoka kwa vyama vya upinzani nchini hasa CHADEMA wakidai kuwa maendeleo yanayofanywa na serikali ya awamu ya tano chini ya uongozi wa Raisi Magufuli ni maendeleo ya...
CCM kinajua kuwa siyo rahisi kushinda kwa sanduku la kura, sasa wapo tayari kwa lolote ilimradi warudi Ikulu upinzani wapende wasipende.
CCM kinajua kina Madudu mengi hasa kwenye miradi hasa...
Na. Egla Mamoto
Wakati Serikali Ya Awamu ya Tano Ya Rais Dr.John Pombe Joseph Magufuli ikilaumiwa na Baadhi ya wapotoshaji eti imejikita katika ujenzi wa Uchumi wa Vitu Badala ya Uchumi wa watu...
ASILIMIA 100 YA TABAKA LILILOJICHOKEAGA AWAMU ZOTE,AMBALO AWAMU YA TANO LINAOGOPWA NA WENYE PESA, WATAMPA KURA ZOTE RAIS JOHN POMBE MAGUFULI.
Leo 14:45hrs 06/09/2020
Tabaka la watu wanyonge...
Na Thadei Ole Mushi
Kuna siku niliwaambia wenzetu huko nje wakiona wamepata kiongozi mwenye maono huwa hawamwachii kwa haraka.
Niliwahi kuwaambia kuwa Urusi wao kwa kutambua Mchango wa Putin...
Hakuna ubishi kwa sasa Tanzania imesimama kwa sababu ya kampeni zinazoendelea za Uchaguzi Mkuu, Jumatano ya Oktoba 28, 2020. Swali la msingi, ikizingatiwa kuwa kuna maisha baada ya uchaguzi ni je...
Serikali inatarajiwa kupokea Dollar million 40 au shilingi Billioni 100 kutoka kampuni ya Barrick ikiwa ni sehemu ya kishika uchumba cha Dollar Millioni 300 ambayo Barrick iliahidi kuipa serikali...
Mimi si mfuasi wa chama chochote kile naomba nieleweke hivyo kabla sijaweka hoja fupi leo kufuatana na press conference ya Kaka yangu Mbowe.
Wengi wetu humu ndani tunamuita Mbowe ni Dj ama Mbowe...
Tangu kuanzishwa kwa siasa za ushindani wa vyama vingi mwaka 1992, Zanzibar hapakuwahi kuwa na utulivu wa kisiasa kwa muda mrefu sana. Kila uchaguzi mkuu ulifuatiwa na mikwaruzano na kusababisha...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Umoja na utaifa ni tunu zitokanazo na kuzingatiwa kwa haki na uhuru wa watu. Hizi huakisiwa kimatokeo na hali ya amani na utilivu katika nchi husika.
Kutatizwa...
NAONGEZA SAUTI, PART 3
Nawashangaa sana wale ambao mnafuata mkumbo bila kujua mnachokifuata
Chadema ni mradi
Chadema ni biashara kama biashara nyingine
Mimi naijua chadema vyema kuliko wewe...
Hapa ni kwenye Mkutano wa hadhara kata ya Tindiga
====
NDIYO MZEE: JE PROFESA J ALIJITABIRIA
Msanii wa miziki ya kufokafoka, hip hop, Joseph Haule, amekuwa mbunge wa Jimbo la Mikumi kwa miaka...
Leo eneo la Kinyerezi kwenye kampeni za Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ambaye ndie Rais Mtarajiwa hilo halina ubishi, Kumbilamoto amemuomba msamaha Dkt. Magufuli kuwa walifanya makosa...
Kwanini ninafikiri Tundu Lissu anatosha zaidi ya Magufuli?
Kuna watu ambao wanasema kwamba KURA ya MTU ni siri.Pamoja na hayo ni lazima niweke rekodi sawa sawa ili kila mtu atambue kwamba...
'Hutashinda!, nani kakuambia utashinda? Unawadanganya wananchi wako kuwa utamshinda huyo?.. HUTASHINDA HATA UFANYAJE" Hayo ni maneno niliyojaribu kuyanukuu kutoka kwenye ile video inayoendelea...
Ratiba rasmi ya NEC toleo la 5 la Octoba 2 mwaka huu, inaonesha namna wagombea wa vyama vyote sehemu wanazotakiwa kuwepo kwenye mikutano rasmi ya kampeni. Lakini kumekuwepo na ukiukwaji mkubwa wa...
Mimi ni muumini wa usawa kwenye uchaguzi. Tumeshuhudia huko duniani mamlaka zikiingia kwenye uchaguzi mkuu huku wakijitahidi kuweka usawa. Kwa Tanzania mwaka huu tumefeli na tunajichafua...
Mapokezi anayopata Tundu lissu kila mahali anakopita ni ishara ya watu kuchoka na watu wamechoka kweli kweli wala siyo utani.
√ Vijana wanalia na ukosefu wa ajira
√ Watumishi wanalia na nyongeza...
Dkt. Mwinyi aonya ubaguzi wa kidini.
Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) amesema bado kuna chembechembe za ubaguzi wa kidini kati ya wapemba na waunguja, wa Tanzania...
“Nimepanda mabasi ya mwendokasi UDART kwa mara ya kwanza. Hapa nimekutana na Dada Rachel ambaye ananipa uzoefu wake wa usafiri huu. Naelekea Kariakoo”.