CHADEMA isibezwe! CCM wanatanga na nyika

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,818
2,000
Machaliii wa RCHUNGA wanapotoka mererani wale wana Apolo huwa ni msimu wa mavuno kwa machangu wote wa Arusha... Pesa kitu gani bwana hasara roho... Kipindi hiki machangu huhamishia mapenzi feki yote kwa wana Apolo... Lakini wakiwa na maisha yao na wapenzi wao wa moyo.... Wanaaopolo wanapopunwa pesa zote hukimbiwa nao kuukimbia mji na kurudi chaka kutafuta tena.. Huwaachia faida tupu machangu...
Changu ni changudoa yani mwanamke aso na bwana mmoja
Kuna wimbi kubwa sana la wanaupinzani NOTABLE kuhamia CCM... Naambia wanajipangia dau... "Sema unataka bei gani, lakini nakuhitaji sana... " ofa hii inachangamkiwa sana.. Lakini je haya ni mapenzi ya kweli? Muda utasema...
Wanaohamia wote its all about cash na si vinginevyo, cheo ni urembo tu.. Mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini....
Wengi ni watu wazima wanaojitambua fika.. Waliopitia madhila ya ccm wana makovu, kovu halifutiki wana kumbukumbu, hawajasahau wanakubali kununuliwa sasa hivi ili kulinda mishe zao usalama wao na mustakabali wao.. Wanataka kupumua kidogo... Kupumzika kidogo

Wengi wanatambua kuwa wanachopewa kama cash kinaweza kuwa final wasipate cheo chochote... Lakini bora liende.... Muda ukifika watarudi kwa magoti na msamaha na watasamehewa...
Vyeo wanavyoahidiwa kuna maelfu ya wanaccm wanavililia wanalitambua hilo.. Hivyo tusiwachukulie poa....
Kwanini CHADEMA iko kimya? Haijapata taharuki wala kubabaika? Wanajua kucheza na wakati... Wanatambua wazi kuwa UONGO HUPANDA LIFE LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...
kutangulia si kufika na ujanja ni kupata sio kuwahi... Wanaoenda ccm baadhi ni mapandikizi.... Kilio kitakachoenda ccm kitaacha simulizi za muda mrefu ujao... CHADEMA haitanunua itapokea kama walivyo... Utawala utakapofitinika....
Ukimya wa CDM una kishindo kikuu... Wasibezwe
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946

Kilichodharisha haya hata wanawaisraeli ilibidi waipitie kufika Nchi ya Ahadi.
Je USA,China,Ulaya nk historia yao ikoje?. Kanuni ya maendeleo/Mabadiliko lazima upitie dhiki- Bomoa Bomoa,Expansion Joint,kukomoana nk! Haya yote humpatia Elimu Binadamu na mwisho hujitambua.
 
mlekulechoma

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
1,367
2,000
Machaliii wa RCHUNGA wanapotoka mererani wale wana Apolo huwa ni msimu wa mavuno kwa machangu wote wa Arusha... Pesa kitu gani bwana hasara roho... Kipindi hiki machangu huhamishia mapenzi feki yote kwa wana Apolo... Lakini wakiwa na maisha yao na wapenzi wao wa moyo.... Wanaaopolo wanapopunwa pesa zote hukimbiwa nao kuukimbia mji na kurudi chaka kutafuta tena.. Huwaachia faida tupu machangu...
Changu ni changudoa yani mwanamke aso na bwana mmoja
Kuna wimbi kubwa sana la wanaupinzani NOTABLE kuhamia CCM... Naambia wanajipangia dau... "Sema unataka bei gani, lakini nakuhitaji sana... " ofa hii inachangamkiwa sana.. Lakini je haya ni mapenzi ya kweli? Muda utasema...
Wanaohamia wote its all about cash na si vinginevyo, cheo ni urembo tu.. Mtu anaangalia anapata bei gani kwenye nini....
Wengi ni watu wazima wanaojitambua fika.. Waliopitia madhila ya ccm wana makovu, kovu halifutiki wana kumbukumbu, hawajasahau wanakubali kununuliwa sasa hivi ili kulinda mishe zao usalama wao na mustakabali wao.. Wanataka kupumua kidogo... Kupumzika kidogo

Wengi wanatambua kuwa wanachopewa kama cash kinaweza kuwa final wasipate cheo chochote... Lakini bora liende.... Muda ukifika watarudi kwa magoti na msamaha na watasamehewa...
Vyeo wanavyoahidiwa kuna maelfu ya wanaccm wanavililia wanalitambua hilo.. Hivyo tusiwachukulie poa....
Kwanini CHADEMA iko kimya? Haijapata taharuki wala kubabaika? Wanajua kucheza na wakati... Wanatambua wazi kuwa UONGO HUPANDA LIFE LAKINI UKWELI HUKWEA NGAZI...
kutangulia si kufika na ujanja ni kupata sio kuwahi... Wanaoenda ccm baadhi ni mapandikizi.... Kilio kitakachoenda ccm kitaacha simulizi za muda mrefu ujao... CHADEMA haitanunua itapokea kama walivyo... Utawala utakapofitinika....
Ukimya wa CDM una kishindo kikuu... Wasibezwe
Siasa &mtazamo wako finyu wa kikaskazini ndo unaokupotosha!usidhani wote ni nyumbu!
 
Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
41,215

Anayezimudu siasa hizi za kilaghai kwa sasa ni mtu mmoja tu, Tundu Lisu.

Tumwombee apone haraka arudi kupambana na uchwara. Hiki kipindi kinahitaji radical politics na siyo moderate.
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,818
2,000
Hakuna nia ya dhati ya kuwasaidia wanaonunuliwa kwakuwa ccm sio malaika wasahau mara hii kuwa hao wanaowachukua ni watu ambao hapo mwanzo walikiponda sana hiki chama... Kinachafanyika sasa hivi ni MBINU YA MWISHO KUIVURUGA CHADEMA baada ya nyingine zote kushindwa
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,427
2,000
Mkuu mimi nakuomba ujikite kuishaur chadema ifanye nini ili imalike zaid katika hiki kipindi kigumu cha hama hama
Acha kujifanya kama huon tatizo linaloenda kuikumba chadema hapo baadae
Katika hii hama hama kila mtu ana maoni yake na haki ya kuyatoa. Mshana anaweza kuonekana analalmika na kuhuzunika; kuonyesha hisia zake kuhusu linaloendelea. Kufanya hivyo ni haki yake. WEWE unaweza kufanya jambo jingine ikiwepo kutoa ushauri wa nini Chadema wafanye. Itapendeza sana!
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
149,818
2,000
Katika hii hama hama kila mtu ana maoni yake na haki ya kuyatoa. Mshana anaweza kuonekana analalmika na kuhuzunika; kuonyesha hisia zake kuhusu linaloendelea. Kufanya hivyo ni haki yake. WEWE unaweza kufanya jambo jingine ikiwepo kutoa ushauri wa nini Chadema wafanye. Itapendeza sana!
Kudos
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom