Salaam kutoka Zenji ,kuna uhakika kutoka kila pembe kuwa sasa ni rasmi CCM imeshazikwa Zanzibar,hilo halina mjadala ,jukwaa la CCM Zanzibar CCM huchawanyika na kumuwacha/chia baba na mwana kwenye...
Hiki ni kipande cha habari toka katika Gazeti la Jamhuri.Wao wanajadili na kusema kuwa hapo Morogoro,kuna gari limekutwa sehemu linateketea kwa moto bila mwenye nalo kuwepo wala taarifa za...
Na Debora C. Kiyuga ✍🏽
Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi, hususan wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiliamali na bila kusahau...
Mapungufu mengi ya Rais Magufuli katika awamu ya kwanza yamekuwa mithili ya karata ya turufu kwa mpinzani wake mkuu
kwenye kinyan'ganyiro cha urais, Mh. Tundu Lissu.
Baadhi ya mapungufu haya ni...
Nimekuwa nikikutana na watu mabalimbali ambao wameajiriwa katika jeshi ya police. Maana yao wengi na maasikari.
Hawa watu tunapozungumza nao kiurafiki wanalalamikia hali za uchumi na mazingira...
Mbunge wa Arusha Godbless Lema ameunguruma toka Nairobi,anasema anashangazwa na Spika Ndugai kutokutoa ushirikiano wa matibabu ya Mbunge Lissu kwa gharama za bunge na serikali kama yeye...
Mbunge wa Singida Mashariki (CHADEMA), Tundu Lissu ameibuka na kuishauri serikali jambo la kufanya kutokana na matokeo ya uchunguzi wa mchanga wa madini uliofanywa na kamati ilyoundwa na Rais John...
Katika siasa za ushindani kama ilivyo ushindani holela wa soko huria kumeibuka upotoshwaji mkubwa wa kutumia fikra za Mwalimu Nyerere nyingi na hapa nitajikita katika dhana ya “UHURU”.
Kwa...
Chama Cha Mapinduzi kinatambua kuwa sekta ya viwanda ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi wa nchi, kukuza pato la mwananchi, kupunguza umasikini na kuongeza uwezo wa Taifa kujitegemea.
Katika...
Mgombea Ubunge Kibaha Bw. Kweka aliwapotezea wananchi akaendelea kutenda yake. Leo kwenye kampeni mzee huyu anapumulia mashine, wananchi wamemchoka na wajumbe pia walimkataa washukuriwe kina mama...
Wadau, taarifa nilizozipokea muda mfupi uliopita zimethibitisha kuwa Dr. Swakala, kiongozi wa kamati ya madaktari walioomba msamaha ni kada mkubwa wa CCM.
Dr.Swakala, akiwa Rais wa Serikali ya...
Katika kampeni zinazoendelea, tumeona sasa hata nyinbo za kisukuma zinatumika kueneza sera za chama. Kwa nini wa-TZ wanaanza kuona lugha za kienyeji ni muhimu kuliko ujumbe wa kitaifa? Je ni...
Mabibi na mabwana heshima kwenu.
Kuaminika kwa mamlaka zote zinazohusika kwenye mchakato huu wa uchaguzi ilikuwa jambo la muhimu sana kwa amani yetu. Yote ni tisa, kumi ni kuaminika kwa tume ya...
Tangu kuzinduliwa kwa heka heka za kampeni za uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika tarehe 28, Oktoba mwaka huu, tumesikia ahadi zilizoanishwa katika vyama mbalimbali...
Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais Magufuli Tsh100 Billion kama gawio kwa Serikali Jumanne 13/10/2020 mbele ya wanahabari na watanzania.
Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati...
EPUKA UPOTOSHAJI MPYA WA WANA CCM
Amani iwe nanyi wadau
Leo napenda kuwaelimisha watanzania wenzangu juu ya upotoshaji mpya wa wana Ccm kwa watanzania. Ukipata ujumbe huu sambaza kwa mwingine...
Watu walitegemea makubwa katika ujio wa huyu muheshimiwa asiyeshaurika kabisa. Kama angejipanga vizuri kwa hoja nzuri, Tafiti na Kuzuia hasira alikuwa na nafasi ya kushinda kwenye UCHAGUZI lakini...
Tupo ukingoni mwa zoezi letu la kupiga kura kwa kuchagua viongozi wataoweza kutuvusha katika miaka mitano mengine
Dhima ya kuingia kwenye uchaguzi ni wananchi kuchagua kiongozi wanaomfaa na...
Kwa upande wa Watumshi wa Umma,Bajeti hii iliopita jana inamanisha jambo moja kubwa sana kwao nalo ni kubaki na mshahara ule ule wa tangu mwaka wa fedha wa 2015/2016 ulioanza July, 2015 na...
Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo ni nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?
Hii inanipa ukakasi...