Barrick Gold Mining itamkabidhi Rais Magufuli Tsh 100billion

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,664
Barrick Gold Mining kumkabidhi Rais Magufuli Tsh100 Billion kama gawio kwa Serikali Jumanne 13/10/2020 mbele ya wanahabari na watanzania.

Kama utakumbuka kuna wanasiasa uchwara na wanaharakati uchwara wanaojiona wanajua kila kitu walipinga hili sasa Serikali ya awamu ya tano inakimbiza uchumi kwa speed kali.

Kwa miaka kadhaa pesa hizi zilikuwa zinaliwa na watanzania wezi na kunufaika na familia zao lakini sasa pesa hizi zinakwenda kujenga nchi na kila mwanaCHADEMA, mwanaCUF, ACT wananufaika kwa kazi nzuri za JPM na CCM yake.

Tunawaomba watanzania sasa akili zirudi tukubaliane kuwa huyu ni nabii

======

Tanzania to Get $40 Million Payment From Barrick Gold on Oct. 13

Tanzania will receive about $40 million from Barrick Gold Corp. on Oct. 13 as part of a payment settlement with the company.

President John Magufuli will oversee the event, the ruling CCM party said in a statement. It’s part of the $300 million settlement between Tanzania and Barrick Gold to end a tax dispute. Barrick Gold paid the first installment of $100 million in May.

Source: Tanzania to Get $40 Million Payment From Barrick Gold on Oct. 13
 
Ili isiwe kiini macho itabidi hao Barrick ,sijui Twiga wa-publish na hesbu zao zilizokaguliwa zinazoonyesha faida baada ya kodi.

Vinginevyo watu watahisi ni kampeni zinapigwa wala hakuna gawio halisi hapo ni namba tuu ndiyo inayopokelewa na serikali
 
Yameamua kuwasaliti
Sasa hayo mazungu yanayoabudu demokrasia...
usiku na mchana....
hayaoni kwamba kulipa deni kipindi hiki cha kampeni ni utopolo.....
kwa nini wasisubiri kampeni ziishe kwanza....
walipe wakati serekali mpya iliyochaguliwa ikiwa madarakani.....
 
Back
Top Bottom