Uchaguzi 2020 Mpigakura kuahidi kukipigia kura chama cha siasa kwa kuandika namba ya kitambulisho cha mpiga kura na namba ya simu hii imekaaje?

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,112
Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?

Lengo la kufanya hivyo ni nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?

Hii inanipa ukakasi, naona kama kuna mlango wa rushwa kupitia fomu hiyo.

Je, Hizo namba za kupigia kura ziko salama kiasi gani? Na je, namba za simu za alie ahidi haziwezi tumika kumtishia mpiga kura kufanya maamuzi ambayo pengine hayakuwa ya kwake kukipigia kura chama chenye fomu hii?

IMG_20201013_031532_375.jpg
 
Hilo karatasi umelitoa wapi kwanza!!!!!

Maana naona hii vita sasa inahamia kwenye chupa za soda.
 
Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?

Lengo la kufanya hivyo nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?...
Pia kuna fomu imetolewa kwa ajili ya watumishi wa umma. Wamelazimishwa kujaza taarifa zao za kupigia kura baada ya hapo fomu zinapelekwa usalama wa Taifa. Sijui wanawaza nini mwaka huu! Akili ya taahira mwaka huu haifanyi kazi kabisa!
 
Wapi huko ?
 
hilo karatasi umelitoa wapo kwanza!!!!!

maana naona hii vita sasa inahamia kwenye chupa za soda.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hii ni batili kwa kuwa inaingilia Uhuru binafsi wa mwanachama kuchagua kiongozi anayemtaka. The fact kwamba yeye ni mwanachama wa CCM haina maana kwamba CCM wanao Uhuru wa kuingilia privacy yake kwenye kuchagua. Hii inatokana na ukweli kwamba kura ni Siri ya mpiga kura na hakuna
 
Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?

Lengo la kufanya hivyo nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?...
Ahaaa !!!! Ni kweli !? Wanajamii forum tunahitaji fomu iliyosainiwa tayari Kama Ushahidi ili mchangiaji aweze kuchangia kitu kilichodhibitishwa !

Nakuomba Sana tutumie fomu iliyosainiwa tayari . Je , wahusika wakiikana fomu hii na wakakuambia fomu hii ni wewe umeibuni na kuitengeneza Stationary , utakataa Ndugu yangu !?
 
Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?

Lengo la kufanya hivyo nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?

Hii inanipa ukakasi, naona kama kuna mlango wa rushwa kupitia fomu hiyo.

Je, Hizo namba za kupigia kura ziko salama kiasi gani? Na je, namba za simu za alie ahidi haziwezi tumika kumtishia mpiga kura kufanya maamuzi ambayo pengine hayakuwa ya kwake kukipigia kura chama chenye fomu hii?

View attachment 1598319
Hizo ni namba za kadi ya bima ya afya, CCM inafanya uhakiki ili wananchi wasisumbuliwe.
 
Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?

Lengo la kufanya hivyo ni nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?

Hii inanipa ukakasi, naona kama kuna mlango wa rushwa kupitia fomu hiyo.

Je, Hizo namba za kupigia kura ziko salama kiasi gani? Na je, namba za simu za alie ahidi haziwezi tumika kumtishia mpiga kura kufanya maamuzi ambayo pengine hayakuwa ya kwake kukipigia kura chama chenye fomu hii?

View attachment 1598319
Ni uvunjifu wa amani,nashangaa NEC wapo kimya
 
Chama kimejiwekea utaratibu na wanachama wake! Nyie wengine meshapandwa na visebusebu! Si nanyie muandikishe wanachama wenu? Acheni kihoro, tar 28 tunawatwanga mafiga matatu.
 
Back
Top Bottom