Bunge lijalo 2020 bila Lissu, Bashe, Zitto, January, Nape, Sugu, Mdee na Kibajaji kwakweli linaweza kupooza

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
32,371
2,000
Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.

Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.

Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk

Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.

Niishie hapo

Maendeleo hayana vyama!
 
mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,220

kwani uchaguzi wa 2020 tayari?
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
100,215
2,000
Bunge UOZO lipooze mara ngapi? Mbona kila siku wanazimwa kuongea Bungeni ukiondoa mara chache hapa na pale.

Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.

Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.

Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk

Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.

Niishie hapo

Maendeleo hayana vyama!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,952

Ya Mungu mengi unaweza na wewe usiwepo duniani kuona haya unayowatakia wenzako, hata huyo "mungu" anaweza asiwepo, you never know!
 
Lord eyes

JF-Expert Member
Aug 2, 2018
7,435
1,995
Nadhani utafiti wako unaufanyia kitandani ukiwa na smartphone yako ya mchina na data za kugongea pole sana
 
Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
7,963
2,000
Bunge ambalo lina Wabunge wa CCM kwa Asilimia kubwa Matokeo yake hayatofautiani na Bunge la Chama kimoja.CCM mna ugua Ugonjwa wa kuwaza Uchaguzi kuliko kufikiria Kero na Mahitaji ya Wananchi.
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
47,759
2,000
Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.

Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.

Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk

Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.

Niishie hapo

Maendeleo hayana vyama!
Mnawaza uchaguzi 2020 mmeshamaliza kutekeleza ahadi mlizotoa 2015?
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,282
2,000
Kweli kabisa, mimi na wewe tunaweza tusiwepo! Ya MUNGU mengi na huwa hayatabiriki. Aijuaye kesho ya yeyote ni MUNGU tu. Tunaishi kwa neema tu!
Ya Mungu mengi unaweza na wewe usiwepo duniani kuona haya unayowatakia wenzako, hata huyo "mungu" anaweza asiwepo, you never know!
 
Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
23,952
2,000
Kweli kabisa, mimi na wewe tunaweza tusiwepo! Ya MUNGU mengi na huwa hayatabiriki. Aijuaye kesho ya yeyote ni MUNGU tu. Tunaishi kwa neema tu!
Yes! hivyo usiwatakie wenzako mabaya, yatakugeukia wewe, mara nyingi mungu wa kweli huwa analeta kinyume cha maombi mabaya... yana backfire!
 
Patriot

JF-Expert Member
Feb 11, 2008
4,780
2,000
Hao niliowataja ni wabunge wenye ujasiri wasiokumbatia " sana " itikadi wawapo bungeni.

Lakini wabunge kama Bashe, Zitto na Lisu wamekuwa ni chachu ya kuifanya mijadala ya bungeni iwe na uhai kwa sababu wanatiririka kwa data.

Nimejaribu kuifanya tathmini fupi katika majimbo yao na ndani ya vyama vyao kiukweli watu hawa tunaweza kuwakosa mjengoni katika bunge lijalo. Mathalani pale kwa Sugu yupo Tulia, pale Mtera yupo Malecela jr aka le mutuz nk nk

Kwa uchache hawa ni miongoni mwa wabunge mahiri tutakaowakosa japokuwa hata mchungaji Msigwa kama CCM watatenda haki kwenye kura za maoni naye hatarudi.

Niishie hapo

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hiyo waropokaji ndo mashujaa? Sna haja ya kushabikia wanasiasa wa aina hii. Nawashabikia sanawakulima wa Pamba na Korosho ambao hawana utapeli kama hawa unaowamisi. Unawahitaji wakuchangamshe kitu gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom