Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ruaaaaaaaaa! Shimbonyi Mangi.[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119] Leo wakazi wa Moshi mjini wameamua kutoa ya moyoni kwa kumsubiri Rais anayetizamiwa na wananchi wengi kuwa Rais , Mhe. Tundu...
63 Reactions
225 Replies
31K Views
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bernad Membe amesema kuungana kwa vyama vya upinzani hakuwezi kukiondoa madarakani chama tawala Ametoa mfano kuwa, fikiria kwamba wao wana kura milioni...
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Ndugu zangu, Hoja nzito kutoka kwa mwanasheria nguli na waziri mkuu Mstaafu ndg.Joseph Warioba imeshiba. === “Wakati huu wa uchaguzi kila mmoja anapotaka kujenga hoja yake anarejea kwenye mawazo...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Kama mnakumbuka, watoto wa viongozi wakubwa wakubwa wengi wamepitishwa kugombea ubunge ndani ya CCM. Yaani namaanisha majina yao hayakukatwa. Hata baadhi ya waliokatwa wameahidiwa kupewa furaha...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
TANGU Jumatatu ya Oktoba 19,2020 hadi hivi sasa ninapoandika andiko hili, nashindwa kuelewa wala kupata jibu stahiki juu ya kile ambacho vyama vya Siasa nchini Tanzania vinamaanisha pale...
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Dakika ya 78 Kipindi cha pili cha lala salama, makocha hawatulii kwenye bench. Muda huu atakayepigwa goli itakuwa imekula kwake. Wachezaji wa timu ya kijani wote wamerudi nyuma kuweka ukuta...
8 Reactions
29 Replies
2K Views
Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho. Pia...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977, toleo la 20 Juni 2005 imeainisha misingi inayohakisi maamuzi mazito ya watanzania wote juu ya nchi yao kwenye utangulizi wake. Misingi hiyo...
1 Reactions
0 Replies
526 Views
TANDAHIMBA Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CUF, Prof. Ibrahim Haruna Lipumba amesema endapo atachaguliwa kuwa Rais, atahakikisha anaboresha bei ya korosho na wananchi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Geita, Leonidas Felix, amepiga marufuku wapigakura kwenda kula pilau kwa watakaoshinda katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, mwaka...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais. Ikumbukwe kwamba kiongozi wa...
31 Reactions
99 Replies
12K Views
Hii sasa sina shaka kuwa watanzania wameamua kuipiga chini CCM kwa sababu hii! Mwanzo wa kampeni, CHADEMA walivyoanza kuchangisha pesa ili kusaidia kumalizika kwa kampeni pasipo mkwamo, wengi...
66 Reactions
83 Replies
8K Views
Salaa. Ikumbukwe jimbo hili Mgombea wa Chadema mwaka 2015 alishindwa kwa figisu alizofanyiwa wakati wa majumuisho ya kura, sasa hali inavyoonekana safari hii Chadema wanaenda kulichukua jimbo...
3 Reactions
10 Replies
711 Views
Hapo mwanzo nilikuwa na wasiwasi na mwitiko wa mkoa wa Dar kuupokea ujumbe wa Tundu Lissu, niliuona kama mkoa ambao unaosuasua kuupokea ujumbe wa Lissu tofauti na huko mkoani. Lakini kwa utafiti...
30 Reactions
62 Replies
6K Views
Na Thadei Ole Mushi 1.Ni kawaida ya wanasiasa, Maadui wao wanataka wawe maadui wetu sote. Hili ndio kosa kubwa la wanasiasa, Kote Duniani. 2.Kosa lingine kubwa ninaloliona hapa ni selection ya...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
MGOMBEA URAIS WA ACT NI ZITTO AU MEMBE? TUKO HOI JAMANI WARAKA WA KWANZA WA VIJANA Sisi Vijana wa ACT kutoka mikoa mbalimbali tunaendelea kusikitishwa na mwenendo wa uendeshaji wa Chama chetu...
1 Reactions
63 Replies
7K Views
Ikiwa Kampeni zimeshika kasi yule Mgombea ambaye nyota yake inang'ara Mh Tundu Lissu , leo anaendelea na kampeni kwenye Majimbo ya kanda ya ziwa ya Ukerewe na Rorya. Kama kawaida yetu tuko...
32 Reactions
151 Replies
22K Views
Hii ndiyo kazi ya mbunge.Mbunge anaongea na waziri kupitia bunge. Magufuli na Gwajima alitaka Halima afanye nini zaidi?
15 Reactions
24 Replies
3K Views
Salaam wana JF. Nianze andiko hili kwa kusema kuwa ushindi wa kishindo wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika uchaguzi wa mwaka huu utatokana na nguzo imara za "Unyenyekevu, Utu, Uwajibikaji, Uchumi...
0 Reactions
10 Replies
885 Views
Mgombea Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. John Magufuli amesema jina lake na la Mama Samia lipo juu katika karatasi za kupigia kura hivyo wananchi wasihangaike kuangalia kwingine Amesema, "Wewe...
9 Reactions
114 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…