Uchaguzi 2020 Membe: Muungano wa vyama hauwezi kuishinda CCM, bali inapaswa kukigawa CCM ili kukishinda

Libya

JF-Expert Member
Nov 11, 2016
783
1,918
Mgombea Urais kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Bernad Membe amesema kuungana kwa vyama vya upinzani hakuwezi kukiondoa madarakani chama tawala

Ametoa mfano kuwa, fikiria kwamba wao wana kura milioni 6.5 ambazo si za CCM, wanawezaje kupora kura milioni 10 za CCM, hivyo amesema njia sahihi ni kukigawa chama

Amesema ili kukishinda chama tawala unapaswa kukipasua chama tawala. Amesema yeye alifanikiwa kukigawa CCM kwa kuwa alikuwa na wabunge 78 kwa sababu alishajipanga kumkabili Rais aliyekuwepo

Aidha amesema wapo watu ndani ya CCM ambao wameichoka CCM ambao pia wangeweza kuungana nae

Amyeasema hayo kwenye mahojiano DW Oktoba 19,
 
Back
Top Bottom