Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Wervemarcel

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,390
3,293
Ruaaaaaaaaa!

Shimbonyi Mangi.

Leo wakazi wa Moshi mjini wameamua kutoa ya moyoni kwa kumsubiri Rais anayetizamiwa na wananchi wengi kuwa Rais , Mhe. Tundu Lissu, Ambaye alikuwa Rombo .

Kuchelewa kwa Lissu kumetokana na Wananchi wengi kumsonga songa na kuziba njia asipite bila kuwasalimia kwani wanamtazamia kuwakomboa.

Alisimamishwa Marangu na nyomi kubwa haijawahi tokea hapo Marangu.

Baadae alifanikiwa kumfika mjini usiku huu, akikuta maelfu ya watu waliokuwa wakimsubiri bila kukata tamaa na walionesha kuwa na hamu nae kubwa sana.

Lissu alishindwa hata kuongea walivyokuwa wakimpigia kelele za kuonesha mahaba mazito kwake "RAIS RAIS RAIS, LISSU LISSU LISSU'

Ikabidi kuwatuliza ikashindikana kwasababu walikuwa wakipaza sauti kumtaja ni RAIS ajaye.

Mwishoni ikabidi, awatangazie atarejea tena kufanya mkutano, alishangiliwa na vifijo vya faraja kuu, ikiashiria wanamsubiri aje kwa mara nyingine.


My take!


Huu uchaguzi utakuwa haujawahi kuwapo na hautakuwahi kuwapo.

Lissu anapendwa kwa dhati na wananchi.

Chini ni baadhi ya picha na video za tukio la Leo.

IMG_20200930_193044.jpeg



View attachment 1585967
 
Back
Top Bottom