Uchaguzi 2020 Davis Mosha: Mchagueni Magufuli nitawapa Bodaboda 500 hata Kama hamkunichagua 2015

zanku

Member
Jun 9, 2020
22
75
Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.

Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM

"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"

Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
24,576
2,000

Kumbe mweupe hivi kichwani
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
27,918
2,000
Hivi hii mambo iliishia wapi?
Screenshot_2020-10-20-13-28-08-1.jpg
 
Kiwarhoapandenga

JF-Expert Member
Aug 10, 2019
2,044
2,000
Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.

Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM

"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"

Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.

Akae nazo
 
mugah di mathew

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
3,729

Acheni uongo eti bilionire??
Upumbavu kabisa
 
JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
20,903
2,000
..Davis ni kama anawekea msisitizo na kuibariki falsafa ya Magufuli ya kutopeleka maendeleo kwa wananchi ambao hawajaichagua ccm.

..hili ni jambo baya, ni UBAGUZI na UKABURU kuwanyima wananchi huduma kwasababu hawakuichagua CCM.
 
Enlightening

Senior Member
Oct 14, 2020
167
250
Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.

Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM

"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"

Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.

Rushwa afu tume iko kimya tu tulieni watz tuwakatae 28
 
Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
1,867
2,000
kwani treni ya kufika moshi si ilikuwepo hata kabla ya awamu ya tano? Nani aliiua? ili atulipe fidia kwa madhara tuliyopata
 
tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
35,623
2,000
Izo badaboda aziwekee mafuta kabisa,JPM keshashinda na mpaka sasa yupo ikulu anajenga nchi.

Aweke mafuta gani kwenye bodaboda, yeye mwenyewe hata kulipa wafanyakazi wake inamuwia shida ndio itakuwa kununua bodaboda? Namjua vizuri huyo tapeli, wafanyakazi wake wanalalamika kuwa anawashushia mishahara na hata kuwalipa inakuwa tabu. Halafu anakwenda kusaka sifa nyepesi kwenye kampeni za ccm! Shubamit.
 
Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
6,158
2,000
Kada wa chama Cha mapinduzi na bilionea Davis Mosha amewaambia hayo Wananchi wa Moshi kuwa hata Kama hawakumchagua 2015 kwenye ubunge hatasita kutekeleza ahadi zake alizowapa kipindi hicho.

Pia Davis Mosha amewataka kuacha kufuata mkumbo wakuaminishwa kuwa Kilimanjaro Ni Upinzani hata iweje, Mosha amesema Kwa Kazi za serikali ya awamu ya Tano Ni dhahiri wanatakiwa kuichagua CCM

"Leo tumeletewa mpaka reli wafanyabiashara wa Moshi na Arusha wanafaidika kwa usafiri huu wa bei nafuu"

Mosha anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro.

Mwambie hatumchagui magufuli wake au mtu yeyote wa Ccm yao. Kuna haja gani kupewa bodaboda huku ukinyanyaswa na traffic Kwa makesi na faini zisizoeleweka!! Mwaka huu watanzania tumeshaamua, tunamchagua tunamchagua Tundu Antiphas Lissu, liwake jua inyeshe mvua!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom