Kumbe chama kuwa cha Upinzani ni tabu? Ona jinsi CCM inavyoogopa

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,469
2,000
Sio siri kuwa Magufuli na timu yake ya uongozi ndani ya CCM wanaogopa sana chama chao kugeuka cha upinzani kuliko wanavyo muogopa Mungu kwa kushitikiana na shetani.

Faulu, figisu na uharamia sasa uko waziwazi na hata hiyo hofu ya Mungu haipo tena. Na yote hayo ni kuogopa uchaguzi huru na haki unaoweza kuwaondoa madarakani.

CCM hamna haja ya kuogopa kukamata usukani wa upinzani kwani siasa zijazo za Lissu na Chadema + ACT sio za visasi bali demokrasia ya kweli na maridhiano.

Tahadhari kwa JPM na viongozi wenzako, achana na wapambe ambao watakushawishi ulete ubabe ukishindwa! Hao wanakuponza na hawata ucheza muziki mambo yakichacha zaidi yako ambaye hata Pension yako utaiweka mashakani pia furaha ya familia yako utaipoteza na kujuta kwa nini nilikubali madaraka.
 

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
36,469
2,000
Matamko kama haya yanaletwa na viashiria vya CCM kuogopa kuruhusu Watanzania kuwa fanya chama cha upinzani
JamiiForums202096962.jpg
 

pechipechi

Senior Member
Aug 27, 2017
128
500
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Dah!!Utakuaga unalipwa elfu14 badala ya elfu7 eeee?maana kila sehemu upo tena 24hrs....nacomment zako niiziizi ulizokalilishwa.Pole Sana brother bora kampen ziiche mapema tu sio kwamateso ayo waliokukabzi dah!
 

AGITATOR

JF-Expert Member
Apr 7, 2019
1,356
2,000
Wana CCM wenyewe hawakitaki hiki chama
Jidanganyeni. Nani anataka genge la wahuni na mashoga. Chadema huku kwao wenyewe wamekirushia masale.Chama cha hovyo kabisa hili.Mwenyekiti wenu ana wafaidi Sana.
 

Kiongozi mkuu2020

JF-Expert Member
Aug 8, 2020
1,423
2,000
Sio siri kuwa Magufuli na timu yake ya uongozi ndani ya CCM wanaogopa sana chama chao kugeuka cha upinzani kuliko wanavyo muogopa Mungu kwa kushitikiana na shetani...
HIVI TOKA KAMPENI ZIANZE NA MPAKA LEO, NIONESHE HOTUBA HATA MOJA YA TUNDU LISU ALIYOWAHIHUTUBIA UMA IKAONEKANA NI HOTUBA YA MGOMBEA URAISI. NIWEKEE ATA MOJA.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom