"Unapokwenda kulinda kura aga kabisa nyumbani kwako, uhakikishe familia yako umeiacha vizuri kwa maana utakutana na wenye kazi yao ya kulinda kura na unanaweza usirudi nyumbani ukaenda gerezani au...
Mh. Tundu Lissu leo atakuwa na Mikutano mitatu Jimbo la Singida Magharibi ambayo ni;
1: Sepuka,
2: Iglanson na
3: Ihanja.
Wakati wa Mabadiliko ni sasa.
Yani yule mwingine leo anafanya mkutano...
Waafrika bhan mimi sijui Genes zetu zilitoka kwa watu gani maana:
Bara maskini kuliko yote duniani ni Afrika.
Maendeleo ambayo yako chini (kiuchumi, kijamii, kisiasa n.k) kuliko mabara yote...
Tarehe 28 hiyooo imefika,
Misimamo ya watanzania haitabiriki,
Hii inatokana na kukosa uhuru wa kuongea,
Watanzania wakikutana kwenye vijiwe wanamsifia Magufuli,
Ukimdadisi mmoja mmoja kwa...
Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho.
Nauliza tu...
Membe yuko live anafanya mahojiano na redio Tehran mida hii na ameulizwa kuwa kuendelea kwake na harakati za kampeni haoni kama zinamuhujumu Lissu na upinzani kwa ujumla?
Membe amejibu kwa kuwa...
Mgombea Urais kwa tiketi ya chama kikongwe Afrika, chama tawala ccm mheshimiwa John Magufuli akiwa Arusha katika mkutano wake wa kampeni jijini humo alisema anataka kuifanya Arusha kuwa kama jimbo...
Tumsifu Yesu Kristu!
Bado siku nne tu taifa hili linaingia kwenye uchaguzi ambao utaamua hatma ya wananchi wake ambao miaka mitano iliyopita walichagua viongozi wao, lakini kutokana na katiba ya...
Kati hali isiyo ya kawaida, Viongozi wa CCM waambulia watu 6 katika kikao kilichotegemewa kuwa na isiyo ya kawaida. Kwani TPDC peke yake in Kaya 72 na Mikocheni B ikiwa na watu ,5000
Mwezi...
Nawaomba wasimamizi wa uchaguzi mliowahi kutishwa kutimuliwa kazi eti msimtangaze wapinzani kwa vile mmepewa magari, mmepewa na mishahara. Toeni shaka hakuna mtu mwenye mamlaka ya kumfukuza DED...
Jumuiya ya viongozi wanawake kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wamelaani tabia ya baadhi ya wanasiasa nchini kutoa lugha za vitisho.
Wamesema tabia hiyo inaweza kusababisha uvunjifu wa amani...
Wadau nini kimetokea?
Ukijaribu tuma ujumbe mfupi wenye maneno Tundu Lissu au John Magufuli hauendi ila jumbe nyingine zinaenda....
Jaribu kwa Airtel, Vodacom
Mgombea wa urais Dr. John Pombe Magufuli amewaahidi wakazi wa Karatu kulala wilayani hapo alipokuwa akiendelea na kampeni za kutafuta urais mkoani Arusha.
Rais Magufuli ametoa ahadi hiyo na...
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba, amesema atakapopata ridhaa ya kuwaongoza Watanzania, serikali yake itashirikiana na Jumuiya ya Umoja wa Kimataifa ili...
Akiongea na vijana wa UVCCM Shirati, Kabwana, Mwenyekiti wa CCM Mkoa Mara Ndg. Samwell Kiboye almaarufu kama Namba tatu, adai kwamba, hawezi kujibizana na watu waliofika bei, watu waliouza nafsi...
Baaada ya Wateja wa baadhi ya Makampuni ya Simu kulalamika kuwa wakituma SMS yenye neno "Tundu Lissu" inafeli sasa tatizo hilo limeisha baada ya kushughulikiwa.
Inadaiwa lilikuwa ni tatizo la...
Na Emmanuel J. Shilatu
Misingi mizuri iliyojengwa na waasisi wa Taifa, Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na Sheikh Abeid Amani Karume , imesababisha Wananchi wa Tanzania kwa muda...
Kwenye kampeni za CCM baada ya wasanii kupewa zawadi yakofia leo mzee wetu Lowassa amekabidhiwa zawadi ya kofia kutoka kwa mgombea Urais kupitia Tiketi ya CCM ndugu JMP
Kampeni zinaendelea
Canada’s Barrick Gold (TSX: ABX) (NYSE: GOLD) said on Friday it has been granted 10 new exploration licenses in Tanzania, where it was until recently locked in a long-dragged out conflict over...
Napenda kushauri kuwa nafasi hizi nyeti ziwe zinateuliwa kikatiba na watu wanaoweza pima uelewa na uwezo kiakili kwa nafasi hizo.
Hizi ni nafasi nyeti sana lakin kwa upande wa polisi hali...